DAKIKA 90 ZA KARIAKOO DERBY.. : Na Octa ayubu Jr

DAKIKA 90 ZA KARIAKOO DERBY.. : Na Octa ayubu Jr : Hii inaweza kuwa miongoni mwa Derby Bora ya kariakoo kwa miaka miwili iliyopita.Kuna baadhi ya derby upande mmoja ulifaidika matokeo lakini mashabiki tulikosa radha ya soka Kama sio kujutia kiingilio chetu. : Karibu Sana kariakoo Aishi Salum manula,ukitaka kuijua vizuri kariakoo ukosee ila sio …

KARIAKOO DERBY: SIMBA NA YANGA KUTUNISHIANA MISULI UWANJA WA TAIFA

Wakati homa ya mchezo wa Watani wa Jadi, Simba na Yanga ikiendelea kupanda huku zikiwa zimebaki saa chache, Mashabiki na Wachezaji wa timu hizo wameendelea kutambiana kuibuka na ushindi – Simba ambayo itakuwa mwenyeji, itaikaribisha Yanga katika mchezo wa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kwenye Uwanja wa Taifa, Dar leo majira ya …

WACHEZAJI WA KUCHUNGWA LEO SIMBA

1.MEDDIE KAGERE Huyu ndiye alikuwa muuaji kwenye mechi ya mwisho walipokutana kati ya Simba na Yanga, safu ya Yanga inabidi kuwa makini na mwamba huyo hasa akiwa eneo la 18 siyo mzuri sana akiwa nje ya boksi sababu siyo mzuri kwenye dribbling na 1 v 1 dhidi ya beki ila ni mtu hatari akiwa ndani …

NDANI YA KARNE YA 21: LIGI YA BARA

1. JUNI 25, 2000 Simba 2 – 1 Yanga Simba: Steven Mapunda Yanga: Idd Moshi 2. AGOSTI 5, 2000 Yanga 2 – 0 Simba Iddi Moshi (bwana harusi) 3. SEPTEMBA MOSI, 2001 Simba 1 – 0 Yanga Joseph Kaniki dk. 4. SEPTEMBA 30, 2001 Yanga 1 – 1 Simba (Mwanza) Simba: Joseph Kaniki Yanga: Sekilojo …

TAKWIM MECHI 6 ZILIZOPITA SIMBA NA YANGA.

. FT. Yanga 1-1 Simba Amisi Tambwe. Shiza Kichuya. . FT. Simba 2-1 Yanga Mavugo. Kichuya. Msuva. . FT. Simba 1-1 Yanga Shiza Kichuya. Obrey Chirwa. . FT. Yanga 0-1 Simba Erasto Nyoni. . FT. Simba 0-0 Yanga . FT. Yanga 0-1 Simba Meddie Kagere. ๐Ÿ‘‰Katika mechi hizo 6 Simba imechukua pointi 12. Yanga imechukua …

Homa simba yanga kumalizika leo

Baada ya tambo nyingi kutoka kila upande. hatimae leo vigogo wa soka la Tanzania Simba SC na Yanga SC wanaingia uwanjani kukipiga katika mechi ya ligi kuu ya Vodacom. Kama kawaida utashuhudia pambano hii Live kupitia Azam Sports 2 kuanzia saa 11:00 Jioni. Je nani kuondoka na pointi 3 leo pale dimba la Taifa? #SimbaVYanga …

USAJILI: SIMBA YAMNASA ALIYEWAONDOA MABINGWA AFRIKA

Klabu ya Simba imemalizana na Kiungo wa Kimataifa wa Msumbiji Luis Jose Miquissone ambaye alikuwa akiichezea klabu ya UD Songo ya nchini humo kwa mkopo. Luis ndiye aliyeifungia UD Songo bao dhidi ya Simba kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliopigwa jijini Dar es Salaam mwezi Septemba mwaka jana na kumalizika kwa sare ya …

Design a site like this with WordPress.com
Get started