Ni. Ushindi tu morogoro kumnusuru kocha mkuu simba

Kikosi cha Simba kimeelekea mkoani Morogoro kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa Sugar Mchezo huo utapigwa siku ya Jumanne, Februari 11 kwenye uwanja wa Jamhuri Baada ya kupoteza mchezo uliopita kwa kufungwa bao 1-0 na JKT Tanzania, mkufunzi wa Simba Sven Vandenbroeck anahitaji kuhakikisha vinara hao wa ligi kuu wanarejesha utamaduni …

BREAKING: UCHEBE KURUDI BONGO TENA, AZUNGUMZA KUHUSU SIMBA

PATRICK Aussems aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba na kupigwa chini mwishoni mwa mwaka Jana,2019 amesema kuwa anaamini siku moja ataonana na mashabiki wake wa Simba ambao aliowaacha kwa kurudi tena Bongo. Kwa sasa nafasi yake ipo mikononi mwa Sven Vanderbroeck ambaye jana alipoteza mchezo wake wa kwanza baada ya kuanza kusimamia benchi la ufundi. Kupitia …

Simba kuifuata mtibwa sugar jumapili

Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kesho Jumapili kinaelekea mkoani Morogoro kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Mtibwa Sugar Mchezo huo utapigwa siku ya Jumanne, Februari 11 kwenye uwanja wa Jamhuri Vinara hao wa ligi kuu wanakwenda Morogoro wakiwa na lengo moja, tu kuhakikisha wanarejesha furaha ya mashabiki …

Aussems apagawishwa na mashabiki simba ahaidi kurejra

Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema amepokea maelfu ya meseji kutoka kwa mashabiki wa Simba wakimtaka arejee kunako klabu hiyo Aussems ambaye kwa sasa yuko mapumziko huko Ufaransa, ameeleza kuguswa na jumbe hizo kutoka kwa mashabiki wa Simba Mbelgiji huyo amesema kuwa anaamini siku moja atarudi Simba “Nimeguswa na maelfu ya meseji nilizopokea …

SIMBA ILIBANWA MBAVU UHURU KWA MTINDO HUU

KIKOSI cha Simba Jana kimebanwa mbavu Uwanja wa Uhuru mbele ya JKT Tanzania kwa kufungwa bao 1-0 mchezo wa Kwanza wa mzunguko wa pili msimu wa 2019/20. Simba iliyo chini ya Kocha Mkuu, Sven Vanderbroeck ilifungwa bao dakika ya 24 kupitia kwa mshambuliaji wa JKT Tanzania, Adam Adam aliyefunga bao hilo kwa kichwa kilichozama nyavuni …

HUU HAPA USHAURI WA SALEH JEMBE KWENDA SIMBA, YANGA YATAJWA

KUTOKANA na kichapo cha bao 1-0 walichopokea Simba mbele ya JKT Tanzania jana, Februari 7,2020 kupokelewa kwa mtindo wa kipekee kwa mashabiki na viongozi. Huu hapa ushauri wa Saleh Jembe kwa Simba:-Nimesikia kiongozi mmoja wa Simba akilia kuwa ndani yao kuna hujuma. USHAURI WANGU :- Wawe watulivu, Papara za namna hiyo kama anazoonyesha kiongozi huyo …

Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck atetea wachezaji wake

Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck amesema walipoteza mchezo wa jana dhidi ya JKT Tanzania kutokana na kukosa bahati kwani walitengeneza nafasi nyingi Aidha Sven amesema wachezaji wote wa Simba ni wazuri na yeyote anaweza kumtumia na wakapata matokeo Mbelgiji huyo ametoa kauli hiyo baada ya kutupiwa lawama kuwa haeleweki katika upangaji wa timu “Kilicho …

Bocco afunguka kipigo dhidi ya JKT. Tanzania

Baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 dhidi ya JKT Tanzania, Nahodha wa Simba, John Bocco amesema walijichanganya na kuruhusu bao hilo huku nahodha wa JKT, Damas Mwakwaya akifunguka udhaifu walioonyesha Simba katika mchezo huo Simba inaongoza Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi 50 imekubali kipigo hicho katika mechi iliyochezwa Uwanja wa Uhuru ambapo wapinzani …

Mambo 10 nilioyaona Simba vs JKT

1: Abdallah Mohammed Baresi๐Ÿ‘ Ushindi wa JKT ulianza kwenye kitabu chake cha ufundi. Ile 4-2-2-2 iliimeza kabisa 4-2-1-3 ya Sven. Kipindi cha kwanza walipoikamata Simba, katikati, wakamaliza hesabu zao 2: Sina hakika kama Sven alifanya research ya kutosha kuwajua JKT. Kwa namna yoyote ile, kwa ugumu wa viungo wa JKT, Ibrahim Ajib hakuwa chaguo sahihi …

Design a site like this with WordPress.com
Get started