
#Euro2020Qualifiers live kupitia Startimes
Khazakstan 🇰🇿 vs 🇧🇪 Belgium
⏰ 10:00 jioni
🏟 Astana Arena
📺 ST World Football
Belgium tayari wameshafuzu Fainali za Euro 2020, wanatafuta rekodi ya kushinda mechi zote za kufuzu. Mpaka sasa Belgium wamecheza mechi saba wameshinda mechi zote 7, wakifunga goli 21 na kuruhusu goli 1 tu.
Belgium wameshinda mechi zote tatu zilizopita walipokutana na Khazakistan;
Belgium 3-0 ✅
Belgium 4-1 ✅
*Belgium 2-0 (ugenini) ✅
Mechi hii utaipata kupitia Startimes channeli ya World Football, pia waweza angalia kupitia App 📱 cheki link kwenye bio ya @startimestz
#MpangoniSoka
#StartimesPekee