



















#

PremierLeague
FT | Mancity 0-2 Wolves
Traore 80′, 90+4’⚽
•
Wolves inapata ushindi Etihad dhidi ya mabingwa watetezi Manchester City, Ushindi huo unamaanisha Liverpool sasa wanaongoza kwa tofauti ya alama 8 kileleni mwa EPL.
Manchester City ya Pep Guardiora wakiwa Etihad wanapokea kipigo kwenye Ligi pasipo kupata goli lolote, mara ya mwisho ilikuwa Machi 2016 wakifugwa na Man Utd (0-1) wakati huo kocha alikuwa Manuel Pellegrini

#EnglandPremierLeague
FT Arsenal 1 – 0 AFC Bournemouth
FT Manchester City 0 – 2 Wolverhampton Wanderers
FT Southampton 1 – 4 Chelsea
#sokaplaceupdates

FT: Yanga Sc 1-0 Coastal Union
Makame ’51
:
Baada ya ushinda wa Mchezo wa leo Yanga imejipatia milioni 10 kutoka kwa wadhamini wao Gsm kama motisha ya Mchezo huo.

🥅 Timu zilizoruhusu mabao mengi mpaka sasa kwenye EPL
Watford – 20
Norwich – 16
Chelsea – 13
Chelsea baadaye wako na Southampton, wataweza kupata Clean sheat yao ya pili msimu huu?

#LaLigaSantander
⚽ Barcelona vs Sevilla
🏟 Camp Nou
⏰ 4:00 usiku
•
Sevilla wameshinda mara moja tu dhidi ya Barcelona katika michezo 24 iliyopita ya La Liga (Sare 5 Kafugwa ×18)-ushindi huo ulipatikana Oktoba2015 -Sevilla akishinda 2-1
•
Lionel Messi amefunga mabao 36 dhidi ya Sevilla katika mashindano yote. 21 ya magoli hayo 36 amefunga kwenye Uwanja wa Camp Nou
•
Je Messi ataamua matokeo ya mchezo wa leo au Sevilla watabadilisha hali ya hewa pale Camp Nou!!
•
Kwenye mkeka wako unaouweka @mbet.co.tz unampa nani dhamana? Tembelea http://www.mbet.co.tz au pita kwenye bio yao @mbet.co.tz halafu weka mzigo wako kwa timu itakayokupa mtonyo.
#Mbet #NyumbaYaMabingwa



Mabingwa wa CECAFA U20 Timu ya Vijana U20 Tanzania Bara wamewasili salama na kupokelewa na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe @harrisonmwakyembe @wilfredkidao @wallacekaria @innookama @azamtvtz @vodacomtanzania
#wapendasokaupdates








