Ratiba ya Soka Leo

Kamata Ratiba ya Soka Leo
:
#VodacomPrimierLeague
16:00 Mwadui Fc vs Simba Sc
16:00 Lipuli Fc vs Polisi Tanzania
16:00 Singida United vs Jkt Tanzania
:
#EnglandEFLCup
22:30 Liverpool vs Arsenal
22:45 Aston Villa vs Wolverhampton Wanderers
23:05 Chelsea vs Manchester United
:
#SpainLaLigaSantander
21:00 Valencia vs Sevilla
21:00 Real Sociedad vs Levante
22:00 Athletic Bilbao vs RCD Espanyol
23:00 Real Betis vs Celta Vigo
23:15 Real Madrid vs Leganes
:
#ItalySerieA
21:00 Napoli vs Atalanta
23:00 Cagliari vs Bologna
23:00 Juventus vs Genoa
23:00 Lazio vs Torino
23:00 Sampdoria vs Lecce
23:00 Sassuolo vs Fiorentina
23:00 Udinese vs Roma
:
#GermanyDFBCup
20:30 FC Kaiserslautern vs 1. FC Nürnberg
20:30 SC Verl vs Holstein Kiel
20:30 Wolfsburg vs RasenBallsport Leipzig
20:30 Werder Bremen vs 1. FC Heidenheim 1846
22:45 Borussia Dortmund vs Borussia Mönchengladbach
22:45 FC St. Pauli vs Eintracht Frankfurt
22:45 Fortuna Düsseldorf vs FC Erzgebirge Aue
22:45 Hertha BSC vs SG Dynamo Dresden
:
#FranceLeagueCup
20:45 Le Mans vs Nice
23:05 Monaco vs Marseille
23:05 Niort vs Toulouse
23:05 Metz vs Brest
23:05 Nantes vs Paris FC
23:05 Montpellier vs Nancy
23:05 Amiens vs Angers
23:05 Reims vs Bourg en Bresse Peronnas
:
#BelgiumFirstDivision A
22:30 Genk vs Royal Antwerp
22:30 Zulte Waregem vs Club Brugge
22:30 Standard Liege vs Waasland-Beveren
22:30 KV Mechelen vs St.Truiden
:
#AfricaConfederationsCup
21:00 Generation Foot vs Esae
:
#AlgeriaLigue1
17:00 JS Kabylie vs AS Ain Mlila
17:00 NA Hussein Dey vs JS Saoura
17:00 NC Magra vs USM Alger
18:00 CR Belouizdad vs ES Setif
20:00 ASO Chlef vs CS Constantine
20:00 US Biskra vs MC Alger
20:45 CA Bordj Bou Arreridj vs MC Oran
:
#MoroccoBotolaPro
19:00 Youssoufia Berrechid vs MAT Tetouan
:
#SouthAfricaPremierLeague
20:30 Bloemfontein Celtic vs SuperSport United

Imeandaliwa na @officialchristz
Wa @sokaplace_
Powered by @bikotanzania

ZAHERA: YANGA ILIANDALIWA KWA AJILI YA LIGI KUU SI KLABU BINGWA AFRIKA


Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema hawezi kuwasikiliza Mashabiki wanachokisema kwa sasa baada ya kufungwa na Pyramids FC kwani anawasiliana na Uongozi uliompa Mkataba

Ni baada ya mashabiki wa Klabu hiyo kulalamika wakimtaka Zahera kuondoka kutokana na matatizo wanayodai yamekithiri ikiwemo kushindwa kupanga kikosi na kukosa mbinu

Amesema, “Mimi sikuajiriwa na mashabiki wa Yanga bali nilisaini mkataba na viongozi, kwa hiyo siku viongozi wakinitaka niwaachie timu nitafanya hivyo, sitokwenda mazoezini.”

Ameongeza, “Nina uzoefu mkubwa Afrika, mashabiki wanakasirika. Hakuna mchezaji yeyote wa Yanga anayeweza kucheza Pyramids na hatukusajili kwa ajili ya Klabu Bingwa ila ligi.”

