Timu ya Taifa @taifastars_ imeanza mazoezi kwenye Uwanja wa Taifa kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Rwanda na mchezo wa marudiano dhidi ya Sudan michuano ya CHAN @tanfootball

Timu ya Taifa @taifastars_ imeanza mazoezi kwenye Uwanja wa Taifa kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Rwanda na mchezo wa marudiano dhidi ya Sudan michuano ya CHAN @tanfootball

Official!!
✍Kocha wa kikosi cha timu ya taifa ya Ufaransa🇫🇷 Didier Deschamps hii leo katika mkutano na waandishi wa habari amethibitisha Steven Mandanda kuwa ndiye atakuwa mlinda mlango wake namba moja kwa sasa!.
.
✍Taarifa hizi zinakuja baada ya aliyekuwa mlinda mlango namba moja wa mabingwa hao wa dunia Hugo Lloris kupata majeraha akiwa katika majukumu ya klabu yake ya Tottenham Hotspurs🏴 dhidi ya Brighton katika mchezo wa ligi kuu ya uingereza.
.
✍Mandanda anaekipiga katika klabu ya Olympique de Marseille atakuwa namba moja huku msaidizi wake akiwa golikipa wa aliye kwa mkopo Real Madrid Alfonse Areola!.
.
✍Ufaransa wataumana na Iceland🇮🇸 tarehe 11/10 na Uturuki 🇹🇷 tarehe 14/10 katika michezo ya kufuzu michuano ya Euro 2020.
.
.
@anode360 Powered by @mcheza_tz @bussi_ntua @tshombee1 #sokaonlineupdates

Klabu ya Tottenham imethibitisha kukosa huduma ya Nahodha wake Hugo lloris kwa muda wa miezi miwili na nusu baada ya kuumia katika mchezo wa juzi dhidi ya Brighton ambapo Spurs ilifungwa bao 3-0
#wapendasokaupdates

– Kipa namba moja wa timu ya taifa ya Uganda 🇺🇬, Denis Onyango, ataendelea kuwa Nahodha wa Uganda Cranes chini ya Kocha mkuu mpya, Johnny McKinstry ambaye alimuelezea mchezaji huyo kama “Hazina kubwa kwa timu.”.
..
– Onyango, 34, amekuwa akivaa kitambaa cha unahodha tangu Aprili 2017, akuteuliwa na Kocha wa zamani wa Cranes, Milutin ‘Micho’ Sredojevic akamtaja kama mbadala wa mshambuliaji mstaafu, Geoffrey Massa.
…
– Mlinda lango huyo wa Mamelodi Sundowns 🇿🇦, aliendelea kuwa Nahodha wa Uganda chini ya kocha wa zamani wa timu ya taifa Sebastien Desabre kabla ya kocha huyo mpya kutangazwa Mwezi Uliopita.
…
🗣 “Ikiwa nasema uzoefu kwanza, watu watasema kuwa hana ubora na ikiwa nasema ubora kwanza, wanaweza kuhisi kwamba sithamini uzoefu wake lakini Onyango anakuja na kifurushi kamili,” McKinstry aliiambia BBC, wakati anafafanua kikosi cha kwanza baada ya
kuteuliwa kama kocha wa Uganda..
…
– Kibarua cha kwanza cha McKinstry ni game ya rafiki ya kimataifa dhidi ya Ethiopia mnamo Oktoba 13 huko Bahir Dar, karibu 500km kaskazini mwa mji mkuu, Addis Ababa.. Kocha huyo Raia wa Kaskazini mwa Ireland ameita wachezaji kutoka nje ya Nchi tuu katika kikosi chake kwa sababu Wachezaji wa ligi ya ndani wana game ya kuwania kufuzu kwa CHAN dhidi ya Burundi mnamo 18 Oktoba..
#UgandaCranes #Updates
@Harunlugoyah

OFFICIAL | Klabu ya SINGIDA UNITED FC imemtangaza kocha, Ramadhan Nsanzurwimo kuwa kocha wao mkuu akichukua nafasi ya Fred Felix Minziro Ambaye ameachana na klabu hiyo ya Mkoani Singida.
…
– Nsanzurwimo raia wa Burundi 🇧🇮 alikuwa akiinoa klabu ya Mbeya City ya jijini msimu uliopita, City ambayo msimu huu ipo chini ya kocha mkuu, Juma Mwambusi.
#TransfersNews #VPLUpdates

