: 👉 Vodacom Premier League FT Simba SC 0-1 JKT Tanzania : 👉England – Championship FT Bristol City 1 – 3 Birmingham City : 👉Saudi Arabia – Premier League FT Abha 1 – 4 Al-Wehda FT Al Hazm 4 – 2 Al Feiha FT Al-Faisaly 2 – 1 Al Shabab : 👉United Arab Emirates – …
Category Archives: All
Matokeo ya mechi za jana Ligi kuu ya Wanawake.
BAOBAB QUEENS 0⃣▶3⃣ SIMBA QUEENS. ALLIANCE GIRLS 0⃣▶1⃣ YANGA PRINCESS TANZANITE FC 0⃣▶4⃣ MLANDIZI QUEENS TSC QUEENS 0⃣▶2⃣ JKT QUEENS MARSH QUEENS 0⃣▶6⃣ RUVUMA QUEENS KIGOMA SISTERZ 4⃣▶1⃣ PANAMA FC. #fullsokatzupdates
Sergio Aguero ashinda tuzo mchezaji bora wa mwezi EPL
Mwezi Januari umekua mzuri sana kwa Sergio Aguero kwani katika Mara 7 alizoshinda tuzo ya mchezaji bora Wa mwezi katika Ligi kuu ya England Mara 3 ameshinda mwezi Januari. Miezi aliyoshinda tangu ajiunge na Manchester City Oktoba 2013 November 2014 January 2016 April 2016 January 2018 February 2019 January 2020 #Unstoppable #wapendasokaupdates
Waziri Mkuu wa Tanzania Kasim Majaliwa amempongeza Mbwana Samatta bungeni
Waziri Mkuu wa Tanzania Kasim Majaliwa amempongeza Mbwana Samatta kwa kuwa mtanzania wa kwanza kusajiliwa na kucheza katika ligi kuu ya England Akizungumza Bungeni leo katika hotuba yake ya kuhairisha bunge, Mh Majaliwa amesema ni heshima kwa Samatta na taifa lakini pia akawaasa vijana wanaochipukia katika soka kujituma zaidi ili watimize ndoto zao #wapendasokaupdates
Lionel Messi sifikirii kuondoka barcelona
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Sky Sports mshambuliaji wa klabu ya Barcelona na timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi amesema hafikilii kabisa kundoka Barcelona ataendelea kusalia klabuni hapo • Messi amesema hayo kutokana na kuwepo na taarifa zinazoeleza kuwa huenda nyota huyo akaachana na klabu hiyo mwisho wa msimu huu • Powered by @sports_lady_tz …
Continue reading “Lionel Messi sifikirii kuondoka barcelona”
Orodha ya makocha wa 5 wanaolipwa pesa nyingi zaidi duniani kwa sasa
1. Simeone €43.6m 2. Guardiola €23.28m 3. Mourinho €17.52m 4. Klopp €17.52m 5. Zidane €16.8m Powered by @sports_lady_tz #dailysporttz
MAREFA NCHINI WAPEWA SEMINA YA SIKU TATU DAR ILIYOENDESHWA KWA USHIRIKIANO WA TFF NA CHAMA CHA SOKA IRELAND
Semina ya siku tatu ya Waamuzi wa mpira wa miguu Tanzania kwa ushirikiano na Chama cha Soka Ireland (IFA) imefungwa leo. Semina hiyo imelenga muendelezo wa mipango ya UEFA Assist Visit website
Bocco afunguka kipigo dhidi ya JKT. Tanzania
Baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 dhidi ya JKT Tanzania, Nahodha wa Simba, John Bocco amesema walijichanganya na kuruhusu bao hilo huku nahodha wa JKT, Damas Mwakwaya akifunguka udhaifu walioonyesha Simba katika mchezo huo Simba inaongoza Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi 50 imekubali kipigo hicho katika mechi iliyochezwa Uwanja wa Uhuru ambapo wapinzani …
Continue reading “Bocco afunguka kipigo dhidi ya JKT. Tanzania”
LALLANA AJIANDAA KUSEPA LIVERPOOL, ARSENAL, TOTTENHAM ZAPIGANA VIKUMBO
KIUNGO wa timu ya Liverpool, Adam Lalallana anajiandaa kwa sasa kusepa ndani ya kikosi hicho kilicho chini ya Jurgen Klopp. Nyota huyo mwenye miaka 31, alimwaga wino ndani ya Liverpool, Julai, 2014, akitokea timu ya Southampoton. Mkataba wake unameguka mwezi Juni hivyo atakuwa huru kujiunga na timu yoyote ile bure huku timu ya Arsenal ikipewa …
Continue reading “LALLANA AJIANDAA KUSEPA LIVERPOOL, ARSENAL, TOTTENHAM ZAPIGANA VIKUMBO”