
✍🏻 Mchezo wa kuwania kufuzu kucheza Michuano ya EURO 2020, kati ya England dhdiya Bulgaria ulisimamishwa mara kadhaa kwani mashabiki walionywa juu ya tabia ya ubaguzi wa rangi kwa Wachezaji weusi, hasa wakielekezewa Raheem Sterling na Troy Mings wote wa England, Ubaguzi huo pia ulionesha pamoja na Saluti za Nazi na kuimbwa kwa milio ya tumbili… Game ililazimika kusimama mara ya kwanza dakika ya 28 huku England ikiongoza 2-0.
..
✍🏻 Tangazo la ndani ya uwanja lililaani Vitendo hivyo hiyo kabla ya kusema mechi ingehairishwa kucheza ikiwa tabia hiyo itaendelea… Mchezo huo ulisitishwa tena dakika ya 43 kabla ya kuanza tena baada ya majadiliano kati ya mwamuzi na meneja wa England, Gareth Southgate… England ilimaliza mchezo kwa kushinda 6-0 Na Kuendelea kuwa kinara wa Kundi A…. (Nazi Salutes – Maana yake nitakupa baadaye kidogo 🙌)..
#England #EURO2020Qualifiers
@Harunlugoyah
















