Simba mliidharau UD songo- asema julio

Nyota wa zamani wa klabu ya Simba Jamhuri Kiwhelo ‘Julio’ amesema moja ya sababu iliyopelekea Simba kuondoshwa kwenye michuano ya ligi ya mabingwa, ni kitendo cha kuidharau UD Songo Julio ambaye pia amewahi kuwa kocha wa Simba, amesema baada ya matokeo ya suluhu ya bila kufungana kwenye mchezo wa ugenini, pamoja na mafanikio iliyopata Simba …

Simba sc.kuhamishia nguvu ligi.kuu na FA

Baada ya kuondolewa.katika michuano ya klabu bingwa afrika ..mabingwa wa nchi simba sport club sasa ..nguvu yao yote wanaiamishia katika mashindano ya ligi kuu tanzania bara(Vodacom premia league ) pamoja na kombe la FA. “Malengo yetu kwa sasa ni kufanya vizuri kwenye mashindano yote kuanzia Ligi Kuu, kombe la FA na mingine ambayo tutashiriki”Kocha Mkuu …

Simba kurejea kesho mzigoni

Kikosi cha Simba kesho kitarejea mazoezini kujiwinda na mchezo wa kwanza wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya JKT Tanzania, mchezo ambao utapigwa Alhamisi kwenye uwanja wa Uhuru Benchi la ufundi liliwapa wachezaji hao mapumziko ya siku moja baada ya mchezo wa jana wa ligi ya mabingwa ambao ulimalizika kwa sare ya bao 1-1 Mabingwa …

Mohammed hussein-Ayakubali matokeo

Nahodha msaidizi wa Simba Mohammed Hussein ‘Zimbwe Jr’ amesema wameyakubali matokeo ya kuondoshwa michuano ya ligi ya mabingwa dhidi ya UD Songo kwani ndio mpira ulivyo Zimbwe Jr maarufu zaidi kama ‘Tshabalala’, amesema walifanya jitidaha kupata ushindi lakini bahati haikuwa yao “Tulipambana ili tuweze kushinda lakini bahati haikuwa upande wetu,” amesema “hatuna namna, inabidi tujipange …

Haji manara kuongea na waandishi wa habari hapo kesho

Msemaji wa klabu ya simba school @hajismanara Kesho Jumanne tarehe 27/8/2019 Saa sita kamili mchana,Kwenye hoteli ya nyota tano ya Serena iliyopo hapa jijini Dar es Salaam,nitaongea na Wanahabari za michezo, Mkutano huo utafanyika Kwenye ukumbi wa kivukoni three uliopo ndani ya hoteli hiyo Mkutano huo utarushwa live na @azamtvtz kupitia Azam sports two na …

Haji manara kuongea na waandishi wa habari hapo kesho

Msemaji wa klabu ya simba school @hajismanara Kesho Jumanne tarehe 27/8/2019 Saa sita kamili mchana,Kwenye hoteli ya nyota tano ya Serena iliyopo hapa jijini Dar es Salaam,nitaongea na Wanahabari za michezo, Mkutano huo utafanyika Kwenye ukumbi wa kivukoni three uliopo ndani ya hoteli hiyo Mkutano huo utarushwa live na @azamtvtz kupitia Azam sports two na …

BAADA YA DK 90 ZA SIMBA NA UD DO SONGO HAPA TAIFA.

Na Jose Jose Baada ya KMC juzi jana haikuwa kazi ndogo kwa Azam na Yanga kuipeperusha vyema bendera ya Taifa baada ya kushinda michezo yao ya marudiano,Azam waliwika pale Chamanzi baada ya kuwasukuma Fasil Kenema kwa ushindi wa 3-2 huku Yanga wao wakiuwasha kule Gaborone kunako Dimba la Botswana National Stadium baada ya ushindi wa …

Design a site like this with WordPress.com
Get started