Singida United na Simba zinakutana leo kwenye mchezo wa ligi kuu unaopigwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha Hata hivyo mchezo huo unafanyika baada ya kufanyika kwa Tamasha la Fiesta katika uwanja huo Lakini pia, uwanja wa Sheikh Amri Abeid ni moja ya viwanja ambavyo sehemu yake ya kuchezea ‘pitch’ sio nzuri Jana Simba …
Continue reading “Simba kukabiliwa na changamoto ya uwanja Sheikh Amri Abeid”