Ajib ..manura kurejea.kikosini

Fundi wa mpira Ibrahim Ajib na mlinda lango Aishi Manula wanatarajiwa kurejea kikosini wiki hii kuendelea na maandalizi ya mchezo wa marudiano wa ligi ya mabingwa dhidi ya UD Songo Kulingana na taarifa iliyotolewa na Daktari wa Simba Yassin Gembe, Ajib na Manula wako kwenye hatua za mwisho za matibabu yao Lakini ni wazi wataukosa …

Baada ya sikukuu simba yaanza mazoezi upya

Baada ya mapumziko ya sikukuu ya Eid, kikosi cha Simba leo kinarejea mazoezini kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Azam Fc Mchezo huo utapigwa Jumamosi August 17 kwenye uwanja wa Taifa Simba, mabingwa wa Ngao hiyo kwa misimu miwili mfululizo, wanataka kuweka rekodi ya kutwaa mara ya tatu Kocha Mkuu wa mabingwa …

Simba waendelea kujinoa katika uwanja wa Gymkhana

Kikisi cha Simba jana Jumamosi jioni kilicheza mechi ya kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya UD Songo nchini Msumbiji na fasta kikarejea nchini na asubuhi ya leo wamefanya mazoezi kujiandaa na mechi yao ya Ngao ya Jamii ya wikiendi ijayo na ile ya marudiano ya CAF. Mara baada ya mchezo huo Simba walirudi nchini …

Simba sc vs Azam fc..nani kuibuka bingwa ngao ya jamii

Mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Simba dhidi ya Azam Fc utapigwa Jumamosi, August 17 kwenye uwanja wa Samora Mwenyekiti wa chama cha Soka mkoa wa Iringa (IRFA) Cyprian Kuyava amesema wanaendelea na maandalizi kuelekea mchezo huo ambao utaashiria ufunguzi wa ligi kuu ya Tanzania Bara msimu wa 2019/20 Simba imerejea nchini usiku wa …

Simba yawasili kutoka msumbiji

Baada ya kumaliza majukumu ya mchezo wa kwanza wa ligi ya mabingwa dhidi ya UD Songo, kikosi cha Simba tayari kimerejea nchini Simba iliondoka nchini Msumbiji jana usiku baada ya mchezo dhidi ya UD Songo uliomalizika kwa suluhu ya bila kufungana August 17, mabingwa hao wa Tanzania Bara watacheza na Azam Fc katika mchezo wa …

Simba sc. kutupa karata yake ya kwanza ligi ya mabingwa africa kwa UD songo

Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba leo saa kumi jioni wanashuka dimbani nchini Msumbiji kuikabili UD Songo kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa hatua ya awali Kikosi cha Simba kilitua Msumbiji mapema jana kwa usafiri wa ndege ya kukodi na baadae jioni kikafanya mazoezi ya mwisho Simba imekwenda Msumbiji ikiwa na kikosi cha wachezaji 19. …

Simba sc kuikabili UD Songs kwa tahadhari kubwa

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya UD Songo leo hautakuwa mwepesi lakini muhimu kwao ni kupata matokeo mazuri ugenini Mida ya saa 11 jioni kwa saa za hapa Tanzania, Simba itashuka dimbani huko Beira Msumbiji kucheza na UD Songo ukiwa ni mchezo wa kwanza wa ligi ya …

Design a site like this with WordPress.com
Get started