NCHIMBI ABADILI GIA YANGA

STRAIKA mpya wa Yanga, Ditram Nchimbi, amekuja na wazo jipya katika kuhakikisha mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara anatoka ndani ya kikosi chao, hivyo yeye amejipa rasmi kazi ya kuwatengenezea wenzake mabao ili watwae Kiatu cha Dhahabu. Katika mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar, Nchimbi alitoa pasi ya bao lililofungwa na mshambuliaji mwenzake, David Molinga, ambaye …

Wenger kurejea katika ulimwengu wa soka

Meneja wa zamani wa Arsenal Arsene Wenger anaweza kurejea katika soka la ushindani , huku Rennes akiripotiwa kumlenga kuchukua nafasi ya Olivier Letang kama mkurugenzi wa michezo wa klabu hiyo . ………Rennes alitangaza mnamo Ijumaa kwamba Letang ataihama klabu hiyo ,huku ripoti zikisema kwamba Wenger anaongoza kwenye orodha hiyo ya kuwania nafasi ya kuwa mkurugenzi …

MANCHESTER UNITED KUUZA CHRIS SMALLING

#Updates • _ Kwa mujibu wa Team Talk, imeripotiwa kuwa MANCHESTER United wanataka “si chini ya” pauni milioni 15 ili wakubali kumuuza beki wao, Chris Smalling (30), ambaye yupo Roma kwa mkopo. _ United imeweka ngumu kwa beki huyo na kusisitiza kwamba haitakubali kumpiga beki wake, Chris Smalling kwenda AS Roma ya Italia kama tu …

Vita Ya Vinara Leo _Bundesliga…ujerumani leo

_ _ ✍️ Leo katika dimba la Alianz Arena kunako majira ya saa 2 Usiku kutakuwa na kipute cha maana katika muendelezo wa ligi kuu Ujerumani. _ ✍️ Ni pale vinara wa ligi hiyo Bayern Munich (42 pts) watakapo wakaribisha washika nafasi ya pili RB Leipzig (41pts) _ ✍️ Bayern ni kama gari limeshika kasi …

Wenye Hat-trick Zao Ligi Kuu Tanzania Bara Msimu Huu _

#VplUpdates • Wenye Hat-trick Zao Ligi Kuu Tanzania Bara Msimu Huu _ _ ✍️ Kelvin Sabato – Kiduku (Kagera Sugar) akitokea ligi daraja la kwanza akisajiliwa msimu huu na Wanankurukumbi Kagera Sugar, alifunga Hat-trick yake ya kwanza Vs Singida UTD, Singida Ikilala kwa goli 3-0 Kaitaba. _ ✍️ Obray Chirwa (Azam FC) Vs Alliance FC, …

Klabu ya Toronto yasajili mArgentina Pablo Piatti kutoka RCD Espanyol

Klabu ya Toronto FC ligi kuu ya Marekani imemsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina Pablo Piatti kutoka RCD Espanyol kama mchezaji huru Piatti mwenye umri wa miaka 30 kwa sasa pia aliwahi kuvitumikia vilabu mbali mbali kama Valencia, Almeria, Estudiantes pia aliwahi kuitumikia timu ya taifa ya Argentina na alianza rasmi mwaka 2016 Powered by …

Design a site like this with WordPress.com
Get started