Timuatimu ya makocha wa vilabu vya ligi kuu yashika hatamu

Timuatimu ya makocha wa vilabu vya ligi kuu Tanzania bara inazidi kushamiri, hadi sasa makocha 6 wameshanyolewa kwenye vilabu tofauti walivyoanzanavyo msimu.

1. Athumani Bilali ‘Bilo’ (Alliance FC)
2. Fred Felix Minziro (Singida United)
3. Malale Hamsini (Ndanda FC)
4. Mwinyi Zahera (Yanga)
5. Amri Said (Biashara UTD)-Ameondoka
6. Jackson Mayanja (KMC FC)

*Kwa upande wa Amri Said (kocha wa Biashara United) inaelezwa ameondoka ghafla Musomba bila kuaga na kurejea nyumbani kwake Dar, ameshaandikiwa barua mbili na klabu yake lakini bado hajarejea. Amethibisha Melvin Nashon Kaimu Katibu Mkuu Biashara United.

Nani ANAFUATA?

Jackson mayanja afungashwa virago KMC

Jana klabu ya KMC FC ilitangaza kuachana na kocha wake mkuu Jackson Mayanja kutokana na mfululizo wa matokeo mabaya kwenye ligi.

Juni 26, 2019 KMC ilimtangaza Jackson Mayanja kuwa kocha mkuu kwa mkataba wa mwaka mmoja. Jana November 9, 2019 Mayanja katimuliwa.

Takwimu za KMC FC chini ya Mayanja.

CECAFA Kagame Cup 2019
KMC 1-1 Atlabara Club
KMC 0-1 TP Mazembe
Rayon Sports 0-1 KMC

CAF Confederation Cup 2019/20
AS Kigali 0-0 KMC
KMC 1-2 AS Kigali

Vodacom Premier League 2019/20
KMC 0-1 Azam
Coastal Union 2-0 KMC
KMC 1-0 Namungo
KMC 1-1 Ndanda
JKT Tanzania 0-0 KMC
Ruvu Shooting 1-0 KMC
KMC 2-1 Biashara United
KMC 1-2 Kagera Sugar

KMC chini ya Jackson Mayanja (mashindano rasmi)
Mechi 13
Ushindi 3
Sare 4
Vipigo 6

KMC imefanya uamuzi sahihi kuachana na kocha Jackson Mayanja? Au alistahili kupewa muda zaidi?

Balaa zito EPL.leo Liverpool vs Man City .

EPL: Liverpool vs Man City .
.
Super Sunday ya Premier League leo unapigwa mchezo mkubwa zaidi mpaka kufikia sasa kwenye ligi – Liverpool vs Manchester City.
Klopp anaingia kwenye mchezo huu akiwa hana presha, anaongoza kwa pointi 6, City wana presha ya kupunguza pengo la pointi na hivyo lazima wahakikishe hawapotezi.

Pamoja na uzito wa mechi hii lakini kumbuka katika Premier League hakuna kinachoamuliwa November.
.

Team News: Golikipa wa City Ederson hatocheza vs Liverpool, baada ya kushindwa kupona majeraha ya misuli yaliyopelekea atolewe katika mchezo dhidi ya Atalanta katika UCL.
Claudio Bravo atachukua nafasi yake, David Silva pia anategemewa hatokuwepo.
Jordan Henderson na Virgil van Dijk, ambao walikosa mazoezi mapema wiki hii, wamerejea kwenye utimamu wa afya.

Joel Matip, Nathaniel Clyne na Xherdan Shaqiri bado wagonjwa.
.
.
Takwimu: * Liverpool sasa wamecheza mechi 16 za ligi bila kufungwa na Manchester City katika dimba la Anfield, mara ya mwisho City kushinda Anfield ilikuwa May 2003. .
. * Mechi 16 bila ushindi katika dimba la Anfield ndio rekodi mbovu zaidi ya City ugenini dhidi ya timu yoyote katika ligi – wametoa sare 5 na kufungwa 11. .
. * Hata hivyo, City wamepoteza mchezo mmoja kati ya 5 iliyopita ya Premier League dhidi ya Liverpool – wakishinda 2 na sare 2.
.
. * Endapo watashinda leo, City watafanya hivyo kwa mara mbili mfululizo kwa mara ya kwanza tangu walipowafunga Liverpool mara 4 mfululizo kutokea mwaka 1935 mpaka 1937.
.

Utabiri wa Shaffih Dauda na MBET: Liverpool kushinda ni pointi 2.70, wakati City kushinda ni point 2.45, sare 3.50.

