#VPLUpdates | Simba Sc Vs Ndanda FC | 🏟️ Uwanja wa Taifa | ⏰ 10:00 Jioni | 🏆 ligi kuu Tanzania bara | . : Nondo Ni 1 🔨 Tu. Tangu 2014, Simba Na Ndanda zimekutana x10 na mara zote hizo Ndanda ameambulia vipigo vya aina tofauti tofauti, isipokuwa Septemba 15, 2018 mchezo ulimalizika kwa …
Category Archives: simba
Simba Vs Ndanda
#VplPreview | Simba Vs Ndanda Kwenye mechi 13 walizocheza msimu huu, Ndanda ameshinda mechi 1, sare 5 na vichapo 7. Ni siku 58 zimepita tangu walipopata ushindi wao pekee mpaka sasa, mabao 2-0 dhidi ya Ruvu Shooting Mechi zao 5 za mwisho, wamefungwa 4, wamepata sare 1 (Ugenini Vs Kagera Sugar 0-0) Ndanda ni timu …
SIMBA YAENDELEZA DOZI,KMC HOI
SIMBA YAENDELEZA DOZI,KMC HOI Mabingwa Wa ligi kuu soka Tanzania bara wekundu Wa Msimbazi Simba wameendelea kugawa dozi katika ligi kuu soka Tanzania bara wakiifunga KMC bao 2-0 mchezo uliopigwa katika dimba la Uhuru jijini Dar es Salaam. Mpaka kipindi cha kwanza kinamalizika milango ulikua migumu kwa timu zote zikienda mapumziko bila kuruhusu bao na …
Kama @EmmanuelOkwi sasa ana miaka 27 basi May 2012 wakati @SimbaSCTanzania wanaifunga @yangasc goli 5-0
Kama @EmmanuelOkwi sasa ana miaka 27 basi May 2012 wakati @SimbaSCTanzania wanaifunga @yangasc goli 5-0 OKWI alikuwa na umri wa miaka 20 Hivyo alisajiliwa Simba akiwa na miaka 18, hivyo tafuta thamani ya umri wa OKWI akicheza SC VILLA kati ya mwaka 2009 – 2010 Martin M #SokaplaceUPDATES @danirito_thomson @officialchristz
MFAHAMU MPEMBA WA SIMBA SC
: – GERSON FRAGA VIEIRA – Amezaliwa: Oct 4, 1992 (27) Porto Alegre, Brazil – Height: 5 ft 11 in – Nafasi Uwanjani: Centre back, Holding Midfielder : – Soka la Vijana: Amecheza Gremio (2000 – 2013) : – Soka la ushindani (Senior career) * Gremio – Ligi Kuu (Brazil) (2012 – 2016) * Oeste …
Safari ya bocco afrika kusini yayeyuka
Peter Simon ambaye ni Meneja wa mshambuliaji wa Simba, John Raphael Bocco amekanusha tetesi kwamba mchezaji wake huyo amefanya mazungumzo ya awali na klabu ya Polokwane ya Afrika Kusini. Kumekua na tetesi hizo zikimhusisha Bocco mwenye mkataba wa miaka miwili na Simba na ambaye amekua majeruhi kwa muda mrefu. “Bocco ni mchezaji wa Simba, ana …
TABIA YA KUMEZA DAWA BILA KUPIMA ITAWATAFUNA MSIMBAZI
Na Junior wa Pastor Nchi yetu ni yenye wajuaji wa mazoea kila mtu ni daktari ule mtindo wa kumshika mtu pembeni ya shavu na kuthibitisha ugonjwa wake sina uhakika kama ni njia sahihi ya kujua afya ya mtu ndio. Tanzania pekee ndio watu hupima kiuno cha suruali kwa kutumuia shingo na si kuangalia namba ya …
Continue reading “TABIA YA KUMEZA DAWA BILA KUPIMA ITAWATAFUNA MSIMBAZI”
Simba sc. Kucheza na Arusha fc kombe la.FA
Klabu ya Simba itacheza na @arusha FC katika kombe la shirikisho la Azam katika Uwanja wa Taifa #ASFC #SokaplaceUPDATES @sokaplace_ @officialchristz @danirito_thomson
MANARA KUHUSU KUFUTWA KAZI KWA AUSSEMS.
: “Waswahili wanaweza kumtupia Senzo mzigo wa lawama. Bodi ya wakurugenzi ndiyo iliyofanya maamuzi, sio Senzo. Hakuna umoja ndani ya timu, timu imegawanyika. Tumefanya maamuzi ili kurekebisha hii hali. Timu ilikuwa inashinda kwa sababu ya uwezo binafsi wa wachezaji” : “Viongozi hawakai na wachezaji kambini. Wajibu wa viongozi ni kuwaonya wachezaji na makocha kama kuna …
AUSSEMS,MBUZI WA KAFARA KWENYE UKOMBOZI WA WENGI.. :
Octa Ayubu Jr. : Kwa Sasa mila na tamaduni za makabila mengi ya kiafrika hazitukuzwi na kuaminiwa Kama ilivyokuwa hapo awali.Ila katika kukua kwangu nimebahatika kushuhudia matambiko kadhaa ya kutumia damu za wanyama na vitu vingine kwaajili ya ukombozi wa familia au kabila Fulani. : Soka letu limefika mahali limekosa mwelekeo,Kila kosa linaloonekana ndani ya …
Continue reading “AUSSEMS,MBUZI WA KAFARA KWENYE UKOMBOZI WA WENGI.. :”