Algeria waichakaza Colombia 3-0

Mabigwa wa Afrika, timu ya Algeria ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ waishangaza Colombia katika mchezo wa kirafiki baada ya kuibuka na ushindi wa bao 3-0.

Matokeo mabaya katika historia ya timu ya Colombia kufugwa na timu ambayo iko nje ya bara la Ulaya au Amerika.

Mara ya mwisho Colombia kupoteza dhidi ya timu nje ya bara la Ulaya au Amerika ilikuwa 1996 dhidi ya South Korea ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ท
โ€ข
FT | Algeria 3-0 Colombia
Baghdad 15’โšฝ
Mahrez 20′,65’โšฝโšฝ

Simba yajifua kuwavaa Aigle Noir

Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba bado kiko Kigoma leo wakifanya mazoezi kwenye uwanja wa Lake Tanganyika kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Aigle Noir

Mchezo dhidi ya Aigle Noir utapigwa kesho Jumatano katika uwanja wa Lake Tanganyika

Huo utakuwa mchezo wa pili kwa Simba mkoani Kigoma baada ya jana kuilaza Mashujaa Fc bao 1-0

Raisi wa soka. Bulgaria ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฌ ajiuzuru

Muda mfupi baada ya serikali ya Bulgaria ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฌ kusitisha mahusiano yote na shirikisho la soka la Bulgaria (BFA) mpaka pale Rais wa shirikisho hilo Borislav Mikhailov atakapojizulu – sasa ni rasmi Mikhailov ameamua kujiondoa katika nafasi ya Urais wa shirikisho hilo.
.
Hatua ya serikali ilikuja baada ya mchezo wa jana kuwania kufuzu kucheza Euro 2020 baina ya Bulgaria na England kutawaliwa na vitendo vingi vya ubaguzi wa rangi dhidi ya wachezaji weusi wa England.

Habari Mbaya kwa Mashabiki wa klabu ya USM Alger ya Algeria ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ na watu wa Soka

โœ๐Ÿป Habari Mbaya kwa Mashabiki wa klabu ya USM Alger ya Algeria ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ na watu wa Soka ni kwamba Mabingwa hao Watetezi wa Ligi Kuu ya Algeria wamelazimika kusimamisha shughuli zote za soka ndani ya klabu kwa muda kutokana na matatizo ya kifedha yaliyo iandama klabu hiyo.
….
โœ๐Ÿป Wafanyakazi, Benchi la Ufundi na wachezaji hawajalipwa kwa zaidi ya miezi Sita Sasa, Jumamosi hawakucheza mechi ya Ligi ambayo ilikuwa ni Derby ya Algeria dhidi ya Wapinzani wao, MC Alger ambao walipewa pointi tatu na Magoli Matatu huku wao USMA wakiambulia kupigwa faini ya $8220… Mpaka Sasa, Haijulikani kama klabu hiyo Pia Itajitoa katika Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Klabu hiyo ipo kundi C pamoja na Mamelodi Suntowns ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ, Petro Atletico ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ด na Wydad Casablanca ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ.

โœ๐Ÿป Klabu hii ni miongoni wa timu kubwa Algeria na Maarufu zaidi ikianzishwa miaka 82 iliyopita.. Imeshinda mataji kama Algerian Ligue Professionnelle (8), Algerian Cup (8), Algerian Super Cup (2).. Katika viwango vya IFFH, USMA ipo nafasi ya kwanza kitaifa, nafasi ya 21 Barani Afrika na nafasi ya 407 Kudunia katika viwango vipya vya Septemba 29 mwaka Huu.. waliwahi kucheza ya CAF Champions League mara moja mwaka 2015, lakini walipoteza mbele ya TP Mazembe…
#Algeria #USMA #USMAlger
@Harunlugoyah

Idadi. Ya wachezaji katikati ya dimba pia.ni.magoli.. Kipa

๐Ÿงค John Terry sio Mchezaji pekee asiye kipa kuvaa gloves na kukaa langoni kucheza kama mlinda lango… Wengine ni:
๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Rio Ferdinand
๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท Dani Alves
๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Harry Kane
๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Jose Sanchez
๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ช John O’Shea
๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท Felipe Melo
๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฟ Jan Koller
๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Phil Jagielka
#PremierLeagueUpdates

Ufaransa yabanawa mbavu.na uturuki

โœ๐Ÿป Mabingwa wa dunia, timu ya taifa ya Ufaransa walilazimishwa sare ya 1-1 na Uturuki huko Paris na kuchelewesha kufuzu kwao kwa fainali za EURO 2020…Mshambuliaji wa Chelsea, Olivier Giroud aliifungia Ufaransa dakika tu nne baada ya kutokea benchi katika kipindi cha pili, Kaan Ayhan aliisawazishia Uturuki dakika tano tu baada ya wao kuanza kufungwa..
..
โœ๐Ÿป Matokeo hayo, yanamaanisha kuwa Uturuki inabaki juu ya Ufaransa katika Kundi H kwa sababu ya ushindi wao wa 2-0 kwenye mchezo wa kwanza, wote wakiwa na pointi Sawa, Ushindi wa 2-0 waliopata Iceland dhidi ya Andorra ina maana kuwa Ufaransa na Uturuki zinaweza kufuzu mpaka mwezi Ujao..

โœ๐Ÿป Uturuki inakabiliwa na mechi dhidi ya Iceland na Andorra mnamo Novemba inahitaji kushinda ili kuweza kufuzu, wakati Ufaransa inakabidiliwa na Moldova kabla ya kwenda Albania, wanahitaji alama tatu tu kufuzu EURO 2020!..
#france #EURO2020Qualifiers
@Harunlugoyah

Design a site like this with WordPress.com
Get started