Manula.sina kinyongo na kaseja

Mlinda lango namba moja wa Simba Aishi Manula amemtakia kila la kheri mkongwe Juma Kaseja katika mchezo wa kesho dhidi ya Sudan Kaseja aliyerejeshwa timu ya Taifa na Kaimu Kocha Mkuu Etienne Ndayiragije, ameendelea kuaminiwa akidaka mechi zote za hivi karibuni Kaseja aliitwa kuchukua nafasi ya Manula ambaye mwanzoni mwa msimu alikabiliwa na majeraha yaliyomuweka …

Breaking Rais wa zamani wa Simba, arudishwa magereza

#Breaking Rais wa zamani wa Simba, Evans Aveva na msaidizi wake, Geoffrey Nyange Kaburu, wamerudishwa tena gerezani baada ya dhamana waliyokuwa imefunguliwa kwa ajili yao kugonga mwamba. Hii ni baada ya mshitaki ambaye ni serikali kukata rufaa ya kupinga wao kufutiwa mashitaka ya utakatishaji. Via @globalsokatz

Nyota walioitwa stars wamvurugia mipango Aussems

Simba imetoa wachezaji nane kwenye kikosi cha timu ya Taifa kinachojiandaa na mchezo dhidi ya Sudan michuano ya CHAN inayohusisha wachezaji wa ndani Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumapili, Septemba 22 kwenye uwanja wa Taifa saa moja jioni Upungufu wa wachezaji kwenye kikosi chake umemvurugia program za mazoezi kocha Patrick Aussems Simba inajiandaa na mchezo wa …

MANARA: KWENYE TIMU YA TAIFA TUACHE USIMBA NA UYANGA

Mwenyekiti wa kamati ndogo ya hamasa ya timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Hajji Manara amewaomba Watanzania kuacha kushangilia kwa kuangalia wachezaji kutoka Simba na Yanga. Manara ambaye pia ni msemaji wa Simba amesema dhana hiyo sio nzuri kwa mustakabali wa soka la nchi kitu ambacho kinapaswa kuachwa mara moja. Msemaji huyo ameongeza kuwa …

Manual-tutatetea ubingwa wetu

Mlinda lango namba moja wa Simba Aishi Manula amesema wamedhamiria kuchukua ubingwa kwa msimu wa tatu mfululizo Manula aliyerejea kikosi mwanzoni mwa msimu baada ya kupona majeraha, amesema anaamini wana kikosi imara kitakachoweza kutwaa ubingwa Amesema kila mchezaji aliyesajiliwa na Simba, ana uwezo wa kupambana na kuisaidia timu kupata matokeo mazuri kwenye mechi zote za …

Aussems asema kager sugar ajipange

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema hawawezi kurudia makosa yaliyopelekea msimu uliopita wapoteze michezo yote miwili dhidi ya Kagera Sugar Septemba 26 Simba itasafiri mkoani Kagera kuwakabili Kagera Sugar katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Kaitaba Kagera Sugar ni moja ya timu ambazo zimekuwa zikiipa changamoto Simba katika misimu ya hivi karibuni Aussems ambaye anakiandaa …

Mkwabi ajiuzuli.uwenyekiti sba

TAARIFA Uongozi wa klabu ya Simba unatoa taarifa kwa wanachama, mashabiki na wananchi wote kwamba Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Swedi Mkwabi kwa uamuzi wake mwenyewe amejiuzulu nafasi ya Uenyekiti. Katika barua ambayo Swedi ameiandikia Bodi ya Wakurugenzi kupitia Mwenyekiti wa Bodi amesema sababu kuu ya kijiuzulu nafasi hiyo ni kuhitaji muda zaidi kusimamia shughuli …

Bocco aanza mazoezi

Nahodha wa Simba John Bocco jana alianza mazoezi mepesi baada ya kuwa nje kwa wiki tatu akiuguza majeraha Katika mazoezi ya jana yaliyofanyika uwanja wa Gymkhana, Bocco alipewa program maalum ya mazoezi yaliyosimamiwa kwa ukaribu na daktari wa timu Bocco alikuwa nje tangu August 17 akiuguza majeraha ya goti aliyopata kwenye mchezo wa Ngao ya …

Design a site like this with WordPress.com
Get started