Beki wa klabu ya AC Milan, Davide Calabria ndiye mchezaji pekee katika Ligi Kuu tano kubwa Ulaya msimu huu wa 2019/20 kuwa tayari amepokea kadi mbili nyekundu

2 – Beki wa klabu ya AC Milan, Davide Calabria ndiye mchezaji pekee katika Ligi Kuu tano kubwa Ulaya msimu huu wa 2019/20 kuwa tayari amepokea kadi mbili nyekundu katika mechi mbili tofauti.. ♦vs Hellas Verona
♦ vs Genoa

✍🏻 Bila Shaka Milan ndio klabu iliyotoa kadi nyingi zaidi nyekundu msimu huu katika Ligi Kuu tano kubwa Ulaya – Kadi nyekundu 5 (16 za Njano)… Katika mechi tano zilizopita za Ligi, Mechi Nne AC Milan Mchezaji wao katolewa kwa kadi Nyekundu πŸ˜±πŸ˜„πŸ˜„… Jana wamepewa umeme Wachezaji wawili vs Genoa.
πŸ”΄ vs Fiorentina
πŸ”΄ vs Hellas Verona
❌ vs Inter Milan
πŸ”΄ Torino
πŸ”΄ πŸ”΄ Genoa
…..
✍🏻 Nafasi ya 11 baada ya mechi Saba na Pointi zao tisa msimu huu kwa Milan… Hawana Sare, wamepigwa game nne na kushinda mechi tatu… Ushindi wao ni goli moja moja, jana tu vs Genoa wameshinda 2-1 kwa shida mnoo, game ambayo ilikuwa na Red Card Nne (4)….Milan inatia huruma 😱.
#SerieA #ACMilan
@Harunlugoyah

Wananchi leo.kuwasambaratisha coastal union Leo uhuru

Kikosi cha yanga sc.leo.kinashuka dimbani majira ya saa kumi jioni katika uwanja wa uhuru jijini dar es salaam dhidi ya coastal unioni katika mchezo wa ligi kuu

Yanga inashuka dimbani ikiwa na pointi 1 ambayo waliipata katika mchezo wao na polisi tanzania ambapo walikwenda sare ya 3-3 …

Kila raheli wananchi yanga katika mchezo wenu

Kwa mara ya kwanza Diego Maradona ashinda mechi yake ya kwanza

#ArgentinaSuperliga

Hatimaye mtukutu na mfalme wa soka Diego Armando Maradona anashinda mechi yake ya kwanza kama kocha wa Gimnasia, hii ni baada ya kupoteza mechi tatu mfululizo. Usiku wa kuamkia leo timu yake ilishinda 2-4 kwenye mchezo wa ugenini dhidi ya Godoy Cruz.

FT | Godoy Cruz 2-4 Gimnasia
Brunetta 45′,61′ | Contin 2, Ayala 44′, 83, Garcia 87′

Godoy Cruz walipata Kadi nyekundu 2:
Varela 51′
Jacquet 81′

RATIBA YA SOKA LEO

KAMATA RATIBA YA SOKA LEO
:
#TanzaniaVodacomPrimierLeague
16:00 Yanga Sc vs CoastUnion
:
#EnglandPremierLeague
16:00 Arsenal vs AFC Bournemouth
16:00 Manchester City vs Wolverhampton
16:00 Southampton vs Chelsea
16:30 Newcastle United vs Manchester United
:
#SpainLaLigaSantander
13:00 Mallorca vs RCD Espanyol
15:00 Celta Vigo vs Athletic Bilbao
17:00 Real Valladolid vs Atletico Madrid
19:30 Real Sociedad vs Getafe
22:00 Barcelona vs Sevilla
:
#ItalySerieA
13:30 Fiorentina vs Udinese
16:00 Roma vs Cagliari
16:00 Atalanta vs Lecce
16:00 Bologna vs Lazio
19:00 Torino vs Napoli
21:45 Inter vs Juventus
:
#GermanyBundesliga
14:30 Borussia MΓΆnchengladbach vs Augsburg
16:30 Wolfsburg vs 1. FC Union Berlin
19:00 Eintracht Frankfurt vs Werder Bremen
:
#FranceLigue1
16:00 Lille vs Nimes
18:00 Rennes vs Reims
22:00 Saint-Etienne vs Lyon
:
#NetherlandsEredivisie
13:15 ADO Den Haag vs Ajax Amsterdam
15:30 Fortuna Sittard vs Feyenoord
17:45 PSV Eindhoven vs VVV-Venlo
17:45 Willem II vs AZ Alkmaar
:
#BelgiumFirstDivisionA
15:30 Club Brugge vs Gent
19:00 Royal Antwerp vs Standard Liege
21:00 Genk vs Royal Excel Mouscron
:
#AlgeriaLigue1
18:00 NA Hussein Dey vs AS Ain Mlila
19:00 CA Bordj Bou Arreridj vs JS Saoura
19:00 JS Kabylie vs ES Setif
20:45 Paradou AC vs CR Belouizdad
:
#EgyptPremierLeague
16:00 El Gounah vs Misr El-Maqasa
18:30 El Geish vs Pyramids FC
18:30 El Hodood vs Tanta
21:00 El Zamalek vs FC Masr
:
#KenyaPremierLeague
15:00 Gor Mahia vs Zoo FC
15:00 Kakamega Homeboyz vs Tusker FC
15:00 Sofapaka vs Bandari
:
#MoroccoBotolaPro
17:00 FAR Rabat vs Olympic Club de Safi
19:00 Hassania Agadir vs RSB Berkane
21:00 Difaa El Jadida vs Wydad Casablanca
:
#TanzaniaFDL
16:00 Gipco Fc vs Pamba Sc
:
Imeandaliwa na @officialchristz wa @sokaplace_

