Kikosi cha Simba leo jioni kimefanya mazoezi ya mwisho nchini Msumbiji kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya UD Songo Simba imefanya mazoezi kwenye uwanja ambao utatumika katika mchezo wa kesho
Category Archives: simba
Mchezo ya UD Songo vs Simba kupigwa saa tisa alasili
Klabu ya UD Songo imepanga muda wa mchezo wa kesho wa ligi ya mabingwa hatua ya awali dhidi ya Simba utapigwa saa tisa Alasiri kwa muda wa Msumbiji ambao huku Tanzania itakuwa saa kumi jioni Kikosi cha Simba kiliondoka nchini mapema leo kuelekea Msumbiji tayari kwa mchezo huo Msafara wa Simba ulijumuisha wachezaji 19 ambao …
Continue reading “Mchezo ya UD Songo vs Simba kupigwa saa tisa alasili”
Simba yawasili msumbiji
Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kimewasili salama nchini Msumbiji tayari kwa mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya wenyeji wao, UD Songo Mabingwa hao wa nchi waliondoka jijini Dar es salaam mapema leo kwa usafiri wa ndege ya kukodi Jioni Simba itafanya mazoezi ya mwisho kujiandaa na mchezo huo utakaopigwa kesho Jumamosi …
Kahata Adatishwa na Simba day
Baada ya kushuhudia ‘nyomi ya kufa mtu’ Uwanja wa Taifa wakati wakiibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Power Dynamsos ya Zambia, kiungo mshambuliaji mpya wa Simba, Mkenya Francis Kahata, amewataka mashabiki wa klabu hiyo kuendelea kuisapoti timu yao ili iendelee kufanya makubwa zaidi. Mashabiki wa Simba, Jumanne wiki hii walijitokeza kwa wingi na …
Manara awaomba watanzania kuziunga mkono timu zote nne..
Mkuu wa kitengo cha Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Haji Manara amewataka mashabiki wa timu hiyo waziunge mkono timu zote nne zinazoshiriki michuano ya CAF ikiwemo Yanga kwani mafanikio ya timu zote yataendelea kuinufaisha Tanzania Kwa mara ya kwanza mwaka huu Tanzania imepata nafasi ya kuingiza timu nne kwenye michuano ya CAF kutokana na …
Continue reading “Manara awaomba watanzania kuziunga mkono timu zote nne..”
Simba tayari imepaa kwenda kupambana na UD Songo
Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba tayari kimeondoka nchini kwenda jiji la Beira huko Msumbiji ambako kesho Jumamosi itacheza na UD Songo mchezo wa ligi ya mabingwa, hatua ya awali Simba imeondoka kwa kutumia ndege ya kukodi, Flight Link Nyota walioondoka; Beno Kakolanya Gadiel Michael Shomari Kapombe Erasto Nyoni Pascal Wawa Jonas Mkude …
Continue reading “Simba tayari imepaa kwenda kupambana na UD Songo”
@simbasctanzania inatarajia kuondoka Nchini..kwenda Msumbiji
Klabu ya @simbasctanzania inatarajia kuondoka Nchini na ndege binafsi Ijumaa asubuhi tayari kwa kwenda Msumbiji kucheza mchezo wa awali wa Ligi Mabingwa Afrika Jumamosi dhidi ya UD Songo. #sokaplace
Simba yatoa shukrani baada ya simba day
Asanteni sana Wanasimba na Watanzania wote. #IgaUfeThisIsNextLevel #NguvuMoja