Aussems….kibarua chaota nyasi msimbazi

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, kocha Patrick Aussems ametoa taarifa rasmi kwamba uongozi wa Simba kupitia kwa mkurugenzi mtendaji wa klabu hiyo Senzo Mazingisa umemtaarifu kwamba kibarua chake kimekoma. Taarifa hiyo inahitimisha sakata kati ya Simba na Aussems ambalo limedumu kwa takribani wiki nzima huku kocha huyo akisimamishwa kwa muda kupisha uamuzi wa bodi ya …

Shomari Kapombe kutoka mshambuliaji hadi beki

Mchezaji wa Simba @shomari_12_kapombe ni miongoni mwa wachezaji wachache wanaoweza kucheza nafasi nyingi uwanjani na kutekeleza majukumu ipasavyo. Kwa sasa anacheza sana eneo la ulinzi (kulia) lakini anauwezo mkubwa wa kusaidia kushambilia akitokea pembeni-kulia. Anaweza pia kucheza kama beki wa katikati na kiungo wa kati na amewahi kucheza mara kadhaa. β€’ “Nilianza maisha ya soka …

Mambo 10 nilioyaona Simba Vs Prison

1: Bado changamoto kubwa ya Aussems ni kutofanya research ya kuwajua wapinzani wake. Prison ni aina ya timu inayohitaji kupigwa presha pembeni sio kufosi kupita katikati. Plan yake ndio kitu cha kwanza kilichoighairmu Simba kabla ya kutazama wachezaji. 2: Adolf RichardπŸ™Œ Fantastic approach πŸ™Œ Haikushangaza leo Mkandala kutokea benchi. Ni mpango aliokua nao baada ya …

YALIYOJIRI GAME YA SIMBA VS PRISONS!

: 1. Prisons ni timu iliyo bora sana kuanzia eneo la ulinzi mpaka kiungo wanacheza kwa nidhamu sana na wanacheza kitimu sana shida ipo kwenye final third yao wanapoenda kushambulia hawana wachezaji wenye uchu wa kupata magoli!! : 2. Adolf Rishard, watu wanalalamika Simba kutoshinda ila kwanza wanatakiwa wampongeze Adolf Rishard kwa kutengeneza timu ya …

Je.simba kuendeleza vipigo vikali leo

Simba Vs Tz Prisons 🏟️ Uhuru Stadium ⏱️ 10:00 Jioni #VPL . Simba wapo kileleni mwa msimamo wa ligi wakiwa na alama 21 baada ya kucheza mechi 8, Simba wataingia nakumbukumbu ya kutoa kipigo cha goli 4-0 mechi iliyopita, huku wakiwa wamepoteza mchezo mmoja tu hadi hivi sasa, wakifungwa na Mwadui 1-0. (W W W …

Senzo aungana na simba Arusha

Mtendaji Mkuu wa Simba Senzo Mazingiza amejiwekea utaratibu wa kuungana na timu popote inapokwenda kucheza Mazingiza atakuwepo uwanja wa Sheikh Amri Abeid kuishuhudia timu yake ikichuana na Singida United kwenye mchezo wa ligi kuu Amefanya hivyo tangu alipoanza majukumu yake katika klabu ya Simba, hakika amekuwa chachu ya ushindi kila mara anapokuwa dimbani

Design a site like this with WordPress.com
Get started