Mlinzi wa klabu ya @simbasctanzania na Taifa Stars Shomari Kapombe ameumia tena mazoezini taarifa za awali zinasema kuwa bado Ukubwa wa majeraha yake bado haujafahamika kama atakua nje kwa mda gani.
Getwellsoon @shomari_12_kapombe