TAARIFA KUHUSU WACHEZAJI WA SIMBA

Repost @simbasctanzania . . Shiza Kichuya – ITC ilitolewa na Shirikisho la Soka la Misri lakini baadae ikasitishwa. Kwasasa yanasubiriwa maamuzi ya Kamati ya Hadhi za Wachezaji ya FIFA kuhusu jambo hilo. Luis Miquissone – ITC bado haijatolewa. Jambo hilo linafanyiwa kazi na FIFA. Majibu ya mwanzoni FIFA walihitaji maelezo zaidi na tuliwatumia Jumamosi iliyopita. …

Kocha Simba alia na ukuta ‘biskuti’ kila shambulizi wasiwasi tupu.

Kocha Simba alia na ukuta ‘biskuti’ kila shambulizi wasiwasi tupu. – “ Hatuwezi kulificha hili, tumeruhusu magoli mengi katika mechi zilizopita. Kila mpira ndani ya eneo letu la 18 inakuwa ni balaa kwetu. Tumelifanyia kazi na tunaendelea kulitafutia ufumbuzi hili suala. “ Kocha wa Simba, Sven Vandenbroeck akielezea tatizo la safu ya ulinzi kuendelea kuruhusu …

Mambo 10 nilioyaona Simba Vs Namungo

1: LUCAS KIKOTI 🙌 What a player👏 Mtulivu, akili nyingi, kila pasi yake inasimulizi. Achana na asisti, leo Kikoti amefunga bao ambalo limekwenda kuwapa jibu Simba, kua tatizo sio Manula. TATIZO NI NIDHAMU YAO YA KUJILINDA. Period. 2: Hassan Dilunga🙌 HD katika ubora wake👏 Ameanza kuonyesha ni jinsi gani ‘mguu wake wa kupandia kitandani’ ulivyokua …

DAKIKA 90 SIMBA VS NAMUNGO

. Inaandikwa na @danirito_thomson . Simba iliendelea na 4-2-3-1na Namungo walicheza 4-3-3 pia 4-1-4-1 . Namungo walicheza open football, hawakukaa nyuma kama timu nyingi zikicheza na Simba, walitupa soka zuri . Namungo walinza na goal kick fupi kwa beki za kati wakati mabeki wa pembeni wanarikaribia eneo la kati na kuwafanya Simba kuto kupress juu, …

#VplUpdates • Simba Sc Vs Namungo FC

. ✍️ Majira ya saa 1:00 usiku katika dimba la Taifa utapigwa mtanange wa ligi kuu Tanzania bara kati ya Simba dhidi ya Namungo ya mkoani Lindi. . KOCHA NAMUNGO ANASEMAJE . ✍️ Akizungumzia kuhusu pambano hilo kocha mkuu wa Namungo HITIMANA Thiery amesema anatarajia upinzani mkubwa kutoka kwa wapinzani wake (Simba Sc) na mchezo …

MO Dewji amkaribisha Simba SC Rais wa FIFA

Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Simba SC MO Dewji leo amefanikiwa kukutana na Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA) Gianni Infantino, MO Dewji amekutana na kujadiliana na Rais huyo, MO ame-share picha zake na Infantino katika mitandao ya kijamii. “Leo nimekutana na Gianni Infantino, Rais wa FIFA katika makao yao makuu. …

Statement ya Simba SC kuhusu kauli ya Kabwili wa Yanga

Ni siku moja imepita toka golikipa wa Yanga SC Ramadhani Kabwili kuituhumu club ya Simba SC kuwa iliwahi kumuahidi hongo ya gari Toyota IST, endapo angekubali kujipatisha kadi ya tatu ya njano katika mchezo dhidi ya JKT Tanzania, ukiwa ni mchezo mmoja kabla ya game ya watani wa jadi. Kama Kabwili angefanya hivyo kwa madai …

MJUE HASSAN SALEHE DILUNGA mpaka “HD”

. Inaandikwa na @danirito_thomson . Kwanza kabisa HAPPY BIRTHDAY midfielder kisheti, ishi tu, endelea kuwafurahisha WAKALI WA TERMINAL jukwaani . Hasan Dilunga akili na mwili na style kama mJapan Shinji Kagawa, anafit kama namba nane wa kulia au kushoto kwenye 4-3-3 anafit kama 10, 7,11 kwenye 4-2-3-1 . Kiungo mshambuliaji anaeweza pia kucheza winga ya …

Design a site like this with WordPress.com
Get started