Hatimae siku husika imefika

Hatimae siku husika imefika. Mashindano ya Mapinduzi Cup yatamalizika Leo kwa mwaka huu 2020 kwa fainali Kali ya Simba Sc vs Mtibwa Sugar. Toka kuanzishwa ma mashindano haya, Simba na Mtibwa katika hatua ya Fainali wamekutana mara mbili lakini kwa bahati mbaya Mtibwa hakubahatika kubeba kombe mbele ya wekundu hao. 2008 Simba sc 1-0 Mtibwa …

Beno Kakolanya amesema kuwa mbinu zake binafsi zilimfanya aweze kucheza mkwaju mmoja wa Penati hapo jana.

Baada ya kuiwezesha klabu ya Simba kutinga katika Fainali ya Kombe la mapinduzi ,Golikipa wa klabu hiyo Beno Kakolanya amesema kuwa mbinu zake binafsi zilimfanya aweze kucheza mkwaju mmoja wa Penati hapo jana. #SokaplaceUPDATES @danirito_thomson @officialchristz

Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Simba ya Dar es Salaam, Francis Kahata amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora

👉Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Simba ya Dar es Salaam, Francis Kahata amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Disemba wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu wa 2019/20, akiwashinda Hassan Dilunga wa Simba na Bakari Mwanyeto wa Coastal Union alioingia nao fainali. #SokaplaceUPDATES

Kocha ammwagia sifa mwamuzi “

Kocha ammwagia sifa mwamuzi “ – “ Kocha wa wapinzani wetu, amezungumzia sheria za mchezo, na kiukweli pambano la leo limeamualiwa na sheria. Mwamuzi alikuwa vizuri, sina budi kumsifia kwa kulimudu pambano gumu kama hili, alifanya vizuri sana.” – Kocha wa Simba, Sven Vandenbroeck akimpongeza mwamuzi Jonesia Rukyaa kwa kuchezesha vizuri pambano la watani wa …

Mkwasa atema cheche… Penati ya simba

‪🗣 “ Goli la kwanza ambalo lilionekana wazi kabisa penati ilikuwa inatafutwa…Ndio hayo nasema kwamba kuna timu ambazo zinazoongozwa kwa ajili ya kupata penati. “ kocha Mkwasa akizungumzia penati ya Simba jana.‬ – ‪Penati za Simba msimu huu 2019/20‬ ⚽️ Vs. UD Songo‬ ‪⚽️ Vs. Kagera Sugar‬ ‪⚽️ Vs. Mbeya City‬ ‪⚽️ Vs. Lipuli‬ ‪⚽️ …

DAKIKA 90 ZA KARIAKOO DERBY : Na Octa ayubu Jr Sehemu ya Pili

DAKIKA 90 ZA KARIAKOO DERBY : Na Octa ayubu Jr Sehemu ya Pili : Tunachoamini watanzania Ni kwamba straika yoyote lazima afunge lakini kisoka sio kweli.Kwa mtazamo mwepesi huenda akaonekana Kagere alikuwa Bora kwasababu katafuta penati na kuifunga na Nchimbi hajafunga,lakini kiufupi Nchimbi leo alikuwa msaada mkubwa kwa Yanga na ndiye aliyewafanya wachezaji wa Simba …

Design a site like this with WordPress.com
Get started