Matokeo ya Soka Jana

#VodacomPremierLeague
FT Singida United 0-1 Simba SC.
FT Ruvu shooting 1-0 Azam FC.
FT Biashara United 1-0 Namungo FC.
FT Lipuli FC 0-1 Coastal Union.
FT Mwadui FC 2-2 JKT Tanzania
:
#ItalySerieA
FT Bologna 2 – 1 Sampdoria
FT Atalanta 7 – 1 Udinese
FT Torino 1 – 1 Cagliari
FT SPAL 1 – 1 Napoli
FT Roma 2 – 1 Milan
:
#EnglandPremierLeague
FT Newcastle United 1 – 1 Wolverhampton
FT Arsenal 2 – 2 Crystal Palace
FT Liverpool 2 – 1 Tottenham Hotspur
FT Norwich City 1 – 3 Manchester United
:
#SpainLaLigaSantander
FT Celta Vigo 0 – 1 Real Sociedad
FT Granada 1 – 0 Real Betis
FT Levante 0 – 1 RCD Espanyol
FT Sevilla 2 – 0 Getafe
FT Osasuna 3 – 1 Valencia
:
#GermanyBundesliga
FT Wolfsburg 0 – 0 Augsburg
FT Borussia Mönchenglad 4 – 2 Eintracht Frankfurt
:
#FranceLigue 1
FT Rennes 3 – 2 Toulouse
FT Saint-Etienne 2 – 2 Amiens
FT Psg 4-0 Marseille
:
#NetherlandsEredivisie
FT SC Heerenveen 1 – 1 FC Groningen
FT PSV Eindhoven 0 – 4 AZ Alkmaar
FT Sparta Rotterdam 1 – 2 FC Utrecht
FT Ajax Amsterdam 4 – 0 Feyenoord
:
#AfricaConfederationsCup
FT Fosa Juniors FC 2 – 0 RSB Berkane
FT Cote d’Or 0 – 0 Al Masry
FT Gor Mahia 1 – 1 Daring Club
FT Green Eagles FC 1 – 1 Hassania Agadir
FT Kampala CCA 0 – 0 Paradou AC
FT UD Songo 1 – 2 Bidvest Wits
FT Young Africans 1 – 2 Pyramids FC
FT Elect-Sport 0 – 1 Djoliba AC Bamako
FT Enyimba International FC 2 – 0 TS Galaxy FC
FT Cano Sport 1 – 3 Zanaco FC
FT Horoya 4 – 2 Bandari
FT Kara 2 – 1 Enugu Rangers
FT Al-Nasr Club of Benghazi 2 – 2 Proline
FT Nouadhibou 2 – 0 Triangle United FC
:
#KenyaPremierLeague
FT Posta Rangers 0 – 0 Wazito FC
FT Sofapaka 1 – 2 AFC Leopards
:

Imeandaliwa na @officialchristz wa @sokaplace_

Mambo.yaliyojitokeza.katika.mchezo wa yanga vs.pyramids

Mambo machache niliyoyaona kwenye mchezo wa mchezo wa kombe la Shirikisho Barani Afrika kati ya Yanga, dhidi ya Pyramids. .
.
1MBINU ,za Mwalimu Mwinyi Zahera, zilikuwa hazina faida kubwa kwa wachezaji wa Yanga, hivi unaanzaje na mshambuliaji moja mbele unataka matokeo kwenye mchezo wa nyumbani, mpira ilikuwa haikai mbele Sadney ,alikosa sapoti muda wowote alikuwa akitembea tu uwanjani.
.
.
Yanga, walikosa utulivu kwenye eneo la kiungo Feisal Toto, Makame, wakiwa na mpira wamekosa utulivu kwenye hilo mpira mingi walikuwa wakipoteza matumizi ya nguvu sana.
.
.
Balama Mapinduzi, some how kaonyesha upambanaji leo kimo chake kimemsaidia kuwapa tabu waraabu kumpora mpira amekosa msaada tu kama Toto, na Makame, wangekuwa watulivu wangekuwa bora eneo la kati.
.
.
Sikuona sababu ya Yanga, kutumia mpira mirefu kushambulia kwani hawakufahamu Pyramids, wana maumbo gani mpira mingi mirefu ilikuwa na faida kwao mabeki wao walikuwa wana relax sana.
.
.
Kuingia kwa Juma Balinya, eneo la ushambuliaji kulileta matumaini alikuja kuongeza presha na kumfanya Sadney, kurudi mchezoni mechi kubwa mwalimu hupaswi kujaribisha kikosi. .
.
Sebastiane Desabre, nilisema tu hapo jana ni mwalimu mzoefu wa michuano Mikubwa Barani Africa alikuja kwa lengo la kupata sare kushinda ni bonasi kwake 🙌.
.
.
Wachezaji wa Pryamids, walikuwa bora eneo la mbele walikuwa wanakabia juu wawili mpaka watatu lengo lao kuwafanya safu ya ulinzi ya Yanga, kufanya makosa walifanikiwa. . ✍🏻 @azizi_mtambo_15

KUFURU NYINGINE IMEFANYWA NA GSM ..YANGA

Sikia hii;Baada ya kocha mkuu wa Mabingwa wa kihistoria na wawakilishi pekee wa Nchi,Mwinyi Zahera kuahidi kutoka kitita cha milioni 100 endapo timu yake itaibuka na ushindi dhidi ya Pyramids FC katika mchezo wa kombe la shirikisho (playoff),nayo
Kampuni ya GSM ambao ni moja ya wadhamini wa klabu ya Yanga pia wakiwa wasambazaji wakuu wa jezi za klabu hiyo, leo wametoa ahadi ya kitita cha Tsh Milioni 30 kama Yanga itafanikiwa kutinga makundi
Ahadi hiyo imetolewa na Mwakilishi wa GSM Injinia Said katika hafla ya kuwakabidhi wachezaji kitita cha Tsh Milioni 10 ahadi waliyotoa mechi dhidi ya Mbao Fc
Said amesema Milioni 30 iko mezani kwa ajili yao kama watapata matokeo dhidi ya Pyramids baada ya michezo yote miwili na kufanikiwa kutinga makundi
Ahadi hiyo inaongeza fedha ambazo wachezaji wa Yanga watapata kama watatinga makundi kufikia Milioni 130 baada ya hapo jana kocha Mwinyi Zahera kutoa ahadi ya Tsh Milioni 100
Akizungumza kwa niaba ya wachezaji kwenye hafla hiyo, nahodha msaidizi wa Yanga Juma Abdul amewashukuru GSM kwa kuendelea kuwahamasisha
Amesema watahakikisha wanaendelea kufanya vizuri ambapo leo ameahidi wamejipanga kushinda kuanzia mabao mawili

Design a site like this with WordPress.com
Get started