
π£ “Wapenzi Mashabiki, wakati sasa umefika na nitamaliza kazi yangu ya sasa mwisho wa msimu huu..
…
π£ “Nataka kuwashukuru nyote, timu zangu, Bayern Munich, Manchester United, Chicago Fire na timu ya taifa ya Ujerumani. Zimenifanya kuwa na wakati huu mzuri kwangu, Na kwa kweli, ningependa kumshukuru mke wangu, Ana Ivanovic na familia yangu kwa msaada wao.
….
π’ Bastian Schweinsteiger Amethibitisha kuwa atastaafu soka mwishoni mwa msimu huu!..
π 663 Games
π©πͺ 121 Caps
β½οΈ 104 Goals
π― 152 Assists
ππππππππ Bundesliga
πππππππ DFB-Pokal
π World Cup
π Champions League
π FA Cup
π DFB-Ligapokal
π DFL-Supercup
π Legend.

























Klabu ya Olympic Lyon imemfukuza kocha wake Sylvinho baada ya kuwa na matokeo mabovu (ushindi wa mechi moja tu kati ya tisa zilizopita) huku ikiwa nafasi ya 14 kwenye Ligi.Sylvinho licha ya kuchukua kazi ya ukocha mkuu mnamo Mei, klabu ya Lyon imesitisha mkataba na kocha huyo na hivyo itakuwa chini kocha msaidizi Gerald BarticleMkurugenzi wa Michezo wa Lyon, Juninho Pernambucano ambaye hatma yake pia imeangaziwa katika wiki za hivi karibuni, bado yeye atabaki katika majukumu yake.#Ligue1
Taarifa za awali zimedai kuwa Mshambuliaji wa RealMadrid Karim Benzema amekubali kuongeza mkataba mpya wa kuendelea kusalia klabuni hapo hadi 2022