Ole guna kutafuta ushindi all traffod

Premier League Super Sunday 🏆
.
⚽ Man United vs Brighton
⌚ 17:00
🏟 Old Trafford

Manchester United wameanza msimu kwa kusuasua wakiwa wameshinda mechi tatu za Epl tangu msimu uanze, wamecheza mechi 11 za Ligi na kwa sasa wanashika nafasi ya 14 kwenye msimamo, nafasi 5 na pointi 2 nyuma ya wapinzani wao wa leo

Kocha Graham Potter amewainua Brighton kwasasa wanacheza mpira mzuri na wameshinda mechi tatu kati ya nne zilizopita, ikiwa ni pamoja na ushindi wa 3-0 dhidi ya Tottenham, wanashika nafasi ya 8 katika EPL

#TeamNews: Upo uwezekano wa Manchester United kumkosa Scott McTominay na Harry Maguire baada ya kupata majeraha kwenye mchezo dhidi ya Partizan Belgrade Alhamisi.

Victor Lindelof pia kuna shaka baada ya kukosa mchezo wa Partizan kutokana na jeraha la mgongo, ingawa Ole Gunnar Solskjaer ana matumaini anaweza kurudi kando na McTominay.

Brighton watakuwa bila Adam Webster baada ya kupata jeraha la mguu kwenye ushindi wao dhidi ya Norwich wiki iliyopita. Pia itawakosa Bernardo na Jose Izquierdo, lakini Leandro Trossard anaweza kuanza baada ya kutokea benchi na kufunga bao dhidi ya Norwich.

#H2H: Manchester United hawajawahi kupoteza katika michezo 11 ya nyumbani iliyopita dhidi ya Brighton katika mashindano yote, wakishinda 9 na kutoka sare 2

Brighton wameshinda michezo 2 katika michezo 3 iliyopita dhidi ya Man United, wakiwa wamefunga jumla ya mabao 4-2
.

#ShaffihDaudaPrediction: Manchester United Win (1.55)

Tembelea tovuti au bashiri kupitia APP ya MBET kucheza na kushinda kutoka MBET.

#MBET NYUMBA YA MABINGWA

KAMATA RATIBA YA SOKA LEO :

#TanzaniaFdl
16:00 CosmoPolan vs Mbeya Kwanza
16:00 Stand United vs Rhino Rangers
:
#EnglandPremierLeague
17:00 Manchester United vs Brighton & Hove Albion
17:00 Wolverhampton Wanderers vs Aston Villa
19:30 Liverpool vs Manchester City
:
#SpainLaLigaSantander
13:00 Mallorca vs Villarreal
16:00 Athletic Bilbao vs Levante
18:00 Atletico Madrid vs RCD Espanyol
20:30 Getafe vs Osasuna
23:00 Real Betis vs Sevilla
:
#ItalySerie A
14:30 Cagliari vs Fiorentina
17:00 Lazio vs Lecce
17:00 Sampdoria vs Atalanta
17:00 Udinese vs SPAL
20:00 Parma vs Roma
22:45 Juventus vs Milan
:
GermanyBundesliga
15:30 B.Mönchengladbach vs Werder Bremen
17:30 Wolfsburg vs Bayer Leverkusen
20:00 Freiburg vs Eintracht Frankfurt
:
#FranceLigue 1
17:00 Rennes vs Amiens
19:00 Nantes vs Saint-Etienne
19:00 Montpellier vs Toulouse
23:00 Marseille vs Lyon
:
#NetherlandsEredivisie
15:15 Ajax Amsterdam vs FC Utrecht
16:30 FC Twente vs PEC Zwolle
16:30 Willem II vs PSV Eindhoven
18:45 Feyenoord vs RKC Waalwijk
22:00 AZ Alkmaar vs FC Emmen
:
#BelgiumFirstDivision A
16:30 Royal Antwerp vs Club Brugge
20:00 Genk vs Gent
22:00 Standard Liege vs KV Mechelen
:
#KenyaPremierLeague
12:00 SoNy Sugar vs Mathare United
15:00 Gor Mahia vs AFC Leopards
15:00 Kakamega vs Western Stima
15:00 Sofapaka vs Wazito FC
15:00 Ulinzi Stars vs Bandari
15:00 Zoo FC vs Nzoia Sugar FC
:
#MoroccoBotolaPro
17:00 Olympic Club vs Raja Beni Mellal
19:00 Wydad Casablanca vs RSB Berkane
:
#SouthAfrica PremierLeague
16:30 Black Leopards vs Cape Town City
16:30 Golden Arrows vs Mamelodi
:
Prepared by @officialchristz
Powered by @bikotanzania

MATOKEO YA SOKA JANA :

