Timu 20 zinazo shiriki ligi kuu nchini England zimepiga kura

Timu 20 zinazo shiriki ligi kuu nchini England zimepiga kura zikitaka dirisha la usajili la majira ya joto lifungwe usiku wa kuamkia Septemba moja kama sehemu nyingine barani Ulaya. .

England waliweka utaratibu kuwa dirisha lao la usajili la majira ya joto linafungwa siku moja kabla ya kuanza kwa ligi wakati sehemu nyingine kama Hispania, Italia, Ujerumani na Ufaransa linafunga septemba moja

#wapendasokaupdates

Kamata Ratiba Ya Soka Leo

:

👉Vodacom Premier League
19:00 Simba SC vs JKT Tanzania
:
👉England – Championship
22:45 Bristol City vs Birmingham City
:
👉England – League 1
22:45 Lincoln City vs Rotherham United
:
👉Spain – LaLiga Santander
23:00 Deportivo Alaves vs Eibar
:
👉Spain – LaLiga SmartBank
23:00 Almeria vs Racing Santander
:
👉Italy – Serie A
22:45 Roma vs Bologna
:
👉Germany – Bundesliga
22:30 Eintracht Frankfurt vs Augsburg
:
👉France – Ligue 1
22:45 Angers vs Lille
:
👉Netherlands – Eredivisie
22:00 Heracles vs Fortuna Sittard
:
👉Netherlands – Eerste Divisie
22:00 FC Dordrecht vs Almere City FC
22:00 Go Ahead Eagles vs FC Eindhoven
22:00 Helmond Sport vs Excelsior
22:00 NAC Breda vs TOP Oss
22:00 Roda JC Kerkrade vs FC Den Bosch
22:00 Cambuur vs MVV Maastricht
22:00 Telstar vs NEC Nijmegen
:
👉Belgium – First Division A
22:30 Gent vs Anderlecht
:
👉Saudi Arabia – Premier League
16:00 Abha vs Al-Wehda
18:30 Al Hazm vs Al Feiha
20:20 Al-Faisaly vs Al Shabab
:
👉United Arab Emirates – UAE League
16:30 Al Khaleej Khor Fakkan vs Fujairah SC
16:30 Al-Wasl FC vs Ajman Club
19:15 Al-Ain vs Sharjah Cultural Club
:
👉Kenya – Premier League
15:00 KCB vs Kariobangi Sharks
:
Prepared by @officialchristz
#sokaplaceUPDATES
@danirito_thomson

Kamata Matokeo Ya Soka Jana

:
👉Spain – Copa del Rey
FT Real Madrid 3 – 4 Real Sociedad
FT Athletic Bilbao 1 – 0 Barcelona
:
👉Spain – SuperCup :: Women
FT Atletico Madrid 2 – 3 FC Barcelona
:
👉Belgium – Beker Van Belgie
FT Kortrijk 0 – 1 Royal Antwerp
:
👉Olympics Men – CONMEBOL Pre-Olympic Tournament:: play-off
FT Brazil 1 – 1 Uruguay
FT Argentina 2 – 1 Colombia
:
👉Olympics Women – AFC qualification:: group A
FT Vietnam 1 – 0 Myanmar
:
👉International – Club Friendlies
FT Brann 0 – 1 Aasane
FT FC Tambov 0 – 0 FK Gorodeya
FT Rubin Kazan 3 – 0 Vojvodina
FT Hobro 2 – 0 Fredericia
FT Slovacko 2 – 0 Esbjerg fB
FT FC Orenburg 1 – 0 FK Spartaks
FT Ludogorets Razgrad 0 – 1 FK Akhmat FT Stroemsgodset 0 – 3 Dynamo Kyiv
FT Malmoe FF 2 – 0 Sparta Prague
FT Oerebro 1 – 2 Linense
FT Oestersunds FK 1 – 1 Lyngby
FT Zenit St. Petersburg 4 – 0 Saburtalo
FT Sandefjord 1 – 1 Grorud
:
👉Saudi Arabia – Premier League
FT Al Nassr FC 1 – 1 Al Fateh FC
FT Al Ahli 3 – 2 Al-Ettifaq
:
👉United Arab Emirates – UAE League
FT Al-Dhafra 2 – 1 Al-Nasr
FT Al-Wahda 3 – 0 FC Baniyas
FT Ittihad Kalba 0 – 1 Hatta
FT Shabab Al-Ahli Dubai FC 1 – 2 Al-Jazira
:
👉Algeria – Ligue 1
FT Paradou AC 2 – 0 US Biskra
:
👉Egypt – Premier League
FT Al Masry 2 – 2 Tanta
FT Pyramids FC 1 – 2 Al Ahly
:
👉Morocco – Botola Pro
FT Rapide Club Oued Zem 1 – 2 Wydad Casablanca
FT MAT Tetouan 0 – 0 RSB Berkane
:
👉Ghana – Premier League
FT Hearts of Oak 0 – 0 Ashanti Gold FC
:
Prepared by @officialchristz
#SokaplaceUPDATES
@danirito_thomson

