SIMBA YAIPIGIA HESABU JKT TANZANIA KESHO, TAIFA

UONGOZI wa Simba umesema kuwa timu itaendelea kupambana kwenye mechi zake zote za Ligi Kuu Bara ili kufikia malengo waliyojiwekea ya kutetea ubingwa msimu huu. Simba kesho itashuka Uwanja wa Taifa kumenyana na JKT Tanzania ikiwa ni mchezo wa kwanza wa mzunguko wa pili kwa msimu wa 2019/20. Akizungumza na Saleh Jembe, Patrick Rweyemamu, Meneja …

UTAMU WA DAKIKA 90 SIMBA DHIDI YA POLISI TANZANIA.

Prepared by @stevenjema_268 What a Match?? Mchezo wenye Hadhi Ya Premier, Kwa Viwango Vya Timu zote mbili hivi Karibuni (Current performance) nilitegemea kuuona mchezo kama uliionekana. . . Mwalimu Sven na 4-2-3-1 yake bado Anashida kubwa sana Kwenye kipindi cha mpito kutoka kushambulia kwenda kulinda (Transition From Offence to Defence) Na kiufundi mfumo huu Kwenye …

KOCHA SIMBA AELEZA KINACHOMSUMBUA KUHUSIANA NA SAFU YA USHAMBULIAJI

SVEN Vanderbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa bado anasumbuliwa na tatizo la safu ya ushambuliaji kushindwa kumalizia nafasi wanazotengeneza pamoja na safu ya ulinzi kushndwa kulinda lango. Simba ambao ni mabingwa watetezi wa ligi, jana Februari,4 walishinda mabao 2-1 mbele ya Polisi Tanzania ya Moshi ambao walianza kwa kasi kipindi cha kwanza na kufunga …

DAKIKA 90 SIMBA SC VS POLISI TANZANIA FC .

Timu iliyokuwa bora imepoteza mchezo, Simba hawakuwa katika kiwango bora . Kocha wa Polisi Tanzania alikuwa jasiri sana, kuja ugenini na 4-3-3 na kumpa Simba wakati mgumu kwa kucheza na front three yenye kasi kubwa ambayo kwa muda mwingi walikaa juu kabisa . Sabilo kushoto, Matheo Anthony kati, kasi yao ilifanya beki za Simba wasisogee …

KOCHA POLISI TANZANIA AFICHUA KILICHO NYUMA YA KUSHINDWA MBELE YA SIMBA

MALALE Hamsini, Kocha Mkuu wa Polisi Tanzania amesema kuwa mchezo wake wa jana Februari,4 mbele ya Simba ulikuwa ni mzuri walichoshindwa ni uzoefu tu kupata pointi tatu mbele ya Simba. Polisi Tanzania ilikubali kufungwa mabao 2-1 mbele ya Simba kwenye mchezo uliochezwa Uwanja Taifa. Akizungumza na Saleh Jembe, Hamsini amesema kuwa wachezaji walionyesha uwezo wao …

KonaYaKiufundi Simba SC dhidi ya Polisi Tanzania

# …… . 1. Mechi ilikuwa wazi kwa timu zote,kila timu ilijaribu kupigania mipango yake,ilikuwa mechi nzuri kuitazama,kila timu ilikuwa na nafasi ya kupata pointi kwenye mchezo huu.. . 2. Kwa Polisi Tanzania naweza kuwapa pongezi benchi lao la ufundi,walikuja na mpango poa sana,kipindi cha kwanza waliichukua gem kabisa,kama wachezaji wa Polisi wangekuwa na ukomavu …

SIMBA YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA POLISI TANZANIA LEO, TAIFA

SVEN Vanderbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wachezaji wake wapo tayari kuzisaka pointi tatu leo mbele ya Polisi Tanzania. Simba itamenyana na Polisi Tanzania, Uwanja wa Taifa saa 1:00 Usiku kwenye mchezo wao wa kwanza msimu huu ndani ya Ligi Kuu Bara. Sven amesema kuwa makosa waliyoyafanya kwenye mchezo wao uliopita mbele ya Coastal …

KAGERE AFIKILIA MAAMUZI MENGINE JUU YA SIMBA

MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba amesema kuwa hana habari na tuzo ya mfungaji bora ila anachotazama ni rekodi mpya kwa timu yake kutwaa taji la Ligi Kuu Bara. Simba imetwaa mataji 20 ya ligi ikiachwa kwa jumla ya mataji 7 na wapinzani wao Yanga wenye mataji 27, endapo watafanikiwa kulitwaa msimu huu watabakiza deni la …

Ungozi wa simba sc yaweka wazi juu yawachezaji wao ambao hawacheza mwez January

Uongozi wa Simba Sc umedai kuwa wachezaji wake watatu ambao hawajacheza mechi yoyote kwa mwezi January 2020, Mzamiru Yasin, Miraji Athumani na Deo Kanda bado ni majeruhi na siyo vinginevyo. Uongozi umefunguka maneno hayo baada ya taarifa zilizokuwa zikisambaa mitandaoni kuwa mchezaji kama mzamiru alibolonga siku ya mechi ya watani wa jadi. #fullsokatzupdates

Design a site like this with WordPress.com
Get started