MATOKEO YA SOKA JANA.

#EgyptPremierLeague
FT Aswan FC 1 – 5 Al Ahly
FT El Entag El Harby 0 – 1 Al Mokawloon Al Arab
FT Wadi Degla FC 0 – 1 Ismaily SC
FT Al Masry 0 – 1 Al-Ittihad Al-Sakandary
:
#VodacomPremierLeague
FT Azam FC 2-1 Namungo FC
:
#EnglandPremierLeague
FT Brighton 3 – 0 Tottenham Hotspur
FT Burnley 1 – 0 Everton
FT Liverpool 2 – 1 Leicester City
FT Norwich City 1 – 5 Aston Villa
FT Watford 0 – 0 Sheffield United
FT West Ham United 1 – 2 Crystal Palace
:
#EnglandChampionship
FT Fulham 2 – 2 Charlton Athletic
FT Bristol City 1 – 0 Reading
FT Derby County 2 – 0 Luton Town
FT Huddersfield Town 3 – 0 Hull City
FT Millwall 2 – 1 Leeds United
FT Nottingham Forest 1 – 0 Brentford
FT Preston North End 5 – 1 Barnsley
FT Queens Park Rangers 4 – 2 Blackburn Rovers
FT Sheffield Wednesday 1 – 0 Wigan Athletic
FT Swansea City 1 – 2 Stoke City
FT West Bromwich Albion 4 – 2 Cardiff City
:
#SpainLaLigaSantander
FT Leganes 1 – 2 Levante
FT Real Madrid 4 – 2 Granada
FT Valencia 2 – 1 Deportivo Alaves
FT Osasuna 2 – 1 Villarreal
:
#ItalySerieA
FT SPAL 1 – 0 Parma
FT Verona 2 – 0 Sampdoria
FT Genoa 1 – 2 Milan
:
#GermanyBundesliga
FT Bayer Leverkusen 1 – 1 RasenBallsport Leipzig
FT FC Bayern MΓΌnchen 1 – 2 Hoffenheim
FT Freiburg 2 – 2 Borussia Dortmund
FT SC Paderborn 07 1 – 2 Mainz 05
FT Schalke 04 1 – 1 1. FC KΓΆln
:
#FranceLigue1
FT Paris Saint-Germain 4 – 0 Angers
FT Dijon 1 – 0 Strasbourg
FT Nantes 1 – 0 Nice
FT Toulouse 1 – 3 Bordeaux
FT Montpellier 3 – 1 Monaco
FT Brest 2 – 0 Metz
:
#NetherlandsEredivisie
FT Heracles 2 – 0 FC Emmen
FT Sparta Rotterdam 2 – 1 FC Twente
FT Vitesse 2 – 1 FC Utrecht
FT SC Heerenveen 1 – 0 PEC Zwolle
:
#BelgiumFirstDivisionA
FT Eupen 0 – 2 KV Mechelen
FT Waasland-Beveren 3 – 1 Oostende
FT Zulte Waregem 6 – 0 Cercle Brugge
FT Kortrijk 4 – 0 St.Truiden
:
#AlgeriaLigue1
FT NC Magra 0 – 0 MC Alger
FT MC Oran 4 – 0 USM Alger
FT ASO Chlef 0 – 1 USM Bel Abbes
FT US Biskra 2 – 1 CS Constantine
:
Imeandaliwa na @officialchristz wa @sokaplace_

Design a site like this with WordPress.com
Get started