– Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba SC chini ya Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Mohammed Dewji imetangaza kumteua Mtangazaji wa BBC, Ndg. Salim Kikeke kuwa Balozi wa klabu ya Simba Sports Club katika mji wa London, Uingereza… MO Dewji amesema kuwa anaamini kwamba Kikeke ataipeperusha vyema bendera ya Simba.. #SimbaSC #Updates
Category Archives: simba
MO atbelea uwanja binju
Mwekezaji wa klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji ‘Mo’ leo alitembelea viwanja vya klabu hiyo ambavyo viko kwenye matengenezo Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es salaam Mo ameeleza kuridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa viwanja hivyo ambapo amesema hadi kufikia mwishoni mwa mwezi ujao (Oktoba), Simba itaanza kufanya mazoezi “Leo asubuhi nilitembelea viwanja …
TSHABALALA ASEMA WALIINGIA KWA TAHADHARI KUBWA DHIDI YA KEGERA JANA
Nahodha msaidizi wa timu ya Simba, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ amesema katika mchezo wa jana wa ligi dhidi ya Kagera Sugar katika uwanja wa Kaitaba waliingia kwa tahadhari kubwa kwakua hawakutaka kupoteza tena mbele yao. Katika miaka miwili Simba haikupata ushindi kwenye mechi ya ligi dhidi ya Kagera kitu ambacho kiliwafanya kujipanga vilivyo kuhakikisha wanashinda ili …
Continue reading “TSHABALALA ASEMA WALIINGIA KWA TAHADHARI KUBWA DHIDI YA KEGERA JANA”
Mambo yaliyo gundulika …simba sc vs kagera
Mambo kadhaa niliyogundua kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara kati ya Kagera Sugar dhidi ya Simba. . . Kagere, wakiwa washambuliaji wao walikuwa wakicheza 4-4-2 na washambuliaji wawili mbele pale mpira wanapopoteza au kushambuliwa wao walikuwa wakitumia mfumo wa 4-5-1 kwa kujilinda zaidi. . . Awesu, kijana mdogo mwenye vitu kibao mguu naweza kusema …
Continue reading “Mambo yaliyo gundulika …simba sc vs kagera”
Full Time | Kagera Sugar 0 – 3 Simba SC
Full Time | Kagera Sugar 0 – 3 Simba SC Meddie Kagere | 4 | 79 | P ⚽️ Mohamed Hussein | 36 |⚽️ . #wapendasokaupdates #VodacomPremierLeague
RATIBA YA SOKA LEO.
KAMATA RATIBA YA SOKA LEO. #VodacomPrimierLeague 16:00 Lipuli Fc vs Mbeya City 16:00 Kagera Sugar Vs Simba Sc : #SpainLaLiga 20:00 Eibar vs Sevilla 21:00 Celta Vigo vs RCD Espanyol 22:00 Real Sociedad vs Deportivo Alaves : #ItalySerieA 22:00 Torino vs Milan : #BelgiumBekerVanBelgie 21:30 Royal Antwerp vs Lokeren 21:30 Standard Liege vs Lommel Imeandaliwa …
Kikosi.cha. simba chafanya mazoezi ya.mwisho
Kikosi cha Simba Sc leo jioni kimefanya mazoezi ya mwisho kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu Tanzania dhidi ya Kagera Sugar siku ya kesho Alhamisi kwenye Uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera.
Kikosi cha simba chawasili bukoba
Kikosi cha Klabu ya Simba SC, kimefika salama Bukoba. Leo jioni kitafanya mazoezi ya mwisho kujiandaa na mchezo wa kesho wa Ligi Kuu dhidi ya Kagera Sugar.. #VPLUpdates🇹🇿
HAJI ASEMA BADO YUPO YUPO SIMBA
#repost @hajismanara Asanteni Sana Wanasimba wote hususan Bodi ya wakurugenzi chini ya Mwenyekiti wetu Mohammed Dewji,lakini kubwa kwa CEO wetu mpya Mr Senzo kwa kuendelea kuniamini kufanya kazi ktk klabu hii kama Msemaji wao rasmi. : Insha’Allah ntaendelea kufanya kazi hapa kwa spirit ile ile!! Done Deal Simba Nguvu Moja 🙏 @moodewji @simbasctanzania @football_senzo
kasesela amefunguka..mimi ni shabiki wa haji manara
Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard kasesela amefunguka kuwa yeye ni Shabiki wa kutupwa wa Haji Manara Kasesela amesema kuwa klabu ya simba inabahati sana kumpata mtu kama haji manara kwani anaufundi mkubwa sana katika kuwamudu watani zao wa jadi. Kasesela amesema kuwa Yanga ilibahatika kumpata afisa habari machachari sana @jerrymuro1980 ambaye alikua anaweza kupambana …
Continue reading “kasesela amefunguka..mimi ni shabiki wa haji manara”