Taarifa za mshambuliaji kinara wa mabao kwenye kikosi cha Simba Meddie Kagere kuwa majeruhi hazina ukweli wowote kwani jana aliitumikia Rwanda kwenye mchezo wa kusaka tiketi ya michuano ya kombe la dunia Katika mchezo huo Kagere alipachika mabao mawili Kagere anatarajiwa kuwasili nchini kesho Alhamisi hivyo kuuwahi mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar ambao utapigwa Ijumaa …
Category Archives: simba
Kikosi cha simba kilichofika robo fainal ya CUF 2003
KIKOSI CHA SIMBA 2003 Walio simama kutoka kushoto: Emmanuel Gabriel, Said Swed, Yusuf Macho, Christopher Alex, Victor Costa na Seleman Matola. Waliochuchumaa: Ramadhani Wasso, Ulimboka Mwangingwe, Juma Kaseja, Athumani Machupa na Boniface Pawasa. Beki wa zamani wa @simbasctanzania Boniface Pawasa anasema, hiki ndio kikosi bora kwake kuwahi kuwahi kufanyanacho kazi kwa ngazi ya vilabu. : …
Continue reading “Kikosi cha simba kilichofika robo fainal ya CUF 2003”
Kagere atangazwa mchezaji baora wa mwezi
MSHAMBULIAJI wa timu ya Simba, Meddie Kagere amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Agosti wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa 2019/20 akiwashinda Lucas Kikoti wa Namungo na Seif Karihe wa Lipuli @tplboard @vodacomtanzania @tanfootball #wapendasokaupdates
CEO mpya simba aongea mzuka
Siku chache tangu uongozi wa klabu ya Simba kumtambulisha bosi mpya, kitendo hicho kimelipandisha mzuka benchi la ufundi ambalo limeapa kukisuka zaidi kikosi ili kiwe na makali ya kufanya mauaji katika mechi zao zijazo za Ligi Kuu Tanzania Bara. Wikiendi iliyopita, Simba walimtambulisha rasmi Senzo Mazingisa, raia wa Afrika Kusini, kuwa Ofisa Mtendaji Mkuu (C.E.O) …
CEO mpya simba aomba. Ushirikiano
Mtendaji Mpya wa klabu ya Simba Senzo Mazingiza amewataka Wanasimba kuendelea kushirikiana ili kuifanya Simba kuwa klabu kubwa Afrika Mazingiza ametambulishwa leo na uongozi wa Simba akichukua nafasi ya Crescentius Magori ambaye amemaliza muda wake Akizungumza baada ya utambulisho huo uliofanyika Hotel ya Serena, Mazingiza amesema Simba ni klabu kubwa Tanzania yenye historia ya kipekee …
Simba yatambulisha CEO mpya
Klabu ya Simba imemtambulisha Rasmi Ofisa Mtendaji wao mkuu Mpya aliyechukua nafasi iliyoachwa na Crescentius Magori Ofisa Mtendaji huyo Senzo Masingizi ni raia wa Afrika Kusini Masingizi amewahi kuwa mjumbe wa Shirikisho la mpira wa miguu Afrika kusini, pia amewahi kufanya kazi katika vilabu vya Fc Platinum na Orlando Pirates Amerithi mikoba ya Magori aliyemaliza …
Simba yaanza mazoezi leo
Baada ya mapumziko ya siku tatu, kikosi cha Simba kinarejea mazoezini leo kuendelea na maandalizi ya ligi kuu ya Vodacom Septemba 17 Simba itashuka uwanja wa Uhuru kuumana na Mtibwa Sugar Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems alitumia mapumziko hayo kutembelea hifadhi ya Taifa ya Serengeti, akiwa na mkewe Mbelgiji huyo leo anatarajiwa kuendelea na …
Nyota wazamani simba sc ajiunga lopopo-congo
Mchezaji wa zamani wa klabu ya Simba @uhuru_us7 amejiunga na klabu ya Fc Lopopo ya Congo kwa mkataba wa miaka miwili akitokea katika klabu ya Royal Eagles ya Afrika Kusini…
*RATIBA YA SIMBA 1st ROUND*
1. 29/08/2019 – Uhuru JKT Tz VS SIMBA FIFA WEEK (01-10 September) 2. 17/09/2019 -Uhuru SIMBA VS MTIBWA 3. 22/09/2019 – Uhuru SIMBA VS LIPULI 4. 03/10/2019 – Bukoba KAGERA VS SIMBA 5. 06/10/2019 – Uhuru SIMBA VS PRISONS FIFA WEEK (07-15 October) 6. 19/10/2019 -Uhuru KMC VS SIMBA 7. 23/10/2019 – Uhuru AZAM VS …
Mambo yamnyookea Mavugo…huko Difaa El Jadida
Mshambuliaji wa zamani wa Simba Laudirt Mavugo amesajiliwa na Difaa El Jadida ya Morocco Kulingana na taarifa iliyotolewa na timu hiyo, Mavugo amesaini mkataba wa miaka miwili. Katika klabu hiyo, ameungana na Watanzania Saimon Msuva na Nickson Kibabage Msimu uliopita Mavugo aliitumikia Napsa Stars ya Zambia, akiibuka miongoni mwa wafungaji bora wa ligi hiyo Mavugo …
Continue reading “Mambo yamnyookea Mavugo…huko Difaa El Jadida”