Wachezaji wawili wa kimataifa wa Uganda watinga hatua ya robo fainali ya klabu bingwa

Wachezaji wawili wa kimataifa wa Uganda watinga hatua ya robo fainali ya klabu bingwa barani Afrika na vilabu vyao

Denis Masinde ONYANGO Mamelodi Sundowns – Afrika Kusini

Joseph Benson OCHAYA – Tp Mazembe

Powered by @sports_lady_tz

Takwimu za mechi 3 za mwisho za ugenini za Wana paluhengo Lipuli fc •

Takwimu za mechi 3 za mwisho za ugenini za Wana paluhengo Lipuli fc

Mechi – 3
Kushinda – 0
Kufungwa- 3
Sare -0

Azam 2-0 Lipuli fc
Ruvu Shooting 3-1 Lipuli fc
Yanga sc 2-1 Lipuli fc

Lipuli fc wamefungwa jumla ya goli 7 huku walifunga goli 2 pekee

Lipuli sasa wanabakia la alama zao 25 baada ya kucheza michezo 19 wakiwa nafasi ya 10 kwenye msimamo wa ligi kuu Tanzania bara

Mzimu wa mechi za ugenini bado unawatesa Wana paluhengo

Powered by @sports_lady_tz
#dailysporttz

Mwakyembe azungumzia mwenendo wa VPL

“Kumekuwa malalamiko mengi juu ya ligi yetu, watu wanalalamika wanaonewa na vyombo vyenye mamlaka havitoa maamuzi. Mara unasikia kuna timu imesahauliwa kwenye ratiba yaani ni wazi kuna jambo halipo sawa. “Nimeiagiza BMT kufuatilia malalamiko haya na nimewapa siku tatu kuhakikisha wanakuja na majibu ambayo watayatoa mbele za vyombo vya habari,” Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe
#wapendasokaupdates

Hii Hapa ratiba ya robo fainali klabu bingwa Afrika

Hii Hapa ratiba ya robo fainali klabu bingwa Afrika

Al Ahly SC 🇪🇬 x 🇿🇦 Mamelodi Sundowns
Raja Casablanca 🇲🇦 x 🇨🇩 TP Mazembe
Zamalek SC 🇪🇬 x 🇹🇳 Espérance Tunis
Wydad AC 🇲🇦 x 🇹🇳 Etoile Sahel
First Leg – 28 and 29 February 2020
Second Leg – 06 and 07 March 2020

#wapendasokaupdates
#TotalCAFCL

Kamata Ratiba Ya Soka Leo

:
👉Spain Copa del Rey
21:00 Real Madrid vs Real Sociedad
23:00 Athletic Bilbao vs Barcelona
:
👉Belgium Beker Van Belgie
22:45 Kortrijk vs Royal Antwerp
:
👉England – Ligue 1
19:00 Paradou AC vs US Biskra
:
👉Egypt Premier League
18:00 Al Masry vs Tanta
20:30 Pyramids FC vs Al Ahly
:
👉Morocco Botola Pro
17:00 Rapide Club Oued Zem vs Wydad Casablanca
21:00 MAT Tetouan vs RSB Berkane
:
👉SouthAfrica Premier League
20:30 Bidvest Wits vs Black Leopards
:
👉Ghana – Premier League
22:00 Hearts of Oak vs Ashanti Gold FC
:
👉United Arab Emirates – UAE League
16:30 Al-Dhafra ve Al-Nasr
16:30 Al-Wahda vs FC Baniyas
19:15 AL Ittihad Kalba vs Hatta
19:15 Shabab Al-Ahli Dubai FC vs Al-Jazira
:
Prepared by @officialchristz
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson

Kamata Matokeo Ya Soka Jana

:
👉VodacomPremierLeague
FT YangaSc 2-1Lipuli Fc
FT Mbeya City 0-1 KMC FC
FT Ruvu Shooting 1-0 Mtibwa Sugar
FT Ndanda SC 3-0 Mbao FC
FT Namungo FC 1-1 Alliance FC
FT Azam FC 1-1 Tanzania Prisons
FT Biashara United 2-1 Singida United
FT Kagera Sugar 2-1 Mwadui Fc
:
👉Spain – Copa del Rey
FT Mirandes 4 – 2 Villarreal
:
👉Italy – Serie A
FT Lazio 0 – 0 Verona
:
👉Germany – DFB Cup
FT Bayer Leverkusen 2 – 1 VfB Stuttgart
FT SC Verl 0 – 1 1. FC Union Berlin
FT 1. FC Saarbrucken 0 – 0 Karlsruher SC
P(5-3)
FT FC Bayern München 4 – 3 Hoffenheim
:
👉France – Ligue 1
FT Toulouse 0 – 1 Strasbourg
FT Montpellier 1 – 1 Metz
FT Lyon 0 – 0 Amiens
FT Nimes 2 – 0 Dijon
FT Brest 1 – 1 Bordeaux
FT Reims 1 – 1 Nice
FT Saint-Etienne 0 – 2 Marseille
:
👉England – FA Cup
FT Tottenham Hotspur 3 – 2 Southampton
:
👉Algeria – Ligue 1
FT JS Kabylie 1 – 0 NA Hussein Dey
:
👉Egypt – Premier League
FT El Zamalek 2 – 0 El Hodood
:
👉Morocco – Botola Pro
FT Raja Casablanca 2 – 1 OCK Khouribga
FT Hassania Agadir 2 – 1 Ittihad Tanger
:
👉Tunisia – Ligue I
FT Esperance 1 – 0 US Monastir
:
👉Ghana – Premier League
FT Berekum Chelsea FC 1 – 0 Karela United FC
FT Ebusua Dwarfs 3 – 1 Aduana Stars
FT Eleven Wonders FC 0 – 3 Inter Allies FC
FT King Faisal 3 – 4 Accra Great Olympics
FT Legon Cities FC 1 – 0 Elmina Sharks
FT Liberty Professionals 1 – 2 Dreams FC
FT Medeama SC 1 – 0 Bechem United
FT Sogakope Wafa 0 – 0 Asante Kotoko
:
👉Nigeria – NPFL
FT Lobi Stars 1 – 1 Enugu Rangers
FT MFM FC 0 – 1 Enyimba
:
Prepared by @officialchristz
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson

Design a site like this with WordPress.com
Get started