Kuelekea Simba Day Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Majaliwa Kassim anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Simba Day litakalofanyika kesho katika uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
Category Archives: simba
Okwi ameaga Rasmi ndani ya Klabu ya Simba SC kwa Mashabiki na Benchi la ufundi la Klabu hiyo
: #Repost @emmanuelokwi Mashabiki Wa @simbasctanzania, I would like to thank you all for the great memories that we’ve had for many years, many times. You’ve always treated me as your own. I truly appreciate and would like you to know that I feel your love. Many thanks as well to the technical team and …
Mohamed Dewji. Kuanzisha simba mpya
– Mwekezaji wa Simba SC, Mohamed Dewji amesema watapeleka maombi yao Shirikisho la Soka nchini Tanzania @tanfootball, ili kununua timu ya daraja la kwanza. . – Timu hiyo itakuwa na wachezaji wanaotoka timu yao ya vijana ya Simba na endapo watakubaliwa watakuwa na timu itakayoitwa Simba lakini ikishiriki Ligi Daraja la Kwanza…. Mo Dewji amesema …
Simba sc kuzindua uwanja wa bunju leo
Kama bado upo mbali fanya uwahi, muda mfupi ujao tutaanza hafla ya kuweka jiwe la msingi katika uwanja wetu wa Bunju. #IgaUfeThisIsNextLevel #SportPesaSimbaWeek #NguvuMoja
Simba yafanya yake.kwa watanzania
#Repost from @simbasctanzania Kuwajali wenzetu ni kawaida yetu Wanasimba. Twendeni tukawajulie hali na kuwasaidia wagonjwa. #IgaUfeThisIsNextLevel #SportPesaSimbaWeek #NguvuMoja
Viingilio vya Siku ya Simba Day
Viingilio vya Siku ya Simba Day
@simbasctanzania Mazoezi kujiandaa kuwapa burudani Wanasimba katika Simba Day
# Repost @simbasctanzania Mazoezi kujiandaa kuwapa burudani Wanasimba katika Simba Day yameanza. Tukutane Taifa 6/8/2019.
Klabu ya @simbasctanzania imeingia mkataba na benki ya Equity
Klabu ya @simbasctanzania imeingia mkataba na benki ya Equity ambao utawezesha benki hiyo kusimamia mradi wa kadi mpya za wanachama na mashabiki ambazo zitaitwa Simba Card. . Kadi hizo zitatumiwa na wanachama na mashabiki wa timu hiyo kuweka akiba ye pesa na kutoa pindi wanapotaka kutumia, lakini pia kulipa ada ya kila mwaka, kununua tiketi …
Continue reading “Klabu ya @simbasctanzania imeingia mkataba na benki ya Equity”
Simba yatejea kwa kishindo
. .Kikosi Cha Klabu ya @simbasctanzania kimewasili Nchini Tanzania 🇹🇿 kikitokea huko Bondeni Afrika Kusini ambako kilipiga kambi ya Maandalizi ya Msimu Mpya wa Ligi na Michuano ya Kimataifa!!. #TPLUpdates #SimbaSC
SIMBA SC YAINGIA MKATABA WA UDHAMINI NA ROMARIO SPORTS
#Repost @worldsports14_ SIMBA SC YAINGIA MKATABA WA UDHAMINI NA ROMARIO SPORTS Klabu ya Simba imeingia wa mkataba wa udhamini wa miaka miwili na kampuni ya vifaa vya michezo, Romario Sports wenye thamani ya milioni 600. Mkurugenzi Mtendaji wa Klabu hiyo Crescentius Magori amesema kuwa wanaishukuru kampuni hiyo kwa udhamini huo kwa sababu umeondoa gharama za …
Continue reading “SIMBA SC YAINGIA MKATABA WA UDHAMINI NA ROMARIO SPORTS”