Mambo 10 nilioyaona Alliance Vs Simba

1: Jonas Gerrald Mkude. WOW🙌 Kwangu ndio Man of the match leo👏 Ameimarika sana kiuchezaji. 85 % ya pasi zake zilielekea mbele. Akaipush sana Simba kuisogelea Alliance. Movement zake kwenye boksi ni za akili sana.. Haishangazi kuona amefunga mabao 2, kwenye mechi 2🙌 2: Minziro 🤔 Naheshimu sana kazi yake but leo alikua poor sana …

KAGERE KUREJEA DIMBANI SIMBA IKISAKA POINT KWA ALLIANCE

Mfungaji bora Wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara Meddie Kagere atarejea dimbani Leo kama Kocha ataamua kumtumia wakati Simba ikiikabili Alliance FC ya Jijini Mwanza katika mchezo Wa ligi kuu kwenye uwanja Wa CCM Kirumba. Kagere ambaye alikosekana katika mchezo wa kati kati ya wiki Simba ikishinda bao 2-1 dhidi ya Mbao FC baada …

Kinala wa mabao Medie Kagere amereje dimbani rasmi

Kinala wa mabao Medie Kagere amereje baada ya kumaliza adhabu yake ya kadi tatu za njano tayari kwa kuwavaa Alliance Fc hapo kesho. Pia kiungo mshambuliaji Luis Miquisson ameanza mazoezi na Timu baada ya mipango ya kibali cha kuichezea simba kukamilika, nae tayari kwa kuwavaa Alliance Fc. Alliance Fc vs Simba Sc Saa 10:00 Jioni …

Leo • Mbao FC Vs Simba Sc | ⏰ 10:00 Jioni | 🏟️ CCM Kirumba | 🏆 Vodacom Premier League.

#VplUpdates | Leo • Mbao FC Vs Simba Sc | ⏰ 10:00 Jioni | 🏟️ CCM Kirumba | 🏆 Vodacom Premier League. : Kuelekea pambano la ligi kuu ya kandanda Tz bara, kati ya Mbao FC ya Jijini Mwanza na Simba Sc hii leo, nimekusogezea Taarifa kutoka ndani ya klabu hizo. : 🔥 MAKOCHA WANENA …

Baada ya kupoteza fainali ya Mapinduzi simba yawasili.mwanza.kuweka.msawazo

Baada ya kupoteza fainali ya Mapinduzi Cup mbele ya Mtibwa Sugar, kikosi cha Simba sc kiliwasili Jana usiku jijini Mwanza kwa ajili ya michezo miwili ya ligi kuu dhidi ya Mbao Fc na Alliance Fc. Picha 📸 ni mazoezi ya mwisho ya Simba tayari kabisa kwa mtanange wa kesho dhidi ya Mbao Fc. #fullsokatzupdates #fullsoka🌎🌎

Design a site like this with WordPress.com
Get started