Mambo 10 nilioyaona Simba vs JKT

1: Abdallah Mohammed Baresi๐Ÿ‘ Ushindi wa JKT ulianza kwenye kitabu chake cha ufundi. Ile 4-2-2-2 iliimeza kabisa 4-2-1-3 ya Sven. Kipindi cha kwanza walipoikamata Simba, katikati, wakamaliza hesabu zao 2: Sina hakika kama Sven alifanya research ya kutosha kuwajua JKT. Kwa namna yoyote ile, kwa ugumu wa viungo wa JKT, Ibrahim Ajib hakuwa chaguo sahihi …

Simba yaanza vibaya mzunguko wa pili

Simba imeanza vibaya mzunguuko wa pili ligi kuu ya Vodacom baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa JKT Tanzania katika mchezo uliopigwa uwanja wa Uhuru Bao pekee la JKT Tanzania lilifungwa na Adam Adam kwenye dakika ya 25 baada ya walinzi wa Simba na mlinda lango Beno Kakolanya kuzembe kucheza krosi Mabingwa hao …

LUC Eymael morali. Yawachezaji iko vizuri kuwavaa ruvu kesho

LUC Eymael, Mkuu wa Yanga amesema kuwa anaamini wachezaji wake watafanya vizuri kwenye mchezo wao wa kesho, Februari 8,2020, dhidi ya Ruvu Shooting utakaochezwa Uwanja wa Uhuru majira ya saa 10:00 jioni. Eymael amesema kuwa maandalizi yapo vizuri na kila mchezaji anatimiza majukumu yake mazoezini jambo linalompa nguvu ya kuamini kwamba atapata matokeo mazuri. “Wachezaji …

Pigo simba ;wachezaji 6 kuikosa JKT tanzania leo

SIMBA leo itakuwa Uwanja wa Uhura saa 10:00 Jioni kumenyana na JKT Tanzania kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara ikiwa ni mchezo wa mzunguko wa pili. Kikosi cha Simba kitakosa huduma ya wachezaji sita wa kikosi cha kwanza kutokana na sababu mbalimbali. Taarifa kutoka Simba zimeeleza kuwa wachezaji wao wanne ni majeruhi huku wawili wakiwa …

Yanga:ruvu walibahatisha wasitarajie kuokota dodo

HASSAN Bumbuli, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa Ruvu Shooting wasitarajie kuokota dodo chini ya mbuyu kesho Uwanja wa Taifa kwa kuwa mchezo wa kwanza walishinda kwa kubahatisha. Yanga ilipokuwa chini ya Mwinyi Zahera, mechi ya kwanza ya mzunguko wa kwanza msimu huu iliyochezwa Uwanja wa Uhuru ilifungwa bao 1-0 na Ruvu Shooting ambayo kesho …

Kichuya na miquissone kuanza katika mchezo wa leo

Mashabiki wa Simba leo wanaweza kupata nafasi ya kuwashuhudia wachezaji wao wapya Shiza Kichuya na Luis Miquissone kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya JKT Tanzania ambao utapigwa uwanja wa Uhuru Nyota hao waliosajiliwa mwezi uliopita kwenye dirisha dogo, baada ya kukaa nje kwa takribani wiki tatu wakisubiri hati za uhamisho wa Kimataifa, sasa zimewasili …

MAN UNITED KUMPA.IGHALO.NUSU YA MSHAHARA WA CHINA

Mshambuliaji Muargentina, Odion Ighalo akiwa ameshika jezi ya Manchester United baada ya kutimiza ndoto za kujiunga nayo kwa mkopo kwa dau la Pauni Milioni 4 kutoka Shanghai Shenhua ya China. Ighalo ambaye amesema yeye ni ‘shabiki kufa’ wa United tangu akiwa mdogo kwao, Nigeria enzi hizo klabu hiyo inaongozwa na mshambuliaji, Andy Cole atakuwa analipwa …

JKT TANZANIA .MECHI YETU NA SIMBA NI NGUMU SANA

ABDALLAH Mohamed ‘Bares’, Kocha mkuu wa JKT Tanzania amesema kuwa mchezo wa kesho mbele ya Simba ni mgumu ila kikosi kipo tayari kupata ushindi. JKT Tanzania itaingia uwanjani ikiwa na kumbukumbu ya kufungwa mabao 3-1 na Simba kwenye mechi ya kwanza iliyochezwa Uwanja wa Uhuru. Akizungumza na Saleh Jembe, Bares amesema kuwa wachezaji wapo tayari …

Design a site like this with WordPress.com
Get started