Rais wa shirikisho la soka nchini Uganda FUFA afungiwa

Rais wa shirikisho la soka nchini Uganda FUFA Bw. Moses Magogo amefungiwa na FIFA kujihusisha na masuala ya soka kwa muda wa miezi miwili pamoja na faini.

Magobo amekutwa na hatia ya kuuza tiketi za kombe la dunia (2014) kinyume na taratibu na kujinufaisha mwenyewe.

FIFA hutoa tiketi kwa nchi wanachama kwa ajili ya kuwauzia mashabiki wa soka wanaotaka kushuhudia mashindano hayo makubwa ya mpira wa miguu duniani.

Nahodha wa Azam FC, Agrey Moris, ameanza mazoezi baada ya kuwa majeruhi

Nahodha wa Azam FC, Agrey Moris, ameanza mazoezi baada ya kuwa majeruhi kwa kipindi cha takribani miezi minne… Moris alipata maumivu ya goti mwezi Juni mwaka huu, kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Timu ya Taifa ya Misri, wakati akiwa na kikosi cha #TaifaStars iliyokuwa ikijiandaa na michuano ya #AFCON2019 nchini Misri.
#VPLUpdates #AzamFC

Ubelgiji imekuwa timu ya kwanza kufuzu kwa Fainali za UERO mwaka

Vijana wa kocha Roberto Martinez, Kikosi cha timu ya taifa ya Ubelgiji imekuwa timu ya kwanza kufuzu kwa Fainali za UERO mwaka 2020 baada ya kushinda Magoli 9-0 dhidi ya San Marino 🇸🇲 jana Alhamisi.
..
– Wakifuzu kwa Rekodi yao ya Kipekee, Mechi Saba Wakishinda zote, wakiruhusu kufungwa goli Moja tu huku Magoli 28 wao wakifanikiwa kufunga… Wamefuzu mbele ya Urusi 🇷🇺, Kazakhstan 🇰🇿, Scotland 🏴󠁧󠁢󠁳󠁣󠁴󠁿, Cyprus 🇨🇾, na San Marino 🇸🇲.
#EURO2020Q #belgium
@Harunlugoyah

Iraq 🇮🇶 yacheza nyumbani baada ya miaka nane kupita

👉 Kwa Mara ya kwanza kabisa baada ya Miaka Nane (8), Mwezi Mmoja na Siku Nane (8), timu ya taifa ya Iraq 🇮🇶 imecheza mechi yao ya kwanza ya Kimashindano katika Ardhi yao ya Nyumbani.

👉 Iraq jana Walishinda 2-0 katika mechi yao ya kuwania kufuzu kucheza fainali za Kombe la Dunia dhidi ya Hong Kong 🇭🇰 huko Mjini Basra… Kabla ya hiyo Miaka Nane kupita, Game hiyo ya jana ilikuwa ni ya 14 Pekee ya kuwania kufuzu kucheza kombe la Dunia kwa Iraq wakicheza Ardhi ya nyumbani, Ushindi 9️⃣, Sare 2⃣, kupoteza 3⃣, Magoli ya Kufunga 4⃣4⃣ na Magoli ya Kufungwa 1⃣2⃣… 👏👏👏🙌.
#WorldCupAFCQualification
@Harunlugoyah

MATOKEO YA SOKA JANA

#EUROQualification
FT Belarus 0 – 0 Estonia
FT Netherlands 3 – 1 N.Ireland
FT Croatia 3 – 0 Hungary
FT Slovakia 1 – 1 Wales
FT Austria 3 – 1 Israel
FT North Macedonia 2 – 1 Slovenia
FT Latvia 0 – 3 Poland
FT Kazakhstan 1 – 2 Cyprus
FT Belgium 9 – 0 San Marino
FT Russia 4 – 0 Scotland
:
#WorldCupAFCQualification
FT China 7 – 0 Guam
FT Syria 2 – 1 Maldives
FT Australia 5 – 0 Nepal
FT Jordan 0 – 0 Kuwait
FT Iran 14 – 0 Cambodia
FT Iraq 2 – 0 Hong Kong
FT Uzbekistan 5 – 0 Yemen
FT Saudi Arabia 3 – 0 Singapore
FT Bangladesh 0 – 2 Qatar
FT Oman 3 – 0 Afghanistan
FT Japan 6 – 0 Mongolia
FT Kyrgyzstan 7 – 0 Myanmar
FT Vietnam 1 – 0 Malaysia
FT UAE 5 – 0 Indonesia
FT South Korea 8 – 0 Sri Lanka
FT Lebanon 2 – 1 Turkmenistan
:
#InternationalFriendlies
FT Brazil 1 – 1 Senegal
FT Thailand 1 – 1 Congo
FT Togo 1 – 2 Cape Verde
FT Gabon 1 – 0 Burkina Faso
FT Kosovo 1 – 0 Gibraltar
FT Serbia 1 – 0 Paraguay
FT Algeria 1 – 1 DR Congo
FT Venezuela 4 – 1 Bolivia
:
#InternationalClubFriendlies
FT Osasuna 0 – 0 Real Sociedad
FT Real Valladolid 3 – 2 Salamanca CF UDS
FT Villarreal 1 – 1 Levante
FT Anderlecht 1 – 4 KV Mechelen
FT SKN St. Poelten 2 – 0 BW Linz
FT Stroemsgodset 0 – 1 Hamarkameratene
FT Viborg 2 – 4 Randers FC
FT 1. FC Union Berlin 0 – 0 SG Dynamo Dresden
FT SV Wehen Wiesbaden 3 – 3 SC Paderborn 07
FT Wolfsburg 1 – 1 Holstein Kiel
FT FC Giessen 3 – 1 Eintracht Frankfurt
FT Freiburg 1 – 0 Karlsruher SC
FT Hannover 96 1 – 2 DSC Arminia Bielefeld
FT Viktoria Koeln 0 – 6 1. FC Köln
FT Deportivo Alaves 0 – 1 Athletic Bilbao
FT Barakaldo 0 – 0 Athletic Bilbao
:

Design a site like this with WordPress.com
Get started