Klabu ya Rayon Sports ya Rwanda imepigwa faini ya Rwf300,000 na kufungiwa kutoshiriki mchezo wowote wa kirafiki kwa muda wa miezi 12 yaani mwaka mmoja • Adhabu hii imetolewa na chama cha soka nchini Rwanda FA baada ya klabu hiyo kutangaza kutoshiriki michuano ya Ubutwari Cup ikiwa imesalia siku moja pekee kabla ya michuano hiyo …
Continue reading “Klabu ya Rayon Sports ya Rwanda imepigwa faini ya Rwf300,000”