AZAM FC YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA POLISI TANZANIA

UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa wanahitaji pointi tatu za Polisi Tanzania kwenye mchezo utakaochezwa Jumanne, Februari 11,2020, Uwanja wa Uhuru. Azam FC jana imeshinda mabao 3-1 mbele ya KMC inafikisha jumla ya pointi 41 ikiwa nafasi ya pili. Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Azam FC, Jaffary Maganga, amesema kuwa kila kitu kipo …

ISHU YA WAAMUZI ITAFUTIWE DAWA MAPEMA, TIMU ZIJIPANGE KIUKWELI

HUKO mtaani wanasema waamuzi hasa wanaochezesha mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu ni janga la soka letu. Kelele hizo zimekuja hivi karibuni baada ya kutokea kwa matukio mfululizo yaliyozua utata, makubwa zaidi ni ya kushindwa kutafsiri vema sheria ya kuotea. Nikiri wazi kwamba, kama mwamuzi hautakuwa makini wakati unachezesha mechi, suala la kuitafsiri …

GUARDIOLA ISHU YA STERLING, ANAFIKIRIA KINOMA

RAHEEM Sterling nyota wa Manchester City leo atakosekana kwenye mchezo wa Ligi Kuu England dhidi ya West Ham. Nyota huyo ameumia nyama za paja na inasemekana kuwa huenda pia akakosa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Real Madrid. Pep Guardiola, Kocha Mkuu wa City amesema kuwa ni pigo kubwa na anafikiri ni miongoni …

BECKER WA LIVERPOOL AGOMEA KULA BATA, KAZI KAMA KAWA

ALISSON Becker raia wa Brazil mlinda nyavu za Liverpool amegomea kula bata wakati wa mapumziko na badala yake anaendelea kufanya mazoezi kujiweka fiti. Mlinda mlango huyo ana jumla ya Clean Sheet 30 tangu aanze kuitumikia timu ya Liverpool. Wakati huu wa mapumziko anaendelea kupiga tizi na timu ya Fluminense ya Brazil. Inaelezwa kuwa kila siku …

Ni. Ushindi tu morogoro kumnusuru kocha mkuu simba

Kikosi cha Simba kimeelekea mkoani Morogoro kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa Sugar Mchezo huo utapigwa siku ya Jumanne, Februari 11 kwenye uwanja wa Jamhuri Baada ya kupoteza mchezo uliopita kwa kufungwa bao 1-0 na JKT Tanzania, mkufunzi wa Simba Sven Vandenbroeck anahitaji kuhakikisha vinara hao wa ligi kuu wanarejesha utamaduni …

Messi Atamaliza Maisha Yake Barcelona. _

#Updates • Atamaliza Maisha Yake Barcelona. _ KOCHA mkuu wa mabingwa watetezi wa LIGI kuu Uingereza (Man City) bwana Pep Guardiola amefunguka na kusema kwamba Messi hawezi kuondoka Barcelona na atasalia kunako klabu hiyo hadi mwisho wa soka lake _ 🗣️“Anacheza Barcelona na atabaki kwenye timu hiyo, nataka iwe hivyo. Sitaki kuzungumzia mchezaji wa timu …

Messi Atamaliza Maisha Yake Barcelona. _

#Updates • Atamaliza Maisha Yake Barcelona. _ KOCHA mkuu wa mabingwa watetezi wa LIGI kuu Uingereza (Man City) bwana Pep Guardiola amefunguka na kusema kwamba Messi hawezi kuondoka Barcelona na atasalia kunako klabu hiyo hadi mwisho wa soka lake _ 🗣️“Anacheza Barcelona na atabaki kwenye timu hiyo, nataka iwe hivyo. Sitaki kuzungumzia mchezaji wa timu …

Kocha Tz-prisons “Tumecheza Hovyo Sana”

#VplUpdates • “Tumecheza Hovyo Sana” _ Baada ya mechi ya Jana kati ya Tz Prisons dhidi ya MBEYA CITY, Kocha mkuu wa Kikosi Cha Tz Prisons Adolf Rishard alikiri timu yake kucheza hovyo tofauti na matarajio na ndio sababu kubwa ya kupoteza mchezo huo pamoja na kadi nyekundu aliyopewa Mbangula. _ 🗣️ “Tumecheza vibaya tofauti …

Man UTD Mpo, Striker Ighalo kuikosa kambi. _

#UtdUpdates • Man UTD Mpo, Striker Ighalo kuikosa kambi. _ Mshambuliaji mpya wa Manchester United Odion Ighalo atakosa mazoezi na klabu hiyo nchini Uhispania kutokana na hofu kwamba virusi vya corona vinaweza kumzuia kuruhusiwa kuingia nchini Uingereza . _ Ighalo mwenye umri wa miaka 30, alisafiri kuelekea mjini Manchester kutoka China wikendi iliopita baada ya …

Design a site like this with WordPress.com
Get started