Aussems. Arejea msimbazi Akiwa na mzuka tere

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amerejea nchini kukiongoza kikosi chake na maandalizi ya msimu mpya Aussems aliwasili jana na moja kwa moja kuelekea Hoteli ya Sea Scape ambako Simba iliweka kambi ya muda Leo kutakuwa na semina kwa wachezaji na viongozi wa benchi la ufundi Simba itaondoka kesho Jumatatu kuelekea Afrika Kusini ambako itakuwa …

– Baada ya wachezaji wapya wa klabu ya Simba kuwasili kambini jijini Dar wamekabidhiwa vifaa

– Baada ya wachezaji wapya wa klabu ya Simba kuwasili kambini jijini Dar wamekabidhiwa vifaa huku pia wakipewa namba za jezi ambazo watazitumia msimu ujao. Aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga Ibrahim Ajibu amepewa jezi namba 10 iliyokuwa inavaliwa na Adam Salamba. : – Mshambuliaji Deo Kanda amepewa jezi namba 7 ambayo ilikuwa inavaliwa na Emmanuel Okwi, …

Emmanuel okwi…awaaga wachezaji wenzake wa msimbazi

Mshambuliaji wa Kimataifa wa Uganda Emmanuel Okwi ametimkia Falme za Kiarabu ambapo amesajiliwa na Fujairah Fc inayoshiriki ligi kuu nchini humo Licha ya kuondoka Simba, Okwi amewataka wachezaji wa timu hiyo walinde mafanikio yaliyopatikana msimu uliopita na pengine wavuke zaidi Katika misimu miwili aliyocheza Simba, Okwi aliisaidia Simba kutwaa mataji mawili ya ligi kuu pamoja …

Gadiel Michael leo amewapa. Gari la kifahari na simba sc

Beki mpya wa Simba ujumbe wale waliokuwa wakihoji uamuzi wake wa kuikacha Yanga na kujiunga na mabingwa wa nchi, Simba Gadiel ametinga Hotel ya Sea Scape akiwa na gari mpya kabisa aina ya Crown ambayo ameinunua baada ya kupata mkwanja wa maana kutokana na usajili wake wa kujiunga na Simba Inaelezwa usajili wa Gadiel umeigharimu …

Design a site like this with WordPress.com
Get started