PEP GUARDIOLA KUHUSU MESSI NA BARCELONA

PEp” BARCELONA Itachukua muda mrefu kuitengeneza upya endapo wataruhusu messi kuondoka wanatakiwa wawe makini kuhusu jambo hili pia warejee kwa wapinzani wao REAL MADRID Kilichowatokea baada ya kuondoka CHRISTIAN RONALDO
Messi ni MTU anaeweza kufunga bao 40-50 kwa msimu mmoja huyu ni muhimu sana
Kama ataondoka itakuwa BOMU LA MRIPUKO kwa BARCELONA

MANCHESTER UNITED YAIKUMBUKA AJALI YA 1958⁣

MANCHESTER UNITED YAIKUMBUKA AJALI YA 1958⁣

Mashabiki wa Manchester United wakiwa nje ya uwanja wa Old Trafford katika kumbukumbu ya miaka 62 ya ajali ya ndege iliyoua jumla ya Wachezaji, Mashabiki na Wafanyakazi 23. ⁣

Ajali hiyo ilitokea Februari 6,1958 jijini Munich Ujerumani ya Magharibi wakati timu hiyo ikitoka kucheza Mchezo wa Kombe la Ulaya dhidi ya Red Star Belgrade ya Yugoslavia ( sasa ikijulikana kama Serbia).

Kiungo wa kimataifa wa Ufaransa Blaise Matuidi anajipanga kuondoka Juventus mwishoni mwa msimu.

Kiungo wa kimataifa wa Ufaransa Blaise Matuidi anajipanga kuondoka Juventus mwishoni mwa msimu.

Juve wanatafakari juu ya nyongeza ya kiungo atakae chukua nafasi ya mfaransa kabla ya kumtoa mwishoni mwa msimu kwa kitita cha £,mil15.


Juve wanaripoti kumtaka nyota wa Real Madrid Casemiro au kiungo wa Napoli Allan kuchukua nafasi ya kiungo huyo

Fedor Chalov ameambiwa apuuze dili ya kwenda Crystal Palace

Mshambuliaji wa CSKA Moscow Fedor Chalov ameambiwa apuuze dili ya kwenda Crystal Palace na asubiri michuano ya klabu Mabingwa barani ulaya msimu ujao
..
..
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 amefunga magoli 8 katika michezo 18 ya ligi kuu ya Urusi, na amekuwa akihusishwa na Palace …

Mchezaji mwenza wa CSKA Moscow Nikola Vlasic, “aliiambia Sport24: “Sidhani timu kama Palace ni sehemu sahihi kwake,”
….
… “Nadhani ni bora kwake kukaa CSKA na kucheza Ligi ya Mabingwa, kuliko kucheza huko Palace . Nadhani ana sifa ya kucheza kwa timu kubwa zaidi duniani kama Manchester City, Chelsea na Real Madrid. “

Kikosi cha klabu ya @yangasc kikifanya Mazoezi leo kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi Ruvu Shooting

Kikosi cha klabu ya @yangasc kikifanya Mazoezi leo kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi Ruvu Shooting Jumamosi ijayo katika Uwanja wa Uhuru saa 10:00 jioni.
:

#SokaplaceUPDATES

SIMBA YAIPIGIA HESABU JKT TANZANIA KESHO, TAIFA

UONGOZI wa Simba umesema kuwa timu itaendelea kupambana kwenye mechi zake zote za Ligi Kuu Bara ili kufikia malengo waliyojiwekea ya kutetea ubingwa msimu huu.

Simba kesho itashuka Uwanja wa Taifa kumenyana na JKT Tanzania ikiwa ni mchezo wa kwanza wa mzunguko wa pili kwa msimu wa 2019/20.

Akizungumza na Saleh Jembe, Patrick Rweyemamu, Meneja wa Simba amesema kuwa wachezaji wapo salama na wanaendelea kujipanga kwa ajili ya mechi zao.

“Wachezaji wapo vizuri na masuala yote ya kiufundi yapo chini ya Kocha Mkuu (Sven Vanderbroeck) tuna matumaini ya kuendelea kuyafuata malengo ambayo tumejiwekea, mashabiki watupe sapoti,”.

Mchezo wa kwanza Simba ilipokutana na JKT Tanzania ilishinda kwa mabao 3-1, Uwanja wa Uhuru, kesho itakutana nao tena Uwanja wa Taifa ikiwa kileleni na pointi 50 huku JKT Tanzania ikiwa nafasi ya 8 na pointi 27.

Visit website

Design a site like this with WordPress.com
Get started