Category Archives: simba
Leo saa 5:00 asubuhi (EAT) tutacheza mchezo wa kwanza wa kirafiki dhidi ya klabu ya Orbret TVET.
Leo saa 5:00 asubuhi (EAT) tutacheza mchezo wa kwanza wa kirafiki dhidi ya klabu ya Orbret TVET. #NguvuMoja
Klabu ya @simbasctanzania hii leo majira ya Saa 5:00 asubuhi (EAT) inatarajia Kucheza mchezo wao wa Kwanza wa Kirafiki
– Klabu ya @simbasctanzania hii leo majira ya Saa 5:00 asubuhi (EAT) inatarajia Kucheza mchezo wao wa Kwanza wa Kirafiki wakiwa kambini Nchini Afrika Kusini… Mchezo huo wa kujipima Ni dhidi ya timu ya Chuo Kikuu Cha Orbit TVET Collage, Orbit FC mjini Rustenburg.. #Updates
Afisa Mtendaji Mkuu, Crescentius Magori leo amejumuika pamoja na wachezaji na benchi la ufundi katika chakula cha usiku
Afisa Mtendaji Mkuu, Crescentius Magori leo amejumuika pamoja na wachezaji na benchi la ufundi katika chakula cha usiku hapa kambini mjini Rustenburg, Afrika Kusini. #NguvuMoja
Afisa Mtendaji Mkuu, Crescentius Magori leo amejumuika pamoja na wachezaji na benchi la ufundi katika chakula cha usiku
Afisa Mtendaji Mkuu, Crescentius Magori leo amejumuika pamoja na wachezaji na benchi la ufundi katika chakula cha usiku hapa kambini mjini Rustenburg, Afrika Kusini. #NguvuMoja
Simba Queens imecheza michezo miwili ya kirafiki nchini Ujerumani.
Kimba Queens imecheza michezo miwili ya kirafiki nchini Ujerumani. Mchezo wa kwanza imeshinda magoli 3-1 na mchezo wa pili umeisha kwa sare ya magoli 2-2. #NguvuMoja
CUF yavuruga ratiba ya simba day
Kitendo cha Shirikisho la soka Barani Afrika (CAF) kuipanga Simba hatua ya awali ya michuano ya ligi ya mabingwa, kimevuruga ratiba ya timu hiyo kuelekea Tamasha la SIMBA DAY linalofanyika kila mwaka Simba inapaswa kusafiri kwenda nchini Msumbiji kuumana na USD Songo katika mchezo wa kwanza wa hatua ya awali ambao utapigwa kati ya tarehe …
Simba kuanza na US songo ligi yamabingwa africa
Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba wataanza kampeni ya kutinga hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika kwa kumenyana na US Songo ya Msumbiji katika mchezo wa hatua ya awali Simba itaanzia ugenini katika mchezo wa kwanza utakaopigwa kati ya August 09-11 na itamalizia mchezo wa pili uwanja wa Taifa kati …
Continue reading “Simba kuanza na US songo ligi yamabingwa africa”
Simba kuwa na viwanja viwili bunju
Achana na kiwanja cha nyasi bandia ambacho kinasubiri kutandikwa nyasi hizo baada ya zoezi la kuweka miundombinu kukamilika Mabingwa wa nchi Simba, huko Bunju watakuwa na viwanja viwili ambapo wakati huu tayari ujenzi wa kiwanja kingine kitakacho-pandwa nyasi asili unaendelea Kisima cha maji yatakayotumika kumwagilia kiwanja hicho kimechimbwa na sasa zoezi la kutandaza mbolea linaendelea …
Ratiba ya mechi za kirafiki.#SimbaYaKimataifa
Ratiba ya mechi za kirafiki.#SimbaYaKimataifa #NguvuMoja