Homa ya korona yamkosesha Odion Ighalo mazoezi

Odion Ighalo alijiunga na Manchester United kwa mkopo hadi mwisho wa msimu katika siku ya mwisho ya dirisha la uhamisho la mwezi Januari. Mshambuliaji wa Manchester United Odion Ighalo atakosa mazoezi na klabu hiyo nchini Uhispania kutokana na hofu kwamba virusi vya corona vinaweza kumzuia kuruhusiwa kuingia nchini Uingereza . Ighalo mwenye umri wa miaka …

AZAM FC YAICHAPA KMC 3-1 NA KUPUNGUZA IDADI YA POINTI

WANAZOZIDIWA NA SIMBA KILELENI Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya KMC ya Kinondoni katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam. Kwa ushindi huo, Azam FC inayofundishwa na kocha Mromania, Aristica Cioaba inafikisha pointi …

MOLINGA ‘FALCAO’ AING’ARISHA YANGA SC LIGI KUU, YAICHAPA RUVU SHOOTING 1-0 UHURU

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM YANGA SC imeendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuichapa Ruvu Shooting 1-0 jioni ya leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo pekee, mshambuliaji kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), David Molinga Ndama ‘Falcao’ dakika ya …

BREAKING: UCHEBE KURUDI BONGO TENA, AZUNGUMZA KUHUSU SIMBA

PATRICK Aussems aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba na kupigwa chini mwishoni mwa mwaka Jana,2019 amesema kuwa anaamini siku moja ataonana na mashabiki wake wa Simba ambao aliowaacha kwa kurudi tena Bongo. Kwa sasa nafasi yake ipo mikononi mwa Sven Vanderbroeck ambaye jana alipoteza mchezo wake wa kwanza baada ya kuanza kusimamia benchi la ufundi. Kupitia …

BARCELONA, REAL MADRID JINO KWA JINO KWA TRAORE

KLABU ya Barcelona ipo kwenye mchakato wa kuinasa saini ya nyota wa Wolves, Adama Traore, ambaye alitua kikosini hapo mwaka 2013 akitokea timu ya Barcelona B. Inaelezwa kuwa Barcelona wanataka kumrejesha mshambuliaji huyo baada ya kuskia kwamba Real Madrid ni miongoni mwa timu inayotaka kuipata saini ya nyota huyo. Nyota huyo kwa sasa yupo chini …

Simba kuifuata mtibwa sugar jumapili

Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kesho Jumapili kinaelekea mkoani Morogoro kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Mtibwa Sugar Mchezo huo utapigwa siku ya Jumanne, Februari 11 kwenye uwanja wa Jamhuri Vinara hao wa ligi kuu wanakwenda Morogoro wakiwa na lengo moja, tu kuhakikisha wanarejesha furaha ya mashabiki …

Aussems apagawishwa na mashabiki simba ahaidi kurejra

Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema amepokea maelfu ya meseji kutoka kwa mashabiki wa Simba wakimtaka arejee kunako klabu hiyo Aussems ambaye kwa sasa yuko mapumziko huko Ufaransa, ameeleza kuguswa na jumbe hizo kutoka kwa mashabiki wa Simba Mbelgiji huyo amesema kuwa anaamini siku moja atarudi Simba “Nimeguswa na maelfu ya meseji nilizopokea …

TFF yakiri Waamuzi bado ni Changamoto VPL

Katibu mkuu wa Shirikisho la soka Tanzania (TFF) Wilfred Kidao amesema bado kuna changamoto katika uchezeshaji wa waamuzi katika mechi za ligi kuu na zile za daraja la kwanza na lipi. Kauli hiyo imekuja siku chache baada ya malalamiko kutoka kwa wadau mbalimbali wa soka kuwa timu zinapendelewa hali iliyopelekea Serikali kupitia kwa Waziri mwenye …

TFF yakiri Waamuzi bado ni Changamoto VPL

Katibu mkuu wa Shirikisho la soka Tanzania (TFF) Wilfred Kidao amesema bado kuna changamoto katika uchezeshaji wa waamuzi katika mechi za ligi kuu na zile za daraja la kwanza na lipi. Kauli hiyo imekuja siku chache baada ya malalamiko kutoka kwa wadau mbalimbali wa soka kuwa timu zinapendelewa hali iliyopelekea Serikali kupitia kwa Waziri mwenye …

SINGIDA UNITED WAPATA PAKUTOKEA

SINGIDA United iliyo chini ya Ramadhan Nswanzurimo imesema kuwa njia ya kuwabakiza kwenye ligi msimu ujao ipo mikononi mwa Mwadui hivyo lazima wapambane kupata pointi tatu. Ikiwa imecheza jumla ya mechi 19 imeambulia ushindi mechi mbili, imepoteza mechi 13 na sare nne na pointi zake 10, nafasi ya 20. Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari …

Design a site like this with WordPress.com
Get started