Frank Ribery apigwa faini…kumsukuma muamuzi

Mchezaji wa klabu ya Fiorentina, Frank Ribery amepigwa marufuku ya michezo mitatu na kutozwa faini ya Euro 20,000 kwa kumsukuma refa msaidizi baada ya mechi dhidi ya Lazio
.
.
Ribery mwenye umri wa miaka 36 alimsukuma refa huyo na kutolewa uwanjani katika dakika ya 84, kiungo huyo wa zamani wa Bayern Munich alionekana kuwa na hasira alipokuwa akikabiliana na klabu ya Lazio, hata hivyo Ribery amemuomba refa huyo msamaha
.
.
Mechi 3 atakazokosa Ribery kutokana na kufungiwa;
vs Sassuolo (H)
vs Parma (A)
vs Cagriali (H)

Msimamo La Liga:

🇪🇸 1️⃣ Granada – 20
2️⃣ Barcelona – 19
3️⃣ Real Sociedad – 19
4️⃣ Atletico – 19
5️⃣ Sevilla – 19
6️⃣ Real Madrid – 18
7️⃣ Villarreal – 17
8️⃣ Osasuna – 14
9️⃣ Valladolid – 14
1️⃣0️⃣ Athletic Club – 13

Wanaongoza kwa mabao: ⚽
1⃣Gerald Moreno 7
2⃣Loren Moron 7
3⃣Karim Benzama 6
4⃣Toko Ekambi 5 🇨🇲
5⃣Luis Suarez 5
:
:
: Lionel Messi 2 👀

Je Watford kuendeleza rekodi.mbaya kwa Everton

Watford hawana ushindi katika mechi zote 14 walizocheza ugenini dhidi ya Everton katika mashindano yote; wamepata sare 2 na vipigo 12 katika mechi zote 14

Katika mechi zao tatu za mwisho Watford wakicheza na Everton pale uwanja wa Goodison Park, wamekuwa wakitangulia kufunga lakini mpaka mwisho wa mchezo wameshidwa kupata ushindi

Leo saa ⌚ 4:45 usiku kwenye #CarabaoCup |
Everton 🆚 Watford

Wachezaji lipuli fc waswekwa lupango

#Repost from @officiallipulifc

TAARIFA
Ikiwa imebaki siku moja tu timu yetu ya Lipuli kucheza na Polisi Tanzania hapo kesho uongozi wa Lipuli unasikitika kuona Jeshi la Polisi limewakamata wachezaji wetu 4 akiwemo Paul Nonga, Issa Ngoah, Seif Karihe na Daruwesh Saliboko.
:
Wachezaji hao wamepigwa na kuchaniwa nguo na kuwapeleke kituo cha Polisi
:
Tukio hilo limetokea leo majira ya saa moja jioni wakati wachezaji wetu kwa pamoja wakitoka ktk ofisi za klabu zilizopo nje ya uwanja wa Samora
:
Baadhi ya viongozi wa klabu wapo kituo cha Polisi kujaribu kufatilia kwa karibu jambo hili
:
Uongozi wa Lipuli unalaani vikali vitendo vyovyote ambavyo si vya kiungwana
:
imetolewa na Idara ya Habari na Mahusiano ya klabu ya Lipuli 29/10/2019

Wachezaji lipuli fc waswekwa lupango

#Repost from @officiallipulifc

TAARIFA
Ikiwa imebaki siku moja tu timu yetu ya Lipuli kucheza na Polisi Tanzania hapo kesho uongozi wa Lipuli unasikitika kuona Jeshi la Polisi limewakamata wachezaji wetu 4 akiwemo Paul Nonga, Issa Ngoah, Seif Karihe na Daruwesh Saliboko.
:
Wachezaji hao wamepigwa na kuchaniwa nguo na kuwapeleke kituo cha Polisi
:
Tukio hilo limetokea leo majira ya saa moja jioni wakati wachezaji wetu kwa pamoja wakitoka ktk ofisi za klabu zilizopo nje ya uwanja wa Samora
:
Baadhi ya viongozi wa klabu wapo kituo cha Polisi kujaribu kufatilia kwa karibu jambo hili
:
Uongozi wa Lipuli unalaani vikali vitendo vyovyote ambavyo si vya kiungwana
:
imetolewa na Idara ya Habari na Mahusiano ya klabu ya Lipuli 29/10/2019

Design a site like this with WordPress.com
Get started