Miraji Athuman kusaka namba ya kudumu simba sc

Winga mpya wa Simba, Miraji Athuman amesema anachokipigania kwa sasa ni kuhakikisha kocha mkuu Patrick Aussems anamshawishi ili kupangwa kikosi cha kwanza. Aussems amekuwa akimpa nafasi mchezaji huyo na mechi yao ya ufunguzi alifunga bao moja, Simba ikiibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya JKT Tanzania. Mchezaji huyo amesema anatamani kufanya kazi na sio …

Sasa lazima.nitwae kiatu cha dhahabu

Baada ya Simba kuondolewa katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, straika wao Meddie Kagere amesema akili zao sasa wamezihamishia kwenye ligi kuu kuhakikisha wanatetea ubingwa wao Simba imeanza ligi vizuri kwa kuifunga JKT Tanzania mabao 3-1 huku Kagere akifunga mabao mawili Kagere aliyeibuka mfungaji bora msimu uliopita kwa kufunga mabao 23 amesema wachezaji wote …

MO DEWJI AIBUKA, ‘AWAPOZA MACHUNGU’ WANASIMBA

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC Mohamed Dewji ameibuka na kuwataka wapenzi na mashabiki wa timu hiyo kutulia na kutokata tamaa baada ya kutolewa kwenye michuano ya Mabingwa barani Afrika katika hatua ya awali. Hii ni mara ya kwanza muwekezaji huyo kuzungumza tangu Simba ikumbane na balaa hilo Agosti 25 mwaka huu kwa …

DAKIKA 90 ZA SIMBA KUNAKO DIMBA LA UHURU.

Na @josejose189 : Baada ya Yanga juzi kupotea kwa Ruvu Shooting hatimaye jana umepigwa mchezo mwingine wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (Vodacom Premier League) ambapo mnyama Simba ameanza Ligi vyema kwa kuwachapa maafande wa JKT Tanzania 3-1. : Dalili za Simba kushinda mchezo huo zilianza mapema mno mwanzoni wa dk ya kwanza tu ambapo …

Simba kuwakosa nyota watano leo dhidi ya jkt Tanzania

Wakati Simba ikitarajiwa kushuka uwanja wa Uhuru leo kuanza utetezi wa ubingwa wake kwa kuumana na JKT Tanzania, wachezaji watano wa timu hiyo wana hatihati ya kutocheza kutokana na sababu mbalimbali Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema nahodha John Bocco anaendelea na matibabu ya majeraha aliyopata kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya …

Lazima timu iwe na kipa namba moja -asema aussems

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems ametetea uamuzi wa kumuanzisha mlinda lango Aishi Manula kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya UD Songo uliomalizika kwa sare ya bao 1-1 na Simba kutolewa kwenye michuano hiyo Mchezo huo ulikuwa wa kwanza kwa Manula kukaa langoni baada ya kuwa nje kwa karibu wiki tatu akiuguza majeraha …

Leo. Mbabe kujulikana Kati ya simba sc vs jkt Tanzania

Mabingwa watetezi ligi kuu ya Tanzania Bara (Vodacom), Simba leo wanashuka kwenye uwanja wa Uhuru kuanza kampeni ya kutetea ubingwa kwa msimu wa tatu mfululizo wakiwakabili maafande wa JKT Tanzania Ni mchezo muhimu sana kwa Simba kupata ushindi ili kurejesha shamrashamra kwa mashabiki wake baada ya machungu ya kutolewa mapema michuano ya ligi ya mabingwa …

Mashabiki kujitokeza.kuwapa nguvu wachezaji wao

Leo alhamis Simba inaanza kampeni ya kutetea ubingwa wake kwa msimu wa tatu mfululizo ikishuka uwanja wa Uhuru kucheza na JKT Tanzania Mabingwa hao wa Tanzania Bara wana kazi moja tu, kuhakikisha wanaanza vizuri msimu Wakati Yanga leo imeanza kwa kubomolewa bao 1-0 na Ruvu Shooting, ushindi kwa Simba kesho utawaweka mbele mabingwa hao wa …

Aussems awaomba mashabiki kuja kuiunga simba mkono

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amewataka mashabiki kuwaunga mkono ili kuhakikisha wanatetea taji la ligi kuu Akizungumza katika mazoezi yaliyofanyika jana uwanja wa Gymkhana, Aussems alisema anajuwa huu ni wakati mgumu kwa kila Mwanasimba baada ya kutolewa kwenye michuano ya ligi ya mabingwa Hata hivyo hawapaswi kuruhusu matokeo hayo yavuruge mipango mingine waliyojiwekea ambayo …

Design a site like this with WordPress.com
Get started