Simba @diamondplatnumz akiwa na furaha na mastar wengine @nglkante @wilfriedzaha @stormzy mara baada ya kupokea tuzo kubwa za heshima jijini London za @boa_awards
Tuzo hizi zinatolewa kwa watu mashuhuri kama wasanii ,wanamichezo na viongozi ambao wamefanya maendeleo makubwa hasa katika nyanja za muziki, elimu, michezo na kusaidia jamii.
Cc @giftmacha_official

Mitaa ya Stretford na pembezoni mwa mto Irwell jijini Manchester kaskazini-magharibi kutoka ardhi na bustani ya Malkia nchini England, siku ya jana ilikuwa siku ya vipigo kwa vilabu pacha vya jiji hilo, City na United hali ya mji ilikuwa tulivu na huzuni
.
Pale Etihad vijana wa Pep walikubali kipigo kutoka kwa mbwa mwitu wahuni hawa “The Wolf Gang” Wolverhampton vijana wakiongozwa na “The Alpha of Bayou” Nuno Esperito Santo wamemfanya Pep apapase kipara chake mara nyingi zaidi tangu msimu uanze.
.
Nuno alifanikiwa kimbinu aliwapa heshima City na kudefend deep kabisa akisubiri counter attack, timu ilikuwa very compact ikaziba kila mianya kwa City kuna muda timu ilijaa kwenye box lao wakikaba kama ndio mwisho wao wa maisha.
.
Assist mbili toka kwa mMexico Raul Jiminez “Masked-off Ray Mysterio” kwenda kwa Adama Traore “Pepsi Big” zilikuwa mwiba kwa Pep, ila tatizo la City linajulikana ni pengo la Laporte, bahati mbaya sana jana Paschal Wawa Otamendi 😂 aliamka na kichaa chake. Ila Kilio kikubwa ni point 8 chini ya majogoo.
.
Kwa wajukuu wa Fergie, kuna siku wanaweza muua babo yao kwa presha. Walienda ugenini wakapigwa cha ngurue, wengine wanaeza sema majeruhi au makinda ila kumbukeni ata aliefunga jana nae ni kinda tu na ni mechi yake ya kwanza kabisa.
.
Kuna tatizo eneo la kati na la ufungaji, Defence ya United ni nzuri, hii ni sawa na Familia ya Baba Mchungaji (defence) ambayo inaheshimika sanaa na imeimarika kiimani, ila watoto wao wakaja kuwa Amber Rutty(midfield) na Dume delicious (attack), Kwa hali hiyo lazima heshima ya Baba Mchungaji ishuke tu.
.
Man United wamekuwa wanapata tabu na timu ambazo zinacheza deep na kuwaacha wazurure ovyo. Wakinyanganywa mpira kwa couter attack wanakuwa out of shape kabisaa (rejea goli la jana).
.
Tabasamu la Timmy Longstaff linaumiza sana kama wewe ni mshabiki wa United, Perfomance ya kibabe sana kutoka kwa watoto wa mzee Longstaff pale kati, jana Steve Bruce kawapa lift mpaka magetoni
.
United wanangu nawakumbusha tu ni point 2 tu toka Relegation zone, 😂😂😂 #championship.
.
Written by Daniel Mtani Thomson ✍🏻@danirito_thomson

Klabu ya Simba itacheza Michezo ya Kirafiki na Vilabu vya BANDARI FC ya kenya ,MASHUJAA UNITED ya Kigoma na AIGLE NOIR ya Burundi.
:
Simba itaanza kucheza na Bandari katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es laam na itaondoka Dar es laam na kuwafata Mashujaa pamoja na Aigle Noir ya Burundi huko kigoma
:
Michezo Miwili itafanyika katika uwanja wa Lake Tanganyika Mjini Kigoma
:
16:00 Simba Vs Bandari Fc
12/10/2019 Uwanja wa uhuru
:
14/10/2019 Lake Tanganyika
16:00 Mashujaa Vs Simba Sc
:
16/10/2019 Lake Tanganyika
16:00 Aigle Noir vs Simba Sc
:
Imeripotiwa kuwa michezo hii itakua sehemu ya mazoezi ya kikosi hicho pamoja na kuwa karibu na mashabiki wao wa mikoa mbali mbali.