
N

aibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Juliana Shonza akimkabidhi bendera Nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta,Kikosi cha Taifa Stars kinaondoka kesho kwenda nchini Misri kuweka Kambi ya Wiki mbili kujiandaa na mashindano ya AFCON @taifastars_
#TotalAFCON2019
