Wachezaji wa Timu ya Taifa @taifastars_ wameondoka kuelekea nchini Burundi kwenye mchezo wa kutafuta tiketi ya kufuzu Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar dhidi ya Burundi mchezo wa Kwanza utachezwa Burundi Septemba 4 na marudiano Uwanja wa Taifa Septemba 8,2019!.

