NI ZAMU YA SIMBA KILA LAKHERI SIMBA SC.

Mkude kama kawaida atacheza deep kuilinda safu yake ya ulinzi. Huku Shiboub na Dilunga wakicheza juu huku Chama Clatous akicheza mbele yao kama link kuwaunganisha na eneo la mwisho ambalo naamini leo atamsimamisha Kagere peke yake huku Deo Kanda na Dilunga watakuwa wanafanya switching kutokea pembeni.Dilunga Hassan ni mchezaji hatari na wa muhimu mno kwenye …

Mabingwa wa nchi Simba sc .kuichakaza UD songo leo…taifa

Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba saa kumi jioni kitashuka kwenye uwanja wa Taifa kuikabili UD Songo ukiwa ni mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa barani Afrika Baada ya kufanikiwa kupata matokeo ya suluhu ya bila kufungana kwenye mchezo wa kwanza, leo Simba inahitaji matokeo yoyote ya ushindi ili iweze kusonga mbele Rekodi …

Azam..yanga zasonga mbele….kazi kwa simba leo

Azam Fc imetumia vyema uwanja wa nyumbani baada ya kuichapa Fasil Kenema mabao 3-1 na kujihakikishia kutinga raundi ya kwanza ya michuano ya kombe la Shirikisho Azam imefuzu kwa ushindi wa jumla wa mabao 3-2 Yanga nayo imejitutumua kulipa kisasi huko Botswana baada ya kuichapa Township Rollers bao 1-0 Yanga imefuzu kwa ushindi wa jumla …

Ajib..Wilker…Bocco. Waondoshwa kikosini

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema kwenye mchezo wa kesho dhidi ya UD songo wachezaji Ibrahim Ajib, Wilker Da Silva na John Bocco hawatakuwa sehemu ya kikosi Wakati Ajib na Wilker wakirejea hivi karibuni baada ya kupona majeraha, Bocco bado majeruhi Akizungumzia mchezo huo, Aussems amesema kikosi kiko tayari kupata ushindi “Tuko tayari, tunafahamu …

Manara afunguka …kipigo KMC liwefundisho simba

Baada ya KMC kupoteza mchezo nyumbani jana kwa kufungwa mabao 2-1 na AS Kigali na kuondoshwa kwenye michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika, msemaji wa Simba Haji Manara amesema matokeo hayo yanapaswa kuwa somo kwao na wasiwadharau wapinzani wao UD Songo Simba itashuka kwenye uwanja wa Taifa kesho Jumapili kuikabili UD Songo katika mchezo …

Manara atoa neno.kuelekea mechi za klabu bingwa na shirilisho tanzania

“Tunahitaji tulinde heshima ya nchi yetu, Tunajua kama mwaka wa jana na miaka mingine ya nyuma huko tulipigana vita, Mwaka wa jana ilienda mbali zaidi kiasi cha kushirikiana na timu za nje, Sisi tumesema tuyaache ya nyuma tugange yajayo tuungane mkono “.- Haya na maneno ya @hajismanara akitoa hamasa kwa timu za Tanzania na mashabiki …

Jeshi la.simba la.kamilika sasa UD songo hachomoki

Jeshi kamili la kikosi cha Simba linamekamilika kuelekea mechi yao ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya UD Songo itakayopigwa keshokuwa Jumapili Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam baada ya wachezaji watatu waliokuwa majeruhi kurejea kujifua na wenzao. Simba iliwapoteza wachezaji wake watatu; kipa Aishi Manula, mshambuliaji Ibrahim Ajibu, na mshambuliaji Mbrazil …

AUSSEMS AENDELEA KUIMARISHA KIKOSI KUIVA UD SONGO

Katika michezo miwili iliyopita wengi wameonyesha mashaka kwa safu ya ulinzi ya Simba hasa kati inayoongozwa na wakongwe Paschal Wawa na Erasto Nyoni Simba imeonyesha kukamilika pembeni, idara na kiungo na ushambuliaji lakini kumekuwa na udhaifu kwa mabeki wa kati kukosa maelewano Ni wazi hakuna maelewano mazuri kati ya Wawa na Nyoni ambapo kwa mfano …

Design a site like this with WordPress.com
Get started