GUARDIOLA ISHU YA STERLING, ANAFIKIRIA KINOMA

RAHEEM Sterling nyota wa Manchester City leo atakosekana kwenye mchezo wa Ligi Kuu England dhidi ya West Ham. Nyota huyo ameumia nyama za paja na inasemekana kuwa huenda pia akakosa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Real Madrid. Pep Guardiola, Kocha Mkuu wa City amesema kuwa ni pigo kubwa na anafikiri ni miongoni …

BECKER WA LIVERPOOL AGOMEA KULA BATA, KAZI KAMA KAWA

ALISSON Becker raia wa Brazil mlinda nyavu za Liverpool amegomea kula bata wakati wa mapumziko na badala yake anaendelea kufanya mazoezi kujiweka fiti. Mlinda mlango huyo ana jumla ya Clean Sheet 30 tangu aanze kuitumikia timu ya Liverpool. Wakati huu wa mapumziko anaendelea kupiga tizi na timu ya Fluminense ya Brazil. Inaelezwa kuwa kila siku …

Messi Atamaliza Maisha Yake Barcelona. _

#Updates • Atamaliza Maisha Yake Barcelona. _ KOCHA mkuu wa mabingwa watetezi wa LIGI kuu Uingereza (Man City) bwana Pep Guardiola amefunguka na kusema kwamba Messi hawezi kuondoka Barcelona na atasalia kunako klabu hiyo hadi mwisho wa soka lake _ 🗣️“Anacheza Barcelona na atabaki kwenye timu hiyo, nataka iwe hivyo. Sitaki kuzungumzia mchezaji wa timu …

Messi Atamaliza Maisha Yake Barcelona. _

#Updates • Atamaliza Maisha Yake Barcelona. _ KOCHA mkuu wa mabingwa watetezi wa LIGI kuu Uingereza (Man City) bwana Pep Guardiola amefunguka na kusema kwamba Messi hawezi kuondoka Barcelona na atasalia kunako klabu hiyo hadi mwisho wa soka lake _ 🗣️“Anacheza Barcelona na atabaki kwenye timu hiyo, nataka iwe hivyo. Sitaki kuzungumzia mchezaji wa timu …

Man UTD Mpo, Striker Ighalo kuikosa kambi. _

#UtdUpdates • Man UTD Mpo, Striker Ighalo kuikosa kambi. _ Mshambuliaji mpya wa Manchester United Odion Ighalo atakosa mazoezi na klabu hiyo nchini Uhispania kutokana na hofu kwamba virusi vya corona vinaweza kumzuia kuruhusiwa kuingia nchini Uingereza . _ Ighalo mwenye umri wa miaka 30, alisafiri kuelekea mjini Manchester kutoka China wikendi iliopita baada ya …

Wenger kurejea katika ulimwengu wa soka

Meneja wa zamani wa Arsenal Arsene Wenger anaweza kurejea katika soka la ushindani , huku Rennes akiripotiwa kumlenga kuchukua nafasi ya Olivier Letang kama mkurugenzi wa michezo wa klabu hiyo . ………Rennes alitangaza mnamo Ijumaa kwamba Letang ataihama klabu hiyo ,huku ripoti zikisema kwamba Wenger anaongoza kwenye orodha hiyo ya kuwania nafasi ya kuwa mkurugenzi …

MANCHESTER UNITED KUUZA CHRIS SMALLING

#Updates • _ Kwa mujibu wa Team Talk, imeripotiwa kuwa MANCHESTER United wanataka “si chini ya” pauni milioni 15 ili wakubali kumuuza beki wao, Chris Smalling (30), ambaye yupo Roma kwa mkopo. _ United imeweka ngumu kwa beki huyo na kusisitiza kwamba haitakubali kumpiga beki wake, Chris Smalling kwenda AS Roma ya Italia kama tu …

Vita Ya Vinara Leo _Bundesliga…ujerumani leo

_ _ ✍️ Leo katika dimba la Alianz Arena kunako majira ya saa 2 Usiku kutakuwa na kipute cha maana katika muendelezo wa ligi kuu Ujerumani. _ ✍️ Ni pale vinara wa ligi hiyo Bayern Munich (42 pts) watakapo wakaribisha washika nafasi ya pili RB Leipzig (41pts) _ ✍️ Bayern ni kama gari limeshika kasi …

Design a site like this with WordPress.com
Get started