Kikosi cha Simba Queens kimefika salama nchini Ujerumani. Kikosi hicho kitakuwepo nchQini humo kwa ziara ya kisoka ya wiki mbili. #SimbaYaKimataifa #NguvuMoja
Category Archives: simba
Kikosi Cha Klabu ya @simbasctanzania jana jioni kimefanya mazoezi mepesi baada ya safari ya kutokea Dar es Salaam
Kikosi Cha Klabu ya @simbasctanzania jana jioni kimefanya mazoezi mepesi baada ya safari ya kutokea Dar es Salaam kwenda Rustenburg, Afrika Kusini kujiandaa na msimu mpya… #TPLUpdates
Visa zawakwamisha nyota wa simba kusafiri
Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kiliwasili salama Afrika Kusini jana na kuanza mazoezi ya maandalizi ya msimu mpya Hata hivyo baadhi ya nyota walishindwa kusafiri jana kutokana na hati zao za kusafiria kutokamilika Mfungaji bora wa ligi kuu ya Tanzania Bara msimu uliopita, Meddie Kagere ni miongoni mwa wachezaji ambao wamebaki jijini …
Continue reading “Visa zawakwamisha nyota wa simba kusafiri”
Kikosi cha Simba kimeondoka jijini Dar es salaam kuelekea Afrika Kusini kuweka kambi ya kujiandaa na msimu mpya
Kikosi cha Simba kimeondoka jijini Dar es salaam kuelekea Afrika Kusini kuweka kambi ya kujiandaa na msimu mpya Simba inatarajiwa kuwa Afrika Kusini kwa takribani wiki tatu
Msafara wa Simba Queens umeondoka leo kuelekea Ujerumani kwa ziara ya wiki mbili
Msafara wa wachezaji wa timu ya Wanawake Simba Queens umeondoka leo kuelekea Ujerumani kwa ziara ya wiki mbili Msafara wa timu hiyo umeondoka na watu 16, wachezaji wakiwa 13 na viongozi watatu, ambapo mkuu wa msafara ni mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi, Asha Baraka. Wakiwa Ujerumani, wachezaji wa Simba Queens watapata nafasi ya kushiriki semina …
Continue reading “Msafara wa Simba Queens umeondoka leo kuelekea Ujerumani kwa ziara ya wiki mbili”
Kikosi cha Klabu ya @simbasctanzania kimefika kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere tayari kwa safari ya kwenda Afrika Kusini…
Kikosi cha Klabu ya @simbasctanzania kimefika kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere tayari kwa safari ya kwenda Afrika Kusini…
Ibrahim Ajib amesema amerejea Simba kufanya kazi..sahauni Tp mazembe
Kiungo fundi wa mpira Ibrahim Ajib amesema amerejea Simba kufanya kazi ambapo amewaahidi mashabiki wa timu hiyo wakae mkao wa kula Ajib alikuwa akihusishwa kutimkia TP Mazembe kabla taarifa za usajili wake kutua Simba kuvuja Akizungumza jana kwenye Semina kwa wachezaji wa klabu ya Simba, Ajib alisema hakujiunga na TP Mazembe kwa kuwa Simba ilimpatia …
Continue reading “Ibrahim Ajib amesema amerejea Simba kufanya kazi..sahauni Tp mazembe”
Simba yamtaka juuko murshid…kutejea kikosini
Uongozi wa Simba umesema beki wake wa Kimataifa ya Uganda Juuko Murshid bado ana mkataba wa mwaka mmoja na mabingwa hao wa Tanzania Bara na wamemtaka arejee kambini tayari kwa maandalizi ya msimu mpya Hivi karibuni Juuko alinukuliwa na chombo kimoja cha habari nchini Uganda akisema kuwa hana mpango wa kurejea Simba huku akidai kuwa …
Continue reading “Simba yamtaka juuko murshid…kutejea kikosini”
Vijana machachari wa simba kukutana tena kwa mara.nyingime
Leo wachezaji wote wa Simba walikutana Sea Scape Hotel Mbezi Beach jijini Dar es salaam ambako kulikuwa na Semina maalum kabla ya kuanza maandalizi ya msimu mpya Ilikuwa siku ya kwanza kwa kiungo fundi Ibrahim Ajib kujumuika na wachezaji wa Simba baada ya kuondoka klabuni hapo misimu miwili iliyopita Pichani juu Ajib yuko pamoja na …
Continue reading “Vijana machachari wa simba kukutana tena kwa mara.nyingime”
Mabingwa wa nchi Simba kesho Jumatatu wanaondoka nchini kwenda Afrika Kusini kuweka kambi ya maandalizi ya msimu mpya
Mabingwa wa nchi Simba kesho Jumatatu wanaondoka nchini kwenda Afrika Kusini kuweka kambi ya maandalizi ya msimu mpya Uongozi wa Simba umethibitisha kuwa timu itaondoka saa nne asubuhi