SIMBA ILIBANWA MBAVU UHURU KWA MTINDO HUU

KIKOSI cha Simba Jana kimebanwa mbavu Uwanja wa Uhuru mbele ya JKT Tanzania kwa kufungwa bao 1-0 mchezo wa Kwanza wa mzunguko wa pili msimu wa 2019/20. Simba iliyo chini ya Kocha Mkuu, Sven Vanderbroeck ilifungwa bao dakika ya 24 kupitia kwa mshambuliaji wa JKT Tanzania, Adam Adam aliyefunga bao hilo kwa kichwa kilichozama nyavuni …

HUU HAPA USHAURI WA SALEH JEMBE KWENDA SIMBA, YANGA YATAJWA

KUTOKANA na kichapo cha bao 1-0 walichopokea Simba mbele ya JKT Tanzania jana, Februari 7,2020 kupokelewa kwa mtindo wa kipekee kwa mashabiki na viongozi. Huu hapa ushauri wa Saleh Jembe kwa Simba:-Nimesikia kiongozi mmoja wa Simba akilia kuwa ndani yao kuna hujuma. USHAURI WANGU :- Wawe watulivu, Papara za namna hiyo kama anazoonyesha kiongozi huyo …

Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck atetea wachezaji wake

Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck amesema walipoteza mchezo wa jana dhidi ya JKT Tanzania kutokana na kukosa bahati kwani walitengeneza nafasi nyingi Aidha Sven amesema wachezaji wote wa Simba ni wazuri na yeyote anaweza kumtumia na wakapata matokeo Mbelgiji huyo ametoa kauli hiyo baada ya kutupiwa lawama kuwa haeleweki katika upangaji wa timu “Kilicho …

Lionel Messi hana nia ya kuondoka barcelona

Nyota wa Barcelona, Lionel Messi hana nia ya kuondoka klabuni hapo licha ya maoni yake ya hivi karibuni kuhusu Eric Abidal, (Sky Sports) … … MuArgentina huyo alikuwa kwenye mzozo na mkurugenzi wa michezo wa Barca baada ya kuwakosoa hadharani wachezaji wa Barca kwamba hawakuwajibika kipindi cha Ernesto na messi kumtaka “atoe majina” ya wachezaji …

Design a site like this with WordPress.com
Get started