Inakuwa miongoni mwa timu zilizopata ushindi mkubwa katika historia ya ligi ya Epl;✅
●Southampton 0-9 Leicester City 2019
●Man Utd 9-0 Ipswich 1995
●Spurs 9-1 Wigan 2009
—
Rekodi ya ushindi mkubwa Ugenini kwa timu zinazoshiriki Ligi kuu ✅
—
Rekodi kwa upande wa klabu ya Leicester City kupata ushindi mkubwa ugenini ✅
—
Brendan Rogers 🎩
Villareal 4-1 Deportivo Alaves

#LaLigaSantander
Villareal 4-1 Deportivo Alaves
Villarreal wamecheza mechi 23 za ligi mfululizo wakiweka kambani katika kila mechi ⚽ ✍🏻 Rekodi bora zaidi kwa sasa katika timu zinazoshiriki kwenye Ligi 5 bora za Ulaya
Samatta ajenga msikiti dar

Baba mzazi wa mshambuliaji wa kimataifa wa KRC Genk, Mbwana Samatta, mzee Ally Samatta akikagua maendeleo ya ujenzi wa msikiti unaojengwa na Samatta uliopo katika eneo la Kidubwa, Vikindu mkoa wa Pwani.
Kwa mujibu wa baba yake mzee Samatta, Ujenzi wa msikiti huo utamgharimu mtoto wake shilingili bilioni moja hadi kukamilika kwake

ifika mwakani.
@samagoal77
#wapendasokaupdates
Simba yaanza safari kuwafata singida arusha

Kikosi cha Simba kinaelekea mkoani Arushs tayari kwa mchezo wake wa ligi kuu keshp dhidi ya Singida United utakaopigwa katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid
#wapendasokaupdates


Ushindi Mkubwa katika historia ya Premier League: …

👉
2019: Southampton 0-9 Leicester
1995: Man Utd 9-0 Ipswich
2009: Spurs 9-1 Wigan
1999: Newcastle 8-0 Sheffield Wednesday
2010: Chelsea 8-0 Wigan
2012: Chelsea 8-0 Aston Villa
2014: Southampton 8-0 Sunderland
2019: Man City 8-0 Watford
…
9 – Leicester wameandika historia ya kupata ushindi mkubwa kabisa Ugenini katika mechi ya ligi kuu ya Uingereza katika historia ya miaka 131 ya Ligi ya Mpira wa Miguu Uingereza. 🙌🔥
#PremierLeague #leicestercity
Magazeti Michezo leo









GARI YA NDANDA SC YAPATA AJALI, WATANO WAJERUHIWA

Kikosi cha Ndanda SC kimepata ajali ya gari wilayani Nzega Tabora wakiwa safarini kuelekea mkoani Kagera.
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoani Tabora, Barnabas Mwakalukwa, ajali hiyo imetokea baada ya gari ya Ndanda kuligonga basi la abiria la Mtei na kusababisha majeraha kwa wachezaji watano wa Ndanda.
Wachezaji waliopata majeraha ni Aziz Sibo, Paul Mahona, Hemed Koja, Nassoro Saleh, Omar Ramadhan.
Ndairagije apewa mwaka mmoja taifa stars

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemtangaza kocha Etienne Ndayiragije kuwa kocha Mkuu wa timu ya Taifa akisaini mkataba wa mwaka mmoja

TFF yaisapoti yanga dhidi ya pyramids

Viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) pamoja na wale wa Yanga, wameungana kuhakikisha Yanga inashinda mchezo dhidi ya Pyramids Fc keshokutwa
Rais wa TFF Wallace Karia amesema shirikisho limetuma viongozi wake Mwanza wafanye kazi bega kwa bega na wenzao wa Yanga
Karia amesema Yanga ndio muwakilishi pekee wa Tanzania Bara katika michuano ya vilabu barani Afrika baada ya KMC, Simba na Azam Fc kutolewa
Amesema mabingwa hao wa kihistoria wana jukumu la kulinda nafasi nne ambazo Tanzania ilizipata baada ya mafanikio ya Simba msimu uliopita
Kama Yanga itafanikiwa kutinga hatua ya makundi, itaongeza alama ambazo pia zitaongezeka mara dufu kama watafanya vizuri kwenye makundi
“Lazima tupambane Yanga iingie makundi, katika nchi ambazo zinagombea pointi hizo, washindani wetu pia wamo kama Gor Mahia ambaye naye hajatolewa kimataifa, lazima tupambane ili pointi zetu ziongezeke na tuendelee kuwa na timu nne kimataifa msimu ujao,” amesema
“Tulikaa na viongozi wa Yanga awali na baada ya kuamua mechi yao ikachezwe Mwanza, tulishauriana na bado tunaendelea kushirikiana kwa hali na mali, hii ni mechi ya Watanzania hivyo hatuna budi kuhakikisha tunashinda kama Taifa”
SAMATTA AWA GUMZO UEFA, LIVERPOOL WAKUBALI UWEZO WAKE

Mchezo huo uliomalizika kwa Liverpool kushinda mabao 4-1 huku Samatta akiwa mchezaji aliechezewa rafu nyingi zaidi kuliko mchezaji yeyote.
Mechi ya marudiano baina ya timu hizo utapigwa jijini Liverpool nchini Uingereza tarehe 05 novemba. Kwa uwezo wa Samatta tunaamini atafanya vizuri zaidi kwani amewamudu na Liverpool wamekubali uwezo wake.