2/2: KUTOKA MKUTANO WA WAANDISHI WA HABARI NA KLABU YA @simbasctanzania.

2/2: KUTOKA MKUTANO WA WAANDISHI WA HABARI NA KLABU YA @simbasctanzania. : “Siku ya tarehe 5 / Agosti saa 9:30 alasiri kutakuwa na mkutano na wanahabari, saa 10:30 Simba watafanya mazoezi Uwanja wa Taifa na saa 11:30 jioni watawapisha wenzao. Siku hiyo hiyo timu ya Simba Queens itatembelea Shule ya Makongo kuwapa hamasa wanafunzi”- CEO …

KUTOKA MKUTANO WA WAANDISHI WA HABARI NA KLABU YA @simbasctanzania.

1/2: KUTOKA MKUTANO WA WAANDISHI WA HABARI NA KLABU YA @simbasctanzania. . CO; Jamani leo nitaongea. Nikimaliza ataongea Haji mwisho wadhamini wetu. Kikubwa leo tumewaita hapa juu ya Simba wiki. Huu ni mwaka wa kumi kila mwaka tunafanya matamasha haya. Hili la mwaka huu Haji ataongea. Wiki hii itaanza 31/7/2019 wachezaji watarejea toka south Africa. …

Design a site like this with WordPress.com
Get started