#FdlTanzania A
FT Ihefu 2-0 Ashanti United
FT Boma FC 1-1 African Lyon
FT Dodoma FC1-0 Mlale FC
FT Njombe Mji 0-0 Maji Maji
FT Friends Rangers 3-1 Iringa United
:
#FdlTanzania B
FT Gwambina 3-1 Transit Camp
FT Pamba 2-0 Green Worrious
FT Mawenzi Market 2-1 Gipco FC
FT Sahare 0-1 Geita Gold
FT Arusha FC 2-1 Mashujaa
:
#EnglandPremierLeague
FT Chelsea 2 – 0 Crystal Palace
FT Burnley 3 – 0 West Ham United
FT Newcastle United 2 – 1 AFC Bournemouth
FT Southampton 1 – 2 Everton
FT Tottenham Hotspur 1 – 1 Sheffield United
FT Leicester City 2 – 0 Arsenal
:
#SpainLaLigaSantander
FT Deportivo Alaves 3 – 0 Real Valladolid
FT Valencia 2 – 0 Granada
FT Eibar 0 – 4 Real Madrid
FT Barcelona 4 – 1 Celta Vigo
:
#ItalySerie A
FT Brescia 0 – 4 Torino
FT Inter 2 – 1 Verona
FT Napoli 0 – 0 Genoa
:
#GermanyBundesliga
FT Mainz 05 2 – 3 1. FC Union Berlin
FT Schalke 04 3 – 3 Fortuna Düsseldorf
FT Hertha BSC 2 – 4 R.BLeipzig
FT SC Paderborn 07 0 – 1 Augsburg
FT FC Bayern München 4 – 0 Borussia Dortmund
:
#FranceLigue 1
FT Brest 1 – 2 Paris Saint-Germain
FT Monaco 1 – 0 Dijon
FT Lille 0 – 0 Metz
FT Strasbourg 4 – 1 Nimes
FT Reims 0 – 0 Angers
:
#NetherlandsEredivisie
FT SC Heerenveen 2 – 1 Sparta Rotterdam
FT Fortuna Sittard 1 – 0 ADO Den Haag
FT Heracles 6 – 1 VVV-Venlo
:
#BelgiumFirstDivision A
FT Sporting Charleroi 1 – 0 Eupen
FT Cercle Brugge 2 – 1 St.Truiden
FT Kortrijk 1 – 3 Waasland-Beveren
FT Oostende 2 – 2 Royal Excel Mouscron
:
#KenyaPremierLeague
FT Posta Rangers 3 – 0 Chemelil Sugar
FT KCB 1 – 1 Tusker FC
FT Kisumu All Stars 1 – 0 Kariobangi Sharks
:
#MoroccoBotolaPro
FT Youssoufia Berrechid 3 – 2 Raja Casablanca
:
#SouthAfricaPremierLeague
FT Kaizer Chiefs 3 – 2 Orlando Pirates
FT Polokwane City 0 – 1 Baroka FC
FT Stellenbosch FC 0 – 0 Highlands Park FC
FT Amazulu Durban 0 – 2 Chippa United FC
:
#AfricaCupofNationsU23
FT Nigeria U23 0 – 1 Ivory Coast U23
FT South Africa U23 0 – 0 Zambia U23
:
Prepared By @officialchristz
Powered by @bikotanzania

Mambo 10 nilioyaona Simba Vs Prison

1: Bado changamoto kubwa ya Aussems ni kutofanya research ya kuwajua wapinzani wake. Prison ni aina ya timu inayohitaji kupigwa presha pembeni sio kufosi kupita katikati. Plan yake ndio kitu cha kwanza kilichoighairmu Simba kabla ya kutazama wachezaji.

2: Adolf Richard🙌 Fantastic approach 🙌 Haikushangaza leo Mkandala kutokea benchi. Ni mpango aliokua nao baada ya kujua madhaifu ya mpango wa Simba.

3: Mkandala🙌 What a player🙌 Ni miongoni kwa viungo watatu wanaonivutia msimu huu. Kama Manula angeamka vibaya leo, pengine mechi ingeamuliwa mguuni mwake.

4: Ni Aussems pekee anaejua kwanini Muzamir Yassin alikaa benchi na kwanini Miraj hakuwepo kabisa kwenye kikosi

5: Kama refa angekua makini, Kagere alistahili kadi nyekundu. Anafunga sawa, but Meddie ni miongoni mwa watu wasiokiwa na furaha uwanjani. Viungo wake wanampa wakati mgumu wa kucheza.

6: Yule Buha🙌 (Kiungo mkabali wa Prison) Anakaba hadi kivuli. Pressing yake iliwanyima uhuru kabisa Chama na Shiboub

7: Benjamin Asukile na Kimenya🙌 wachezaji wawili muhimu walioilewa vyema plan ya Adolph, kipindi cha kwanza. Wangekua makini pia, mechi ingeamuliwa kwao.

8: Bado Aussems ana changamoto ya kujua ni nani anastahili kua namba 10 wa Kagere. Kahata, Shiboub, Chama, Ajib wote wanaingia kwenye jukumu hilo na kushindwa kutoa Plan B kwa timu, inapokuwa
haina mpira.

9: Deo Kanda🤔 Ni kama alikwenda kumpaka poda mdoli. Hakua na impact yoyote zaidi ya kukimbia nje ya mpango wa timu.

10: Mkude 🤔 Ni mchezaji mzuri lakini hakustahili kurejea katika mechi ngumu kama hii. Muunganiko wa timu kutoka safu ya kiungo ya chini kwenda juu, ilikua tofauti na anapocheza Fraga au Muzamir
.
.
Nb: Muandalieni vipindi kabisa na Uchebe😃

Design a site like this with WordPress.com
Get started