Simba imeanza vibaya mzunguuko wa pili ligi kuu ya Vodacom baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa JKT Tanzania katika mchezo uliopigwa uwanja wa Uhuru Bao pekee la JKT Tanzania lilifungwa na Adam Adam kwenye dakika ya 25 baada ya walinzi wa Simba na mlinda lango Beno Kakolanya kuzembe kucheza krosi Mabingwa hao …
Category Archives: simba
Pigo simba ;wachezaji 6 kuikosa JKT tanzania leo
SIMBA leo itakuwa Uwanja wa Uhura saa 10:00 Jioni kumenyana na JKT Tanzania kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara ikiwa ni mchezo wa mzunguko wa pili. Kikosi cha Simba kitakosa huduma ya wachezaji sita wa kikosi cha kwanza kutokana na sababu mbalimbali. Taarifa kutoka Simba zimeeleza kuwa wachezaji wao wanne ni majeruhi huku wawili wakiwa …
Continue reading “Pigo simba ;wachezaji 6 kuikosa JKT tanzania leo”
Taarifa kuhusu wachezaji wa simba ambao ni majeruhi
Wachezaji majeruhi 1) Mzamiru Yassin 2) Miraji Athumani 3) Deo Kanda 4) Erasto Nyoni Wachezaji ambao ni wagonjwa (sio majeruhi) 5) Shomari Kapombe 6) Rashid Juma
Kichuya na miquissone kuanza katika mchezo wa leo
Mashabiki wa Simba leo wanaweza kupata nafasi ya kuwashuhudia wachezaji wao wapya Shiza Kichuya na Luis Miquissone kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya JKT Tanzania ambao utapigwa uwanja wa Uhuru Nyota hao waliosajiliwa mwezi uliopita kwenye dirisha dogo, baada ya kukaa nje kwa takribani wiki tatu wakisubiri hati za uhamisho wa Kimataifa, sasa zimewasili …
Continue reading “Kichuya na miquissone kuanza katika mchezo wa leo”
JKT TANZANIA .MECHI YETU NA SIMBA NI NGUMU SANA
ABDALLAH Mohamed ‘Bares’, Kocha mkuu wa JKT Tanzania amesema kuwa mchezo wa kesho mbele ya Simba ni mgumu ila kikosi kipo tayari kupata ushindi. JKT Tanzania itaingia uwanjani ikiwa na kumbukumbu ya kufungwa mabao 3-1 na Simba kwenye mechi ya kwanza iliyochezwa Uwanja wa Uhuru. Akizungumza na Saleh Jembe, Bares amesema kuwa wachezaji wapo tayari …
Continue reading “JKT TANZANIA .MECHI YETU NA SIMBA NI NGUMU SANA”
Vandenbroeck mtegoni dhidi ya JKT Tanzania
Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck leo atakiongoza kikosi chake kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ruvu Shooting Mchezo huo utapigwa saa kumi jioni kwenye uwanja wa Uhuru Vandenbroeck yuko kwenye presha kubwa kutokana na mwenendo ambao timu imekuwa ikionyesha chini yake licha ya kupata matokeo Inaelezwa mabosi wa Simba tayari wako mguu sawa …
Continue reading “Vandenbroeck mtegoni dhidi ya JKT Tanzania”
Simba kuanza mzunguko wa pili kwa kuwavaa JKT Tanzana
Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba ambao ndio vinara wa ligi kuu, leo wanaanza mzunguko wa pili wa Ligi hiyo kwa kuwakaribisha ‘Maafande’ wa JKT Tanzania katika mechi itakayochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini, Dar es Salaam. Simba itashuka dimbani ikiwa na kumbukumbu ya kupata ushindi mfululizo wa mechi tano wakati JKT Tanzania wao wametoka …
Continue reading “Simba kuanza mzunguko wa pili kwa kuwavaa JKT Tanzana”
MBELGIJI SIMBA ATOA SABABU ZA TIMU YAKE KUBORONGA KIWANGO
MASHABIKI wa Simba wameonyesha hasira huku wakidai hawaelewi kinachoendelea kwenye timu yao haswa kwenye kiwango na aina ya matokeo. Lakini kocha mkuu wa timu hiyo, Mbelgiji, Sven Vanderboeck amesema hata kubana kwa ratiba kunachangia. Kocha huyo amesema hayo kutokana na ushindi wa mabao ya dakika za mwisho ambayo walioupata kwenye mechi dhidi ya Mwadui, Namungo …
Continue reading “MBELGIJI SIMBA ATOA SABABU ZA TIMU YAKE KUBORONGA KIWANGO”
MAAMUZI MAGUMU KUFANYIKA NDANI YA SIMBA, MBADALA WA SVEN ATAJWA
Baada ya kikiso cha Simba kuonesha kiwango kilicho butu katika mechi za hivi karivuni, inaelezwa kuwa mabosi wa Simba wapo kwenye mchakato wa kusaka Kocha mwingine. Timu hiyo inayonolewa na Sven Vandenbroeck ambaye ni raia wa Ubelgiji, imekuwa ikipata matokeo ya kusuasua tangu aanze kuinoa jambo ambalo limeanza kuleta wasiwasi katika mechi za ligi na …
Continue reading “MAAMUZI MAGUMU KUFANYIKA NDANI YA SIMBA, MBADALA WA SVEN ATAJWA”