Beki Zana Coulibaly haamini kilichomtokea simba

Beki Zana Coulibaly ameachwa kwenye kikosi cha Simba baada ya kuitumikia timu hiyo kwa miezi sita tu Beki huyo aliyetua Simba wakati wa usajili wa dirisha dogo alikuja nchini kwa lengo la kuanza maandalizi ya msimu mpya hata hivyo akakutana na barua ya kutupiwa virago Licha ya usajili wake kupambwa na mbwembwe nyingi, Zana alishindwa …

Mzee Hamis Kilomoni sio mdhamini tena wa klabu ya Simba.

Hizi ni barua zilizotoka kwa Kabidhi Wasii Mkuu wa Serikali kwenda kwa wakili wa aliyekuwa mdhamini wetu, na pia barua ya Mahakama kwenda kwa wakili huyo zinazothibitisha mdhamini huyo Mzee Hamis Kilomoni sio mdhamini tena wa klabu yetu ya Simba. Taarifa hii ilitolewa leo na Afisa Mtendaji Mkuu, Crescentius Magori kwenye mkutano wake na wanahabari. …

Mtendaji Mkuu wa Simba Crescentius Magori ametolea ufafanuzi suala la Juuko Murshid

Mtendaji Mkuu wa Simba Crescentius Magori ametolea ufafanuzi suala la Juuko Murshid ambaye inatajwa ameonesha utovu wa nidhamu ndani ya klabu ya Simba akiwa ndani ya mkataba na klabu hiyo unaomalizika mwezi Desemba mwaka huu. : “Wakati timu imeenda Kanda ya Ziwa, alisema anaumwa (kweli aliumia) akabaki Dar akiuguza majeraha, timu ilivyorudi Dar tayari alikuwa …

Baada ya mazoezi ya asubuhi wachezaji wa Mabingwa wa nchi wanapata chakula kizuri cha mchana na baada ya hapo wanapumzika kujiandaa na mazoezi ya jioni

Baada ya mazoezi ya asubuhi wachezaji wa Mabingwa wa nchi wanapata chakula kizuri cha mchana na baada ya hapo wanapumzika kujiandaa na mazoezi ya jioni. #NguvuMoja

Nyota 13 waliotemwa simba

Simba imetangaza kuwaacha wachezaji wake 13, akiwemo mfungaji bora wa Uganda katika fainali za Afcon, Emmanuel Okwi. Akizungumza na waandishi wa habari mapema leo, Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Crescentius Magori alisema kati ya wachezaji hao, sita wametolewa kwa mkopo na saba wamemaliza mikataba. “Waliomaliza mikataba klabu haikuhitaji kuendelea nao, isipokuwa Asante Kwasi ambaye mkataba …

Design a site like this with WordPress.com
Get started