Macha asema hana tatizo manara

Afisa Habari Mpya wa klabu ya Simba Gift Macha amesema anatarajia kupata ushirikiano kutoka kwa wafanyakazi wa klabu ya Simba kama ilivyo siku zote Macha anayetajwa kuchukua nafasi ya Haji Manara aliyepewa majukumu mapya, amesema amekuwa na ushirikiano mzuri na wafanyakazi wa Simba akiwemo Manara “Nimekuwa nikifanya kazi vizuri na Manara, ni mtu ambaye nikiwa …

Wachezaji wa simba sc wajazwa mamillioni

Nyota wa Simba mbali ya kuonekana kuwa na furaha kwa kufungua vizuri msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kuchukua ubingwa mara tatu mfululizo wa Ngao ya Jamii baada ya kuifunga Azam FC, mabao 4-2, lakini kuanza leo Jumatatu muda wote akaunti zao zitajazwa noti. Hii ni baada ya mabosi wa klabu hiyo kuahidi mapema …

Shiboub aendeleza shangwe msimbazi

Kiungo Shariff Elden Shiboub juzi aliibuka nyota wa mchezo akiifungia Simba mabao kwenye ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Azam Fc Kiungo huyo aliyetua Simba kwa mkataba wa mwaka mmoja akitokea klabu ya Al Hilal ya Sudan, kwa sasa ndio habari ya mjini kutokana na umahiri wake anaoonyesha dimbani Shiboub amesema mabao yake aliyofunga kwenye …

Majeraha ya bocco yamtesa Aussems

Wakati Simba ikiendelea na maandalizi ya mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya UD Songo ambao utapigwa Jumapili ijayo, kocha Mkuu wa mabingwa hao wa Tanzania Bara Patrick Aussems amesema itakuwa changamoto kama timu yake itamkosa nahodha John Bocco ambaye aliumia kwenye mchezo dhidi ya Azam Fc juzi Aussems amesema wingi wa majeruhi kwenye kikosi …

Gor mahia. Waipigia saluti.simba sc

Simba inapozungumzwa kama timu bora katika ukanda wa Afrika Mashariki kwa sasa kuna sababu nyingi Kwanza, mafanikio ya Simba ndani ya uwanja hasa kwenye michuano ya Afrika Msimu uliopita ni Simba pekee iliyofanikiwa kufika hatua ya robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika miongoni mwa timu kutoka Afrika Mashariki Pili ni Simba …

Makocha …simba sc na Azam fc kuzungumza kuelekea mchezo wao

Leo saa tano asubuhi makocha wa vilabu vya Simba na Azam Fc watazungumza na wanahabari kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii utakaopigwa kesho Jumamosi Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems na Etienne Ndayiragije watashiriki kwenye mkutano huo Simba itarusha Mkutano huo ‘mbashara’ kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Youtube

Aishi manura…afunguka baada yakurejea kikosini

Naamini tutafanya vizuri tena na katika Champion league kutokana na uzoefu tulioupata katika mashindano haya msimu uliopita. Kuhusu Mchezo wa marudiano dhidi ya UDSongo Aishi anasema kuwa Nguvu ya mashabiki ni kubwa na hakika itawapa nguvu ya kushinda Mchezo wao ujao dhidi ya UD Songo ambao utachezwa katika Uwanja wa taifa kwani anaamini mashabiki watakuja …

Kocha Patrick Aussems….atamba “Dawa yaugenini yapatikana”

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema ana matumaini makubwa kuwa timu yake msimu huu itakuwa bora kwenye michuano ya ligi ya mabingwa kuliko msimu uliopita Aussems amesema wamefanya kazi kubwa ya kujiimarisha kimfumo hasa wanapocheza ugenini “Msimu uliopita hatukuwa na matokeo mazuri kwenye michezo ya ugenini. Ukiondoa mchezo dhidi ya Mbabane Swallows, tulipoteza michezo …

Design a site like this with WordPress.com
Get started